[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]kazi anayo? vp sombetini uchaguz hakuna pia?
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]
Sombetini uchaguzi kufanyika ni haki yao, tunasubiri sijui safari hii mpiga debe wao atakuwa nani!!
Hivi arusha hakuna shughuli nyingine yeyote zaidi ya siasa . Au watu hawana cha kufanya.
Mpuuzi kutetea upuuzi haishanganzi,kwani wanayo agenda yao na maslahi Yao katika huo upuuzi na ushenzi wao!!
Kinachonisikitisha ni kuwa sasa CCM ipo tayari kuanzisha vita nchini kisa madaraka waendeleze ufisadi,ikiwa umeya tu Arusha wamethubutu kuua kwa risasi na mabomu watu wasiopungua watano kwa mkoa mmoja,je 2015 kwa nchi nzima itakuaje??!!
Mungu tuepushe na mimba hii ya vita inayotungwa na CCM na walaani wale wote wenye nia ovu hii kwa kisa madaraka na ufisadi!!!!