Sasa shida yenu nini, endeleeni tu na Bunge lenu la CCM, safari hii mayowe ya ndiyoooo yatakuwa maradufu.Nyie msuse tu, Maalim Seif na cuf walisusa 2015 lakini serikali ya mapinduzi ya Zanzibar iliwapotezea ikaendelea kuwaletea maendeleo wananchi. Chadema hamna madhara mkisusa SHAURI YENU
Mnaniudhi sana mnaosema Watanzania hawajaamka/ujinga unawasaidia CCM, nk; lugha kama hizi za kutudharau ndizo zinafanya tupunguze interest za kuwaunga mkono.mnatakiwa kufahamu watanzania bado hawajaamka na asilimia kubwa elimu ni tatizo so hata mkizira wao hawana mda na nyie.
Hujui kitu CUF ilikuwa inachukua ruzuku walifika Maalim na Lipumba wakagombana kwa sababu ya ruzuku.Baada ya Maalim kususia uchaguzi 2015, wanachama walichangia chama kwa uwezo wao. Mbona aliweza kukiendesha chama kwa miaka mitano bila ruzuku ya serikali.
Hamstahili hata kupata. Mbunge mmoja mtapataje viti maalum?Cdm hatutaki viti vya mbeleko,tuna uhakika wa wapiga kura. Wapeni hivyo vyama mamluki.
Hamstahili hata kupata. Mbunge mmoja mtapataje viti maalum?
Toa kifungu cha sheria kinachosema mnastahili viti maalum?Nasema hivi, huna ujualo zaidi ya ushabiki wa kufuata mkumbo.
Itakufa kivipi?Naunga mkono hoja, Chadema, hapa walipo tayari they are half dead, wakisusa kutoa ushirikiano kwa Mbunge wao wa ngama, na kususia kuteua wabunge wa viti maalum, then kwa Chadema, that will be the final fenale, Chadema itakuwa finito, totally kwishney, their only place will be 6ft under!.
Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto?
Wanabodi, Hili mada ya swali kuhusu tabia ya kususa, kisiasa, huu mtindo wa kuzira au kususa susa, kususia kila jambo usilokubaliana nalo, sio tabia za kike hizi?, au sio tabia za kitoto?!. Mtu unasusia jambo fulani la kisiasa, ili upate nini?. Kususia jambo lolote la kisiasa bila kupiga...www.jamiiforums.com
Watu tunakesha humu kuwaombea uteuzi, kumbe wenzetu wanapanga kususa!.
Hawajajifunza kilichowapata CUF na sasa ACT kususa ile 2016?.
Kama ni kususa, suseni ila msije kujuta...
P
Kumbe umekua ukipiga kelele za siasa lakini siasa yenyewe huijui kiasi hiki. Ndiyo maana hata hoja za msingi wanazozitoa watu siyo rahisi ukazielewa, hujui kitu. Viti maalumu havitegemei idadi ya wabunge, vinategemea % ya kura za wabunge ambazo chama kimepata nchi nzima. CHADEMA kimepata zaidi ya 5% ni kama 13% hivi. Hivyo kina sifa ya kupata wabunge wa viti maalumu zaidi ya 15.Hamstahili hata kupata. Mbunge mmoja mtapataje viti maalum??
Huyu jamaa kumbe ni zero kabisa. Ndiyo maana unakuta hata hoja za msingi yeye anapinga tu, hakuna anachojua.Nasema hivi, huna ujualo zaidi ya ushabiki wa kufuata mkumbo.