Mawakili wa CHADEMA waghairi kuwahoji Halima Mdee na Wenzake 18

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,159
27,194
Kesi ya kina Mdee na CHADEMA leo imeingia ukurasa mpya baada ya mawakili wa CHADEMA kusema hawana tena maswali kwa akina Mdee.

Hapo siku za nyuma mawakili hawa walishangiliwa sana jinsi walivyokuwa wakipambana na kina Mdee mahakamani na wengi wakashangilia pia jinsi walivyokuwa wanawahoji maswali na wapo waliosema "tutayajua mengi"

.....Ajizi nyumba ya njaa..... Leo hii wale mawakili wamenyoosha mikono juu na kusema hawana tena maswali kwao. Kwa lugha nyepesi mambo yanaenda kuisha

Tabu kubwa inabaki kwa washabiki waliokuwa wakisubiri kwa hamu kina mdee wadhalilike ili waandike kila aina ya andiko. Walisubiri kina mdee wateseke, wachekwe.

Wenye akili tuliwaambia mapema.

Viva Mdee, vivaaaaa

#kazi inaendeleaaaaa#
===

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefunga kuwahoji wabunge watatu miongoni mwa wengine 19 wa viti maalum waliofukuzwa uanachama na chama hicho, kikisema kuwa hakina maswali zaidi kwa wabunge hao.

Wabunge walioachwa kuhojiwa maswali ya dodoso leo Jumatatu Machi, 6, 2023 ni pamoja na Halima Mdee, Ester Bulaya na Ester Matiko.

Akizungumza leo Machi 6 wakati kesi hiyo iliitwa kwaajili ya Jesca Kishoa kuendelea kuhojiwa maswali ya dodoso, Wakili wa wajibu maombi, Hekima Mwasipu, amesema kesi hiyo ilipaswa kuendelea kwa Mbunge wa Viti Maalumu, Jesca Kishoa lakini kwa upande wao wamefunga.

Wabunge hao 19 wakiongozwa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Halima Mdee walifukuzwa uanachama Novemba 2020 baada ya kwenda bungeni Dodoma kuapishwa bila idhini ya chama hicho.
 
Kesi ya kina Mdee na CHADEMA leo imeingia ukurasa mpya baada ya mawakili wa CHADEMA kusema hawana tena maswali kwa akina Mdee.

Hapo siku za nyuma mawakili hawa walishangiliwa sana jinsi walivyokuwa wakipambana na kina Mdee mahakamani na wengi wakashangilia pia jinsi walivyokuwa wanawahoji maswali na wapo waliosema "tutayajua mengi"

.....Ajizi nyumba ya njaa..... Leo hii wale mawakili wamenyoosha mikono juu na kusema hawana tena maswali kwao. Kwa lugha nyepesi mambo yanaenda kuisha

Tabu kubwa inabaki kwa washabiki waliokuwa wakisubiri kwa hamu kina mdee wadhalilike ili waandike kila aina ya andiko. Walisubiri kina mdee wateseke, wachekwe.

Wenye akili tuliwaambia mapema.

Viva Mdee, vivaaaaa

#kazi inaendeleaaaaa#
View attachment 2539139
Kumbe uwezo wako ni mdogo kabisa wa uelewa.

Kesi iliyoko mahakamani imefunguliwa na COVID-19 na sio Chadema, hivyo waliokuwa wanapaswa kuprove kesi yao kuwa wao bado ni wanachama halali.

Sasa mwanzo kwa vile mwelekeo ulikuwa serikali iko upande wao ndio maana Kibatala na wenzake walikuwa wanatumia nguvu nyingi kutaka kuweka wazi kuwa Bunge, Tume na serikali ndio wame forge uwepo wao Bungeni, lakini kama serikali haitaki ionekane ina mkono basi nikuiacha mahakama idhibitishe sio wanachama tena na case dismissed bila kuumbuana tena.
 
Kesi ya kina Mdee na CHADEMA leo imeingia ukurasa mpya baada ya mawakili wa CHADEMA kusema hawana tena maswali kwa akina Mdee.

Hapo siku za nyuma mawakili hawa walishangiliwa sana jinsi walivyokuwa wakipambana na kina Mdee mahakamani na wengi wakashangilia pia jinsi walivyokuwa wanawahoji maswali na wapo waliosema "tutayajua mengi"

.....Ajizi nyumba ya njaa..... Leo hii wale mawakili wamenyoosha mikono juu na kusema hawana tena maswali kwao. Kwa lugha nyepesi mambo yanaenda kuisha

Tabu kubwa inabaki kwa washabiki waliokuwa wakisubiri kwa hamu kina mdee wadhalilike ili waandike kila aina ya andiko. Walisubiri kina mdee wateseke, wachekwe.

Wenye akili tuliwaambia mapema.

Viva Mdee, vivaaaaa

#kazi inaendeleaaaaa#
View attachment 2539139
Ukiwa na akili ndogo utawabeza hao mawakili kama alivyoviandika mwandishi wa habari hii. Lakini wenye akili kubwa tunajua kwanini mawakili wameamua kughaili.

Jambo usilolijua litakupa taabu sana. Hongera mawakili wa CHADEMA kwa hilo. Mazezeta yanahaha kutaka kujua kuna nini.
 
Impliedly wamekubali yaishe
===

1678107305523.png
Mawakili wa CHADEMA wakacha kuwahoji waliokuwa wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho
Halima Mdee, Esther Matiko na Ester Bulaya.

Katika hali isiyotarajiwa mawakili wa CHADEMA wamewasilisha mahakamani kusudio kutoendelea maswali ya dodoso(cross examination) kwa watajwa hapo juu kwa kile walichodai wameridhika na taarifa walizokusanya kutoka kwa waliokuwa wametangulia kuhojiwa kuhusiana na namna mchakato wa wao kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalum ulivyofanyika.

Source: Jambo TV
 
Back
Top Bottom