Hahaha CCM wametumia gharama kubwa wapi jomba. Mnachekesha mnadhani wananchi hawaelewi wanachoamua. Usiwachukulie poa watanzania..wanauwezo wa kupima na kuamua Nani ni Nani. Endeleeni kusingizia CCM Kama vile hamnazo.Upuuzi huo CCM so wametumia gharama kubwa kuua upinzani Sasa mapenzi ya ghafla na upinzani yanatoka wapi?
Hiyo Ni mbinu ya divide and rule ikimlenga mbowe na Lissu tu, ili wabunge wa viti maalum wakiingia bungeni washawishiwe kuunga juhudi, kwa kuhongwa ili kuhalalisha ushetani wa ccm na nec
Mama nikumbushe ile zawadi usiisahau tafadhaliBaada ya Maalim kususia uchaguzi 2015, wanachama walichangia chama kwa uwezo wao. Mbona aliweza kukiendesha chama kwa miaka mitano bila ruzuku ya serikali.
Umewasikiliza NEC?Hili ni juu yao kwanza wenye haki hyo ni ACT
CUF ya MAALIM SEIF walisusia kabisa uchaguzi wa marudio na hawakufa njaa na moto wake umeuona.Huu ndio ukweli ninaowaeleza msije mkajichanganya mkagomea Bunge la awamu hii.
Nu kweli uchaguzi hakua wa haki lakini hampaswi kususia Bunge.
Kwasababu hata mkisusa hamta gain chochote mnatakiwa kufahamu watanzania bado hawajaamka na asilimia kubwa elimu ni tatizo so hata mkizira wao hawana mda na nyie.
Eacheni vichwa kama Halima Mdee, Suzan Kiwanga, Ester Bulaya. n.k
Waacheni wakapambane hata kama watakua peke yao, shujaa hakimbii vita
Mnafikiri mkisusia bunge baada ya hapo itasaidia nini?
Kazi kwenu sawa
Mkuu, wale ni Wazanzibar. Huku bara, hakuna mapenzi ya hivyo. Waende tu Bungeni.Baada ya Maalim kususia uchaguzi 2015, wanachama walichangia chama kwa uwezo wao. Mbona aliweza kukiendesha chama kwa miaka mitano bila ruzuku ya serikali.
CCM wengi elimu ni ndogo sana, wanachukua kura za wabunge wote wa CHADEMA wanagawa kwa kura za wagombea wote wa ubunge TZ wanapata asilimia.Kwani wamefikisha 5% ya wabunge ili wapate nafsi za viti maalum?
CHADEMA Arusha waliwahi susia vikao vya halamshauri baada ya meya kutokea CCM ila ilipofika 2015 wakazoa halamshauri nzima.Mkuu, wale ni Wazanzibar. Huku bara, hakuna mapenzi ya hivyo. Waende tu Bungeni.
Kama unakumbuka kipindi kile walipotoka Bungeni kwa ajili ya Corona, pamoja na kuwa ilikuwa kwa nia nzuri, Watanzania wengi waliwageuka, na ikawa ni siraha kwenye kampeni za uchaguzi.
Kwa hiyo, hawa hawa wanaotoa ushauri kuwa WASUSE, hao hao baada ya siku chache kupita, wataanza kuwalaumu kwa kutokupeleka hao akina Dada/Mama Bungeni. Watu wa huku Bara hatuna msimamo, na ni wanafiki sana!
WAENDE TU BUNGENI!
Huu ndio ukweli ninaowaeleza msije mkajichanganya mkagomea Bunge la awamu hii.
Nu kweli uchaguzi hakua wa haki lakini hampaswi kususia Bunge.
Kwasababu hata mkisusa hamta gain chochote mnatakiwa kufahamu watanzania bado hawajaamka na asilimia kubwa elimu ni tatizo so hata mkizira wao hawana mda na nyie.
Eacheni vichwa kama Halima Mdee, Suzan Kiwanga, Ester Bulaya. n.k
Waacheni wakapambane hata kama watakua peke yao, shujaa hakimbii vita
Mnafikiri mkisusia bunge baada ya hapo itasaidia nini?
Kazi kwenu sawa
Kwa njaa zao,watazungukana sasa hiviHuu ndio ukweli ninaowaeleza msije mkajichanganya mkagomea Bunge la awamu hii.
Nu kweli uchaguzi hakua wa haki lakini hampaswi kususia Bunge.
Kwasababu hata mkisusa hamta gain chochote mnatakiwa kufahamu watanzania bado hawajaamka na asilimia kubwa elimu ni tatizo so hata mkizira wao hawana mda na nyie.
Eacheni vichwa kama Halima Mdee, Suzan Kiwanga, Ester Bulaya. n.k
Waacheni wakapambane hata kama watakua peke yao, shujaa hakimbii vita
Mnafikiri mkisusia bunge baada ya hapo itasaidia nini?
Kazi kwenu sawa
Mkuu mbona unapingana Na sera yetu ya Tanzania ya kijani?Naunga mkono hoja, Chadema, hapa walipo tayari they are half dead, wakisusa kutoa ushirikiano kwa Mbunge wao wa ngama, na kususia kuteua wabunge wa viti maalum, then kwa Chadema, that will be the final fenale, Chadema itakuwa finito, totally kwishney, their only place will be 6ft under!.
Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto?
Wanabodi, Hili mada ya swali kuhusu tabia ya kususa, kisiasa, huu mtindo wa kuzira au kususa susa, kususia kila jambo usilokubaliana nalo, sio tabia za kike hizi?, au sio tabia za kitoto?!. Mtu unasusia jambo fulani la kisiasa, ili upate nini?. Kususia jambo lolote la kisiasa bila kupiga...www.jamiiforums.com
Watu tunakesha humu kuwaombea uteuzi, kumbe wenzetu wanapanga kususa!.
Hawajajifunza kilichowapata CUF na sasa ACT kususa ile 2016?.
Kama ni kususa, suseni ila msije kujuta...
P
Upinzani hauwez kuisha kamwe,na hilo mnajidanganya sn ccm,ila mtambue anguko lenu halipo mblLengo letu ni kuua upinzani