CHADEMA Mitandaoni Wafanya Makubwa Kalenga na Chalinze

CHADEMA Mitandaoni Wafanya Makubwa Kalenga na Chalinze

Huyo dada lusungo anavyotapatapa mpaka namuonea huruma.Anaweza kuweka namba yake hapa makamanda tukamchangia walau ya uji wa mhogo.

Mnuka dhiki wewe usiyejua hatima yàko ya kesho unichangie mie??
 
Last edited by a moderator:
Sana!! Umewaacha wanaweweseka kwakuwa wao wanahemea buku saba nyuma ya pc za lumumba!

Naskia wameongezewa baada ya Mwigulu kuzawadiwa unaibu waziri wa madafu. Hivi sasa wanalamba buku saba unusu.
 
Bora huyo anaelipwa elf 7 anaendesha maisha yake kuliko wewe unaeishi kwa shemeji yako na kulala sebuleni huku ukishuhudia Dada anapigwa..
Badilikeni vijana mnaangamia wenzenu watoto wao wapo ulaya na America nyie watumia vibatari mnahangaika..period !!

Pole mlipwa buku7 nakuona unavyokesha huku mitandaoni mchana na usiku ukiwa unatetea buku7 yako, ndiyo akili yako ilipofikishwa kikomo chake.
Kamwambieni Nape awape hela mje mchange kama wenzenu
 
Kuna watu wanawazimu kweli! Yaani unatoa hela mfukoni kwa upuuzi huu wa siasa. Kweli Wajinga ndio waliwao.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Mtoto Mzuri kama wewe kuanza kukashifu watu wa makamo kama mimi haipendezi. Kama una shida yeyote ni - PM usifuate huu mkumbo wa wahuni!

mtoto mzuri kama Eliza hawezi kuhangsika na wanaopumuliwa..
 
Mtoto Mzuri kama wewe kuanza kukashifu watu wa makamo kama mimi haipendezi. Kama una shida yeyote ni - PM usifuate huu mkumbo wa wahuni!

MSALANI sidhani kama kashfa na matusi yatabadilisha hii positive kuwa negative. ...kwa ufupi watu wameamua hii ni sehemu ndogo tu. Tukiamua kuripoti kila kitu nadhani utalazwa mkuu
 
Last edited by a moderator:
MSALANI sidhani kama kashfa na matusi yatabadilisha hii positive kuwa negative. ...kwa ufupi watu wameamua hii ni sehemu ndogo tu. Tukiamua kuripoti kila kitu nadhani utalazwa mkuu

Matusi gani mkuu mkuu Elizabeth Dominic, mimi nimekuelezea hisia zangu tu, wako mamia ambao hawawezi kukwambia wazi! Mimi ni mtu wa Makamo kidogo! Sipendi mzaha!
 
Last edited by a moderator:
Hela ya kumnunulia kalamu mdogo wako inakushinda halafu unaenda kuchanga ili ujipenyeze kwa slaa huo ni ujinga dogo badilika

Pole dada yangu kunywa maji sasa.Shinikizo la damu litakuua mama!
 
MSALANI sidhani kama kashfa na matusi yatabadilisha hii positive kuwa negative. ...kwa ufupi watu wameamua hii ni sehemu ndogo tu. Tukiamua kuripoti kila kitu nadhani utalazwa mkuu

Hivi mtu alazwe kwa ajili ya laki tano?

CCM tuna rasilimali za kutosha nchi nzima Leo tulazwe kwa michango ya mafukara?
Kila siku tunawapiga bao kwenye chaguzi tuumwe na nini sasa?

ACT taratibu wanakuja kuwafunika ili tupumzike na utoto wenu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom