Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Hata mimi nimesahaulika, ila mimi nimetuma TZS 50,000 kwa M-PESA kwa Kamanda Mawazo kupitia 0756 039 703. Naomba na wengine wafanye hivyo. Chalinze nitachangia TZS 100,000.
Safi sana Kamanda. Pamoja daima!