CHADEMA Mitandaoni Wafanya Makubwa Kalenga na Chalinze

CHADEMA Mitandaoni Wafanya Makubwa Kalenga na Chalinze

Kuna watu wanawazimu kweli! Yaani unatoa hela mfukoni kwa upuuzi huu wa siasa. Kweli Wajinga ndio waliwao.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk

Buku saba leo mtabadili ID mpaka ukome...Poleni Jamani.
 
Hivi mtu alazwe kwa ajili ya laki tano?

CCM tuna rasilimali za kutosha nchi nzima Leo tulazwe kwa michango ya mafukara?
Kila siku tunawapiga bao kwenye chaguzi tuumwe na nini sasa?

ACT taratibu wanakuja kuwafunika ili tupumzike na utoto wenu

Wewe unaugua. Mna rasilimali gani zaidi ya udhulumat tu
 
Ushachoka!!
Hoja zimekushinda unaanza viroja

Nyie ni majambazi mnaojaribu kununua upendo wa Watanzania lakini washawachoka. Kinachowauma ni jinsi watu wanavyojitoa kwa chochote walichonacho.....tutaendelea tu hadi mpasuke
 
Wewe unaugua. Mna rasilimali gani zaidi ya udhulumat tu

Tunamdhulumu nani?

Tunasambaza ruzuku mpaka wilayani...

Tuna wafanyakazi waajiriwa mpaka ngazi ya kata Leo mtatuambia nini?
Wenzenu ruzuku wanaitafuna makao makuu halafu nyie mafukara mnakaa kichangishana vihela vya madafu mnachekesha!!!!

Unafikiri utapewa ubunge wa viti maalumu? Umeliwa!!
 
Your intellect is below average. No matter how hard I try to make you understand the significance of today's contribution hutoelewa....too bad
 
Nyie ni majambazi mnaojaribu kununua upendo wa Watanzania lakini washawachoka. Kinachowauma ni jinsi watu wanavyojitoa kwa chochote walichonacho.....tutaendelea tu hadi mpasuke

Acha upimbi wewe nani anajitoa zaidi yenu washika gidamu?
Eti wananchi mbona hawawachagui?
Mmejionea wenyewe kwenye kura za udiwani mlivyoangukia pua halafu unapindisha ukweli si bure ushadata wewe
 
Your intellect is below average. No matter how hard I try to make you understand the significance of today's contribution hutoelewa....too bad

Wewe uchangie nini wakati wenzio wanatafuna ruzuku we unashindia dagaa tuu?
CCM ndo kimbilio la wastaarabu huko kwingine uhuni tuu
 
Mbona hii kitu imefanyika kimya kimya?

Naamini hakuna mtu aliyetengwa!
 
Napenda kuwakumbusha ndugu zangu wana CDM mtandaoni wekezeni zaidi Kalenga maana Chalinze haijapata kuwa na mbunge mwenye govi, wala haitakuja kutokea kipindi hiki cha uhai wetu.
 
The good one is that everyone has put you in the ignore list

I don't care..
Sio breadwinner wangu hata wewe ukitaka weka coz sijakufwata umejipendekeza mwenyewe..

Fukara kama wewe huna faida yoyote na wala sipo hapa kwa ajili yako..

Potezeaaaa
 
Wewe uchangie nini wakati wenzio wanatafuna ruzuku we unashindia dagaa tuu?
CCM ndo kimbilio la wastaarabu huko kwingine uhuni tuu

Chadema will keep getting our contributions!Lusingo it pains and shame on you
 
Back
Top Bottom