Kwa kufanya hivi chadema tutashinda asubuhi sana kalenga na chalinze na 2015

mandago shululu

Senior Member
Mar 24, 2013
124
34
Wabunge wote wahamie Kalenga ili wawe mawakala na walinzi,viongozi wote wa chadema wa mkoa husika wawe Kalenga,viongozi walioko makao makuu wawe kalenga ili waweze kusambazwa na kupewa majukumu ya kulinda kura.Chonde chonde nawaomba sana Waziri mkuu pamoja na Rais watarajiwa wetu mlifanyie kazi jambo hili.Nawakumbushia ni ile issue niliyopost mwezi wa kwanza mwishoni,iliyokuwa inasema kwamba. "CHADEMA TUNAWAPIGANAJI NA WAPAMBANAJI WENGI ZAIDI YA MNAOWAFAHAMU" Katika posti hiyo nilisema kwamba,sasa hivi kila jimbo kunawatiania wa ubunge pamoja na udiwani ambao ni wazuri sana ambao waweza kuwa wazuri sana,kitu kinachotakiwa kufanywa ni kwamba ufanywe usahili wa kuwapima hao makamanda ili watakao onekana kuwa ni wazuri sana wapangiwe majukumu ili waweze kuingia kwenye mchakachaka wa Elimu ya uraia(civic education) na kwa maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na uchaguzi mkuu 2015,mnaweza mkaamua hata kila mkoa kuchukua makamanda7 au kadri mtakavyoona,kama mkiamua kuchukua 7 na ukazidisha kwa mikoa 20 utapata makamanda 140 ambao wanaungana na makamanda waliopo kwa sasa ili kuweza kutawanywa kila kona ya nchi.Timu ya makamanda hawa inaweza ikachaguliwa jina lao kamili mfano wanaweza kuitwa TIKMATA lenye maana ya Timu ya Kusaka Mabadiriko Tanzania.Mbinu ambazo wanazitumia wenzetu tunazifahamu sana we have to be more creative and ponderble daily through learning and practice if not emitate what other side is doing,kwa mbinu hii chadema ushindi ni asubuhi sana.Tunamakamanda kama akina MAWAZO,LEMA,MNYIKA ,MDEE....... hawawezi kuhimili kuzunguka nchi kwa wakati mmoja,mfano katika uchaguzi mkuu 2015 kila mmoja atajikuta akitetea jimbo lake,kama hatutatafuta wapiganaji wengine kwa sasa tutajukuta tunakosa wapambanaji coz tunaowatumia kila siku nao watakuwa kwenye majimbo yao.Heri vita ya kusaka amani kuliko uhuru wa kuiba raslimali za Taifa.

Mandago 2015 Kwimba
mshululu@yahoo.com
 
sahihi kabisa maandalizi ya awali na endelevu ni muhimu sana kukiimalisha chama na kudhibiti mbinu chafu upande wa pili
 
Ni kweli maandalizi ya watu waaminifu ni muhimu sana, kinachosumbua na kitaendelea tisipokuwa waangalifu ni masalia ya ZZK yaliyong'ang'ania ndani ya chama hivyo basi inabidi kila jiwe ligeuzwe kabla ya kusema tuu salama
 
kAMANDA UKO SAHIHI, MBINU HII PIA ITATUSAIDIA KUPIMA UWEZO WA WATIA NIA KATIAKA KUTAWALA JUKWAA NA KUNADI SERA.
 
iLA MJITAHIDI SANA KULINDA KURA SIKU ZA KUPIGA KURA MAANA HAPO NDIPO CCM WANAPOPATIA USHINDI MAANA WAMESHAJUA KUWA WANANCHI HAWAWATAKI HIVYO WANATUMIA NJIA CHAFU.
 
Kamanda hongera sana kwa ushauri wako lakini Chadema wameishachelewa uchaguzi siyo siku ya kupiga kura tu, uchaguzi unaanzia toka siku wagombea wanateuliwa na vyama vyao.
 
Wabunge wote wahamie Kalenga ili wawe mawakala na walinzi,viongozi wote wa chadema wa mkoa husika wawe Kalenga,viongozi walioko makao makuu wawe kalenga ili waweze kusambazwa na kupewa majukumu ya kulinda kura.Chonde chonde nawaomba sana Waziri mkuu pamoja na Rais watarajiwa wetu mlifanyie kazi jambo hili.Nawakumbushia ni ile issue niliyopost mwezi wa kwanza mwishoni,iliyokuwa inasema kwamba. "CHADEMA TUNAWAPIGANAJI NA WAPAMBANAJI WENGI ZAIDI YA MNAOWAFAHAMU" Katika posti hiyo nilisema kwamba,sasa hivi kila jimbo kunawatiania wa ubunge pamoja na udiwani ambao ni wazuri sana ambao waweza kuwa wazuri sana,kitu kinachotakiwa kufanywa ni kwamba ufanywe usahili wa kuwapima hao makamanda ili watakao onekana kuwa ni wazuri sana wapangiwe majukumu ili waweze kuingia kwenye mchakachaka wa Elimu ya uraia(civic education) na kwa maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na uchaguzi mkuu 2015,mnaweza mkaamua hata kila mkoa kuchukua makamanda7 au kadri mtakavyoona,kama mkiamua kuchukua 7 na ukazidisha kwa mikoa 20 utapata makamanda 140 ambao wanaungana na makamanda waliopo kwa sasa ili kuweza kutawanywa kila kona ya nchi.Timu ya makamanda hawa inaweza ikachaguliwa jina lao kamili mfano wanaweza kuitwa TIKMATA lenye maana ya Timu ya Kusaka Mabadiriko Tanzania.Mbinu ambazo wanazitumia wenzetu tunazifahamu sana we have to be more creative and ponderble daily through learning and practice if not emitate what other side is doing,kwa mbinu hii chadema ushindi ni asubuhi sana.Tunamakamanda kama akina MAWAZO,LEMA,MNYIKA ,MDEE....... hawawezi kuhimili kuzunguka nchi kwa wakati mmoja,mfano katika uchaguzi mkuu 2015 kila mmoja atajikuta akitetea jimbo lake,kama hatutatafuta wapiganaji wengine kwa sasa tutajukuta tunakosa wapambanaji coz tunaowatumia kila siku nao watakuwa kwenye majimbo yao.Heri vita ya kusaka amani kuliko uhuru wa kuiba raslimali za Taifa.

Mandago 2015 Kwimba
mshululu@yahoo.com
tupo katika maandalizi ya mwisho ya kuwapokea wabunge 42 wa CHADEMA , mkoa wa Iringa ukipita maeneo mengi ya kalenga tangu jana wengi wanamsisimko wa kuwaona wabunge hawa kwahiyo kazi imeanza
 
Safi makamanda twendeni tukalinde kura ili wanakalenga waanze kuonja radha ya uongozi mpya na wenye matumaini chini ya watetezi wa haki CDM.

Peoooople's power!
 
Back
Top Bottom