CHADEMA Mitandaoni Wafanya Makubwa Kalenga na Chalinze

Tanzania itajengwa na wenye moyo kama wana M4C

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
I don't care..
Sio breadwinner wangu hata wewe ukitaka weka coz sijakufwata umejipendekeza mwenyewe..

Fukara kama wewe huna faida yoyote na wala sipo hapa kwa ajili yako..

Potezeaaaa

Hakuna mafukara nchi hii kama ninyi mnaoishi kwa kutumika na Lumumba kwa malipo ya buku saba!
 
ila jamani hamjafanya fair, ifanyike fund raising humu jukwaani tupatiwe mpesa, tigo-pesa,airtel money nk tutunishe mfuko wa ukombozi Chalinze, hiyo laki 5 sio haba ila inaweza patikana kubwa zaidi


Kwa kazi inayoendelea huko Kalenga na kwingineko, hicho kiasi kilichopatikana ni kidogo sana. Kuna mdau namfahamu ambaye angeweza kutoa hiyo yote au 50% ya kiasi hicho.

Kukomboa nchi ni kazi ngumu na ndiyo maana Nyerere alichangiwa na wauza maandazi na vitumbua.

Nawashauri wahusika watumie kila njia kupata michango ya kusaidia wapiganaji walioko kwenye uwanja wa mapambano.

Tulifanya hivyo 1978/79 tukamcharaza Nduli Idd Amini Dada na hatuna sababu ya kushindwa kutumia mbinu hiyo kudeal na hawa Ma- Nduli wapya wa Lumumba!
 
Hiki chama kimebaki kuungaunga tu. siasa uchwara na hoja za matukio. Watapigwa kipigo cha mbwa mwizi kalenga halafu watachapwa mijeledi chalinze. Huo ndio utakuwa mwisho halisi wa chadema.
Chopa tatu kata tatu itakuwa chopa 3 jimbo 0
 
Back
Top Bottom