Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Mchango huu umeitikisa Lumumba na vibaraka wake.
Sana!! Umewaacha wanaweweseka kwakuwa wao wanahemea buku saba nyuma ya pc za lumumba!
Mchango huu umeitikisa Lumumba na vibaraka wake.
Mchango huu umeitikisa Lumumba na vibaraka wake.
Ukiona mtu anatukana ujue uchungu ushamwingia kwa koromeo..
Mnaacha kula hata vipapatio vya kuku hizo kwashakoo ziwatoke mnafaidisha wenzenu..
Huyo yeriik hata elfu 20 ya kutuma kwao inamshinda anatafuta sifa kwa kuchangia ujinga humu wakati wazazi wake wanalala Giza kwa kukosa kerosene!!!
Laana mnaiokota hivi hivi kwa kuacha kuhudumia familia zenu na kwenda kuwapa wahuni wakahonge mahawara...
Too silly...
Mbona unaonekana umeumia sana jomba.
Hakuna. Labda wakereketwa!
Akamdanganya freelad siyo sisi SAA name pesa ya kula ni shida alafu unasema eti yeye na yeriko wametoa laki tano jamani jamani
Mbona umehamanika sana? Ujue huo ni mwanzo subiri uone kazi ya ukombozi inavyoendeshwa kutoka kwenye grassroots
Kabisa mkuu, huko hawaamini kilichotokea,
Hongera wana chadema............
Hao vijana wanaacha kusaidia wazazi wao hela za mafuta ya taa wasilale gizani wanaendekeza ujinga wa kujipendekeza kwa akina mboe ambapo mwisho wa siku wanaishia kutimuliwa...
Siwezi kuumizwa kwa 500000 coz ni hela ambayo hata Mimi tu naweza kutoa peke yangu
Wewe ndio unawaza utaihudumiaje familia yako maana utumishi wako lumumba unaishia kwenye buku saba! Wenzio tumetoa ziada zetu kuikomboa nchi!
Hao vijana wanaacha kusaidia wazazi wao hela za mafuta ya taa wasilale gizani wanaendekeza ujinga wa kujipendekeza kwa akina mboe ambapo mwisho wa siku wanaishia kutimuliwa...
Siwezi kuumizwa kwa 500000 coz ni hela ambayo hata Mimi tu naweza kutoa peke yangu
Au LEMA anawadanganya "tumeibiwa kura na Policcm pamoja na usalama wa taifa!"
Leo umoja wa Wanachadema wanaoendesha siasa zao kupitia mitandao ya kijamii wamekabidhi michango yao mbele ya Viongozi wakuu wa Chama hicho. Akizungumza na waandishi wa habari mwakilishi wa wanachadema hao Bwana Yericko Nyerere amesema, "Mara yakwanza zilipoanza kampeni za Kalenga tulipenda kushiriki siasa za majukwaani moja kwa moja lakini walibuni njia mujarabu yakushiriki kikamilifu kwa kila mmoja kuchanga kiasi chochote alichonacho na kukileta kwenu viongozi ili kisaidie ushindi Kalenga na Chalinze. "Ninawashukuru makamanda kwakujitolea kuchanga kiasi cha laki tano ambazo leo nitazikabidhi hapa, niwahakikishie wanahabari kuwa Kalenga tutashinda, hilo halihitaji mjadala, sasa tunakwenda Chalinze, tutahakikisha tunalibeba jimbo hilo kwakuwa tumempata mgombea imara Kamanda Mathayo"
Nae Mh John Mrema ambe amepokea mchango huo kwa niaba ya Katibu Mkuu amepongeza juhudi za wanachama wanaohudumu siasa mitandaoni kwa kuwahimiza kupambana kukijenga chama na kukitetea bila kuchoka, Kundi la wanachadema mitandaoni kupitia M4C PAMOJA DAIMA ni mjumuiko wa makamanda wote wa Chadema.
cc
Ben Saanane, Mungi, Shark, Masanilo, sweetlady, 'Valentina', The Name, Crashwise, Filipo, chadema kote, Molemo, Babu Jitu na wengine wengi.....
View attachment 143994
Unafikiri kila mtu mlalahoi kama wewe unaepigania ukombozi?
Unafikiri kila mtu mlalahoi kama wewe unaepigania ukombozi?
Umeumizwa ndio maana unaropoka ambayo hayapo hapa.... Kwanini unawashambulia Ben Saanane na Yericko Nyerere binafsi? Umeambiwa mchango ni wana cdm wa mitandaoni wewe unawarukia watu wawili ili iweje? Acha wivu basi kijana... Utaumwa sana mwaka huu na bado
Utaratibu huu ukiimarishwa utakua mojawapo ya vyanzo vizuri vya mapato ya chama. Ni wazi kua tumekua tukikipigania sana chama chetu kwenye mitandao kwa muda mrefu, lakini tumekosa muda wa kuwepo kwenye field (Kalenga, e.t.c). Hivyo basi kwa michango hii nasi tumewakilisha ipasavyo, ni wazi kua wengine zaidi watajitokeza kuchangia zaidi!!
Wasaidie wazee wako wanalala kiza