CHADEMA Mitandaoni Wafanya Makubwa Kalenga na Chalinze

CHADEMA Mitandaoni Wafanya Makubwa Kalenga na Chalinze

Safi sana CHADEMA,, wapiga kura wengi tupo humu mitandaoni,. Amin usiamin, kama CDM mnajidanganya kwamba mtakomboa nchi kwa kutumia mtandao mmekwisha. Nendeni vijijini huko ukiwauliza mtandao ni nini watakushangaa..
 
Akamdanganya freelad siyo sisi SAA name pesa ya kula ni shida alafu unasema eti yeye na yeriko wametoa laki tano jamani jamani[/ ha ha nepi, anajineemesha we kutwa kuchwa unaangaika na cdm pole.
 
Safi sana CHADEMA,, wapiga kura wengi tupo humu mitandaoni,. Amin usiamin, kama CDM mnajidanganya kwamba mtakomboa nchi kwa kutumia mtandao mmekwisha. Nendeni vijijini huko ukiwauliza mtandao ni nini watakushangaa..

Acha kuweweseka dada yangu.Kiasi kilichochangwa kinaweza kutumika kuhamasisha wananchi kwa namna gani kuikubali Chadema? Hujui wapo watu wanahitaji nauli ya kutoka kijiji kimoja kwenda kijiji kingine kupeleka neno la Ukombozi?

Mtatuelewa tu...!!
 
Bora huyo anaelipwa elf 7 anaendesha maisha yake kuliko wewe unaeishi kwa shemeji yako na kulala sebuleni huku ukishuhudia Dada anapigwa..
Badilikeni vijana mnaangamia wenzenu watoto wao wapo ulaya na America nyie watumia vibatari mnahangaika..period !!

Aliwazalo m.jinga ndilo litakalo mtokea. Pole sana, unalala sebuleni na jamaa anampa raha dadaako wewe unasikilizia!!? Pole sana. Ni matatizo ya CCM yaliyokukosesha elimu, sasa unaishia kulala kwa shemeji. Kwa hii dunia ya kikameruni, siku dada akiwa mwekundu jamaa hakuachi?
 
Nakuonea huruma wewe unaeliaga kwa sauti huko kanisani kwenu eti yesu akuokoe na umaskini halafu hapa unatetea ujinga..
Imbecilic!!

Acha kutukana na kukashifu Imani za watu wengine wewe! Uwe na adabu walao kwa dini za watu.
 
Aliwazalo m.jinga ndilo litakalo mtokea. Pole sana, unalala sebuleni na jamaa anampa raha dadaako wewe unasikilizia!!? Pole sana. Ni matatizo ya CCM yaliyokukosesha elimu, sasa unaishia kulala kwa shemeji. Kwa hii dunia ya kikameruni, siku dada akiwa mwekundu jamaa hakuachi?

Mkuu Filipo umempa za uso huyo Gamba sidhani kama atarudi tena!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Filipo matusi yako hapa JF yanareflect Muundo wa BAVICHA.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mapenzi kwa ccm dada!! Chama kimeitafuna nchi mkafanywa maskini na sasa kinawatumia kwa buku sabasaba hapo Lumumba. Hata mwendawazimu haweziipenda ccm. Ndio maana mmepagawa kuona wenye mapenzi na cdm! Ni mambo mageni kwenu!

Huyo dada lusungo anavyotapatapa mpaka namuonea huruma.Anaweza kuweka namba yake hapa makamanda tukamchangia walau ya uji wa mhogo.
 
Last edited by a moderator:
BAVICHA imejengwa kwenye msingi wa matusi; kashfa; kejeli; dharau na kutokuheshimiana.
 
nami naomba kujiunga kwenye harakati za ukombozi kuwaondoa hawa ccm washenzi na wahuni wakubwa
 
siasa za mitandaoni ni tofauti sana kama ukiingia front line,na ndio maana unapofika wakati wa kura ndipo utaelewa na kuona madhara ya kuwa na matumaini kupitia mitandao ya kijamii,kwani kura hazipigwi kupitia mitandaoni na hapo ndipo utofauti unapokuja

Sasa jionee siasa za mitandaoni zinavyoleta impact huko ardhini
 
hope mitandaoni tupo vyema,sasa ifike wakati mf. Chalinze,wanamitandao tuingie field,wale walio busy na hawana jinsi basi watuchangie

Amini nakwambia wengi unaowaona humu mitandaoni wanafanya kweli wengine wameenda Kalenga na Chalinze pia tutaenda
 
Acha kutukana na kukashifu Imani za watu wengine wewe! Uwe na adabu walao kwa dini za watu.

Nimekashifu dini ya nani?
Unashindwa hoja unakimbilia udini too silly..
Huyo shosti yako huwa analia kwa sauti kuu yesu amkomboe kutoka kwenye umaskini sasa nashangaa Leo anachangia. Ujinga badala hiyo hela angefanya mtaji

****Mimi sio Dada ****
 
Back
Top Bottom