CHADEMA Mitandaoni Wafanya Makubwa Kalenga na Chalinze

CHADEMA Mitandaoni Wafanya Makubwa Kalenga na Chalinze

leo umoja wa wanachadema wanaoendesha siasa zao kupitia mitandao ya kijamii wamekabidhi michango yao mbele ya viongozi wakuu wa chama hicho. Akizungumza na waandishi wa habari mwakilishi wa wanachadema hao bwana yericko nyerere amesema, "mara yakwanza zilipoanza kampeni za kalenga tulipenda kushiriki siasa za majukwaani moja kwa moja lakini walibuni njia mujarabu yakushiriki kikamilifu kwa kila mmoja kuchanga kiasi chochote alichonacho na kukileta kwenu viongozi ili kisaidie ushindi kalenga na chalinze. "ninawashukuru makamanda kwakujitolea kuchanga kiasi cha laki tano ambazo leo nitazikabidhi hapa, niwahakikishie wanahabari kuwa kalenga tutashinda, hilo halihitaji mjadala, sasa tunakwenda chalinze, tutahakikisha tunalibeba jimbo hilo kwakuwa tumempata mgombea imara kamanda mathayo"
nae mh john mrema ambe amepokea mchango huo kwa niaba ya katibu mkuu amepongeza juhudi za wanachama wanaohudumu siasa mitandaoni kwa kuwahimiza kupambana kukijenga chama na kukitetea bila kuchoka, kundi la wanachadema mitandaoni kupitia m4c pamoja daima ni mjumuiko wa makamanda wote wa chadema.
Cc
ben saanane, mungi, shark, masanilo, sweetlady, 'valentina', the name, crashwise, filipo, chadema kote, molemo, babu jitu na wengine wengi.....
View attachment 143994

siasa za mitandaoni ni tofauti sana kama ukiingia front line,na ndio maana unapofika wakati wa kura ndipo utaelewa na kuona madhara ya kuwa na matumaini kupitia mitandao ya kijamii,kwani kura hazipigwi kupitia mitandaoni na hapo ndipo utofauti unapokuja
 
Hakuna mapenzi kwa ccm dada!! Chama kimeitafuna nchi mkafanywa maskini na sasa kinawatumia kwa buku sabasaba hapo Lumumba. Hata mwendawazimu haweziipenda ccm. Ndio maana mmepagawa kuona wenye mapenzi na cdm! Ni mambo mageni kwenu!


Bora huyo anaelipwa elf 7 anaendesha maisha yake kuliko wewe unaeishi kwa shemeji yako na kulala sebuleni huku ukishuhudia Dada anapigwa..
Badilikeni vijana mnaangamia wenzenu watoto wao wapo ulaya na America nyie watumia vibatari mnahangaika..period !!
 
Makamanda "Big Up" palipo na nia pana njia. Bado sijaona mikakati ya jinisi CDM inavyowapata wapiga kura wenye shahada. Kuna homework ambayo inahitajika kufanyika ili kuwe na prediction ya kuwa tunaweza kupata asilimia ngapi kutoka jumla ya wapiga kura jimboni!
 
Ha ha ha ha.... Unatia huruma vile unavyotapatapa daah.. Mapenzi kwa chama kipi eti? Mapenzi kwa chama ccm yalikuwepo enzi za nyerere, sahivi wote ni wapiga dili tu! Kawadanganye magamba wenzio sio sisi

Nakuonea huruma wewe unaeliaga kwa sauti huko kanisani kwenu eti yesu akuokoe na umaskini halafu hapa unatetea ujinga..
Imbecilic!!
 
Leo umoja wa Wanachadema wanaoendesha siasa zao kupitia mitandao ya kijamii wamekabidhi michango yao mbele ya Viongozi wakuu wa Chama hicho. Akizungumza na waandishi wa habari mwakilishi wa wanachadema hao Bwana Yericko Nyerere amesema, "Mara yakwanza zilipoanza kampeni za Kalenga tulipenda kushiriki siasa za majukwaani moja kwa moja lakini walibuni njia mujarabu yakushiriki kikamilifu kwa kila mmoja kuchanga kiasi chochote alichonacho na kukileta kwenu viongozi ili kisaidie ushindi Kalenga na Chalinze. "Ninawashukuru makamanda kwakujitolea kuchanga kiasi cha laki tano ambazo leo nitazikabidhi hapa, niwahakikishie wanahabari kuwa Kalenga tutashinda, hilo halihitaji mjadala, sasa tunakwenda Chalinze, tutahakikisha tunalibeba jimbo hilo kwakuwa tumempata mgombea imara Kamanda Mathayo"
Nae Mh John Mrema ambe amepokea mchango huo kwa niaba ya Katibu Mkuu amepongeza juhudi za wanachama wanaohudumu siasa mitandaoni kwa kuwahimiza kupambana kukijenga chama na kukitetea bila kuchoka, Kundi la wanachadema mitandaoni kupitia M4C PAMOJA DAIMA ni mjumuiko wa makamanda wote wa Chadema.
cc
Ben Saanane, Mungi, Shark, Masanilo, sweetlady, 'Valentina', The Name, Crashwise, Filipo, chadema kote, Molemo, Babu Jitu na wengine wengi.....
View attachment 143994

Maskini tunajikusanyia vijisenti vyetu tukomboe nchi, CCM wanaiba za EPA wamewauza watanzania.

Pongezi kubwa kwa makamanda wote waliochanga nguvu zao kukomboa nchi

Hongereni makamanda
 
Last edited by a moderator:
Bora huyo anaelipwa elf 7
anaendesha maisha yake kuliko wewe unaeishi kwa shemeji yako na kulala
sebuleni huku ukishuhudia Dada anapigwa..
Badilikeni vijana mnaangamia wenzenu watoto wao wapo ulaya na America
nyie watumia vibatari mnahangaika..period !!

kumbe unajua watoto wa magamba wako america sasa kilichokufanya uumie roho yako ni nini ungesema na wewe tukuchangie ili umpeleke yule mtoto wako anaesoma chini ya mpapai na ndala moja hahahahahahaha pole
 
Nakuonea huruma wewe unaeliaga kwa sauti huko kanisani kwenu eti yesu akuokoe na umaskini halafu hapa unatetea ujinga..
Imbecilic!!

Ha haa ha haha.... Pole sana afu endelea kuota ndoto za mchana hivi hivi.... Umeumizwa sana na hili jambo kwakweli... Pole sana tena na tena
 
Hvyo vi laki tano na nyie ndo mnaona pesa ya maana ya kuitisha press cönference?,LMFAO!!!
 
Hvyo vi laki tano na nyie ndo mnaona pesa ya maana ya kuitisha press cönference?,LMFAO!!!

Nina detect ujeuri uliochanganyika na uwoga kwenye maandishi yako. Vinavyochangwa ni vingi mnoo.....hii ni alama ya kuonyesha kuwa watu wanaipenda Chadema kweli. Popote unapowaona mitandaoni hadi kwenye field
 
Hvyo vi laki tano na nyie ndo mnaona pesa ya maana ya kuitisha press cönference?,LMFAO!!!


Ni ya maana ndio manake haijatoka kwenye mifuko ya mafisadi.... Ni kutoka mfukoni mwa watanzania wenye nia njema na taifa lao.... Wewe umetoa ngapi kwa chama chako?
 
Nimekupa tu mfano kwamba hiyo elfu 7 per day mnayoidharau wengi wenu hata uwezo wa kuipata hamna...
Hakuna anaelipwa kwa kazi hiyo Lumumba ni mapenzi tu kwa chama

chama kipi? Hiki chakavu...
 
Back
Top Bottom