CHADEMA Mitandaoni Wafanya Makubwa Kalenga na Chalinze

CHADEMA Mitandaoni Wafanya Makubwa Kalenga na Chalinze

Leo umoja wa Wanachadema wanaoendesha siasa zao kupitia mitandao ya kijamii wamekabidhi michango yao mbele ya Viongozi wakuu wa Chama hicho. Akizungumza na waandishi wa habari mwakilishi wa wanachadema hao Bwana Yericko Nyerere amesema, "Mara yakwanza zilipoanza kampeni za Kalenga tulipenda kushiriki siasa za majukwaani moja kwa moja lakini walibuni njia mujarabu yakushiriki kikamilifu kwa kila mmoja kuchanga kiasi chochote alichonacho na kukileta kwenu viongozi ili kisaidie ushindi Kalenga na Chalinze. "Ninawashukuru makamanda kwakujitolea kuchanga kiasi cha laki tano ambazo leo nitazikabidhi hapa, niwahakikishie wanahabari kuwa Kalenga tutashinda, hilo halihitaji mjadala, sasa tunakwenda Chalinze, tutahakikisha tunalibeba jimbo hilo kwakuwa tumempata mgombea imara Kamanda Mathayo"
Nae Mh John Mrema ambe amepokea mchango huo kwa niaba ya Katibu Mkuu amepongeza juhudi za wanachama wanaohudumu siasa mitandaoni kwa kuwahimiza kupambana kukijenga chama na kukitetea bila kuchoka, Kundi la wanachadema mitandaoni kupitia M4C PAMOJA DAIMA ni mjumuiko wa makamanda wote wa Chadema.
cc
Ben Saanane, Mungi, Shark, Masanilo, sweetlady, 'Valentina', The Name, Crashwise, Filipo, chadema kote, Molemo, Babu Jitu na wengine wengi.....
View attachment 143994
Huu ni utapeli, wizi na uongo mkubwa. Hii risiti ni ya mwaka 2013, mnahadaa watu ili iweje?
 
Usanii kitu kibaya sana, risiti ya mwaka jana inatumika kulaghai watu mwaka 2014????
 
Mchango wangu kwa chadema ni mhimu sana ! naomba mweke utaratibu tuchangie wote ! Nakupenda CHADEMA.
 
Chadema kuna walaghaika wengi sana Lema, anajenga jumba lake la kifahari Njiro, Dr.Slaa anajenga Kawe, Mbowe ananunua majumba Dubai, halafu walaghaika wanawachangia pesa.

CC; chama
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Ritz
Siasa za Chadema ni kumtumia misekule; hivi Mohamedi Mtoi; Matola na Mwita Maranya nao wanajenga? Jamaa hawaishi kutoka povu wakati wenzao wanajijenga wao ni kupiga majungu JF
 
Last edited by a moderator:
Chadema kuna walaghaika wengi sana Lema, anajenga jumba lake la kifahari Njiro, Dr.Slaa anajenga Kawe, Mbowe ananunua majumba Dubai, halafu walaghaika wanawachangia pesa.

CC; chama

Unadhani bila chadema mitandaoni,we ungepata hiyi buku 7 unusu.binti usijione mjanja kufika kileleni tu,msifie na anayekukuna
 
Last edited by a moderator:
Sasa jionee siasa za mitandaoni zinavyoleta impact huko ardhini

tatizo ni kwamba,nyie sio wapiga kura,kazi yenu ni kelele,kuponda,kejeri,dharau,lakini inapofika wakati wa kupiga kura hampo na hapo ndipo ccm wanapochukua nafasi,kwani mashabiki wengi si watu wa mitandao na ni wapiga kura wazuri
 
Tulichokifanya sisi ni kuchangia ili watu waweze kufuikiwa maana chadema haina pesa za madawa ya kulevya kama Riz1..
 
Chadema kuna walaghaika wengi sana Lema, anajenga jumba lake la kifahari Njiro, Dr.Slaa anajenga Kawe, Mbowe ananunua majumba Dubai, halafu walaghaika wanawachangia pesa.

CC; chama

Una mawazo mgando kama baba yenu JK.

Tumeaua kuikomboa Tz, Ninyi mpaka mpewe kitu na Lumumba ndiyo mweweze kuandika kitu.

Mtajuta mwaka huu.
 
Ha ha ha! Kama tunavyoweza kununua kadi za chama pinzani halafu tukazichoma, kuonyesha kwamba tumevuna wanachama. Vile vile tunaweza kutoa hela kwenye mfuko wetu na kuwaambia wananchi eti ni michango kutoka kwa wananchi ili kuvitia wengine kutoa.

BTW: Ni wangapi waliotoa? Maana naona kama laki 5 ni ndogo sana ukilinganisha na idadi ya makamanda hapa JF, FB, Twitter nk.
 
Chadema kuna walaghaika wengi sana Lema, anajenga jumba lake la kifahari Njiro, Dr.Slaa anajenga Kawe, Mbowe ananunua majumba Dubai, halafu walaghaika wanawachangia pesa.

CC; chama

Lazima wajenge maana Magamba wameidhinisha malipo ya mamilioni kila mwezi kwa wabunge! Angezitumia kuhonga mademu au kuwalipa wapuuzi kama ninyi mnaokaa lumumba angekuwa anafanya ujinga sana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom