Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,752
- 46,271
Wanaukumbi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata lawama kutoka kwa wananchi wa maeneo yaliofanyika uchaguzi mdogo wa wabunge Chalinze na Kalenga.
Habari kutoka watu wa karibu wa hao wagombea walioshindwa Grace Tendega, na Mathayo Torongey, kuwa Chama kimewatelekeza.
Wagombea hao walionekana Makao Makuu ya Chadema Kinondoni mtaa wa Ufipa wakiwa wameongozana kwa pamoja kufuatilia pesa ambazo waliambiwa watapewa na chama kwa ajili ya kulipia madeni yalitokana na kampeni zao.
Wagombea hao wamerudi mikono mitupu baada ya kukaa siku nne bila msaada wowote kutoka kwa viongozi wa Chadema.
Chadema wakati mwingine jaribuni kuwa na ubinadamu japo kidogo wasaidieni wagombea wenu kama kushindwa mmeshindwa wote na kama wangeshinda sifa zingekwenda kwa Chadema.