CHADEMA, kwanini mlipokea pesa za mtoto wa Laila Odinga na katibu wa Odinga huko Mwanza?

CHADEMA, kwanini mlipokea pesa za mtoto wa Laila Odinga na katibu wa Odinga huko Mwanza?

Ritz,kama kweli waipenda ciciem tueleze anaeyeuwa Tembo ni nani na usalama wa Taifa hili wameshidwa kumkamata na pia tueleze waliokwiba pesa na kuficha uswis ni nani?
 
Ndg Ritz kwanza huna data kamili juu ya hilo,hakuja mtoto wa Raila bali alikuja Bwana Omondi na rafiki yake tu,hakuna ubaya kuchangia elimu ili watoto wa maskini waweze kupata elimu bora kwani nyie pesa mnaenda kuzificha Uswis ili watoto wenu wasome huko wakati watoto wa maskini wakiendelea kupata shida,alichofanya katibu wa Waziri mkuu wa Kenya ni kwa manufaa ya umma wala hakuja kama mwakilishi wa mtu binafsi au kwa maslahi yake,kama yule mkenya alieamua kuwanunulia watoto wa shule moja huko Tanga viatu nao waliguswa,kama huna cha kuandika uwe unaacha kwani sisi sote tunaipigania Tanzania sio vyama.
you are very right kaka. kule Tanga Mkenya alisaidia watoto viatu baada ya kuwakuta wanatembea miguu chini mwaka 2010. wenzetu wako bize kuchangia makanisa hawaoni thamani ya elimu wala hosipitali na mambo muhumu kwa jamii. wanaficha fedha uswizi na mabenk mengine nje ilimradi wameshajineemesha binafsi. wanafanya maneuvre kwa kila kitu kwa kuwa wana serikali na jeshi. jitihada za wenje zimewakera sasa wanakuja na mawazo mgando. wakafilie mbali tanzania iamke
 
Na pesa za Katibu wa Odinga ambaye kasema katumwa na Odinga kuwapa Chadema
nazo vipi.

CDM na akiaOdinga watakuwa ni watu wazima ni mahusiano ya kirafiki kwa rafiki.Ila CCM na akina Ondinga ni Master Slave, ndio maana waziri wenu alikwend ajichekesha kwa mabosi na huku kaacha barabara, akirudi wachina wamegoma hadi mtoa tena pesa.Halafu baada y akutoa ndio mnawachimba mkwara ktk habari kuwa msisikie tena kusimama kwa barabara.

Poleni sana victimes wa viwanda vya uongo ktk CCM.
 
Endelea na mjadala, mie naingia kuchek movie hapa Mlimani City...mjadala mwema.
 
Ritz

KATIBU Mkuu wa Waziri Mkuu wa Kenya, Carol Omondi, aliungana na wakazi wa Wilaya ya Nyamagana na kuchangisha kiasi cha Sh50.6 milioni kwa ajili ya kusaidia kumaliza tatizo la madawati kwa Shule za Msingi na Sekondari wilayani humo.
KUmbe ni kwa ajili ya madawati wanayokali watoto wetu bila kujali itikadi zao
sioni ubaya wa chadema kupokea hizo fedha ni
labda useme lingine.jambo la maendeleo ni letu sote kwa manufaa yetu sote
ningekuelewa kama wangezichukua na kuziweka mifukoni mwao kwa manufaa yao
 
Muulize Mbowe, JK ni nani? alijifanya kugombea urais 2010 alipata kura laki 2 kutoka kaskazini.

haha..kamuulizae JK taratibu kama hizo data ni sahihi?Hata kama CUF walikuwa na Kura nyingi.
 
Ha ha haaa!! Kumtetea Dr Slaa ndiyo uzalendo? Kumtetea mtu ambaye ametelekeza watoto wake pamoja na mama yao na kupora mke wa mtu ndiyo uzalendo? Bora nisiwe mzalendo mnafiki.

mkwewe na wanaye ndio wanajua kama wametoswa, au ndio unamsaidia huyo mama kupata wivu baada ya kifaa kipya kuvutwa?CCM mjifunze hapo positively si muwe wambea tuu.Nanyi soon mnakufa kw agubu CDM wakipewa Ikulu na Peoples power.
 
33614_449486332261_8017832_n.jpg

1734.jpg

KATIBU Mkuu wa Waziri Mkuu wa Kenya, Carol Omondi, aliungana na wakazi wa Wilaya ya Nyamagana na kuchangisha kiasi cha Sh50.6 milioni kwa ajili ya kusaidia kumaliza tatizo la madawati kwa Shule za Msingi na Sekondari wilayani humo.

Katika harambee hiyo iliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Nyamagana kwa tiketi ya Chadema, Ezekia Wenje, kupitia mfuko wa maendeleo ya elimu Nyamagana (NEF), Katibu huyo aliandamana na mtoto wa Raila Odinga, Fidel Odinga aliyeweza kuchangia Sh2 milioni.

Mgeni rasmi katika harambee hiyo alikuwa ni Katibu wa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga, Carol Omondi, akiwa ameongozana na marafiki zake ambao walichangia fedha za Kenya Sh. laki 6 ambazo ni sawa na Sh. milioni 12 za Tanzania.

Mtoto wa Odinga na Katibu wa Odinga walipewa mualiko na Chadema.
Mkuu,
Mbona sioni tatizo lolote!
 
Lukurunguru kama huyu naye eti anataka kugombea ubunge Serengeti kupitia Chadema. Pumba tupu jifunze kutoka kwa kina Zitto, wanaongea kama viongozi siyo kuongea kama mnywa mapuya.

Sasa kama wewe mnywa gongo za maji yachoo za wajeshi wa mabibo unakubali kutumiwa na ccm ili watoto waende msalani kwanini usishangae kwa jinsi ninavyowaza mambo makubwa ambayo hujawahi kuyawaza na huwei kuyafikia.
 
33614_449486332261_8017832_n.jpg

1734.jpg

KATIBU Mkuu wa Waziri Mkuu wa Kenya, Carol Omondi, aliungana na wakazi wa Wilaya ya Nyamagana na kuchangisha kiasi cha Sh50.6 milioni kwa ajili ya kusaidia kumaliza tatizo la madawati kwa Shule za Msingi na Sekondari wilayani humo.

Katika harambee hiyo iliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Nyamagana kwa tiketi ya Chadema, Ezekia Wenje, kupitia mfuko wa maendeleo ya elimu Nyamagana (NEF), Katibu huyo aliandamana na mtoto wa Raila Odinga, Fidel Odinga aliyeweza kuchangia Sh2 milioni.

Mgeni rasmi katika harambee hiyo alikuwa ni Katibu wa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga, Carol Omondi, akiwa ameongozana na marafiki zake ambao walichangia fedha za Kenya Sh. laki 6 ambazo ni sawa na Sh. milioni 12 za Tanzania.

Mtoto wa Odinga na Katibu wa Odinga walipewa mualiko na Chadema.

Hivi hizi label/daraja za membership mnazipataje?
Hoja yako inaoyesha hata humu JF ufisadi umeingia maana Gold member usingeweza kutoa hoja kama ulivyoitoa.
 
Back
Top Bottom