CHADEMA, kwanini mlipokea pesa za mtoto wa Laila Odinga na katibu wa Odinga huko Mwanza?

CHADEMA, kwanini mlipokea pesa za mtoto wa Laila Odinga na katibu wa Odinga huko Mwanza?

Yani hapo ndo unakapo ona cdm ni wendawazima ....hayo majibu yatakayo kuja ni matusi tu hakuna hata moja atakuja na jibu au hoja..........................hiki ndo chama pendwa bwana kina wendawazimu watu toka viongozi hadi wanachama.......

Hao ndiyo wanategemea Chadema wakichukuwa dola mawaziri watoke humu JF kwa hawa wahuni.
 
Mkuu ebu angalia vizuri thread
ambazo zimejaa humu JF karibia zote zimejaa vijana kutoka kaskazini
kumtetea Dr Slaa tu. Pamoja na wewe nani anakulipa?

Ritz, Tena saa hizi wanajibia huko milimani, maana kila mwisho wa mwaka wanakwenda kuhesabiwa! wanapanda milimani na gari imejaa makochi,wakirudi wanashuka nayo mjini!
 
Last edited by a moderator:
Na pesa za Katibu wa Odinga ambaye kasema katumwa na Odinga kuwapa Chadema
nazo vipi.

Odinga aliwachangia watoto wa masikini wa nyamagana ambao serikali yenu dhaifu imeshindwa kuwawekea mazingira bora ya kusomea. Miaka 51 baada ya uhuru wanafunzi wanakaa chini jijini Mwanza!
Kwa jinsi ccm ilivyojaa majuha wao wanatoa pesa kumpeleka Magufuli Kenya kumfanyia kampeni Odinga!
 
Lakini muziki wa DJ Mbowe ndio magamba mnaucheza kila siku. Mabosi wenu wameshindwa kuendana na beat hadi wakaamua kutuma misukule yao hapa JF. Misukule hiyo kazi yao ni moja tu kuimba nyimbo za Chadema, Dr. Slaa, Mbowe, Heche, Mch. Msigwa, Sugu, Lema na majembe mengine mengi!

Wewe bosi wako ni nani haswa kati ya Dr Slaa na Mbowe?

Mkenya mwezako Wenje analeta porojo tu mwambie mbona akuzitolea ufafanuzi pesa alizopewa na Odinga kupitia Katibu Mkuu wake Carol Omondi.
 
Odinga aliwachangia watoto wa masikini wa nyamagana ambao serikali yenu dhaifu imeshindwa kuwawekea mazingira bora ya kusomea. Miaka 51 baada ya uhuru wanafunzi wanakaa chini jijini Mwanza!
Kwa jinsi ccm ilivyojaa majuha wao wanatoa pesa kumpeleka Magufuli Kenya kumfanyia kampeni Odinga!

Kwa hiyo pesa anayopelekewa Odinga ndiyo inarudi tena kuwachangia watoto wa masikini?
 
Kwani hakuna ruhusa kupokea pesa kwa mtoto wa Odinga? Kama hapa unavyoandika hii hoja ndio umeanza kupata nafuu baada ya kulazwa miaka minne pale Mirembe Hospital Dodoma, je wakati umelazwa mirembe hali yako ilikuwaje?
 
Uhusiano ninaujua mimi ni wa magufulu kuwa mbeba jezy wa raila

Btw, Laila sio raila
 
Hao ndiyo wanategemea Chadema wakichukuwa dola mawaziri watoke humu JF kwa hawa wahuni.

Wahuni wa Chadema wana akili kuliko maprofesa waliojaa ccm. Ndio maana ikitokea mmoja amehamia huko kwenu mnafanya sherehe ya kumpokea!
Wahuni hao hao wa Chadema ndio mnatumia mabilioni kuwanunua ili wajiunge na ccm.
Kwahiyo wahuni wa Chadema endelezeni moto wenu kwakuwa magamba yanapukutika kwa kasi ya ajabu. Bwahahahahaha......
 
Uraia wa wenje una utata na hilo lopo wazi, kiufupi michango ile ilitoka kwa ndugu wa wenje!
 
Pro-Chadema JF mnajua kama Katibu Mkuu wa Odinga, Carlo Omondi alikuwa Dar es Salaa akifanya mkutano na Mbowe pamoja na Dr Slaa.
 
Wahuni wa Chadema wana akili kuliko maprofesa waliojaa ccm. Ndio maana ikitokea mmoja amehamia huko kwenu mnafanya sherehe ya kumpokea!
Wahuni hao hao wa Chadema ndio mnatumia mabilioni kuwanunua ili wajiunge na ccm.
Kwahiyo wahuni wa Chadema endelezeni moto wenu kwakuwa magamba yanapukutika kwa kasi ya ajabu. Bwahahahahaha......

Mgekuwa na akili hata kidogo si mgeitawala Tanzania.
 
Ritz, Tena saa hizi wanajibia huko milimani, maana kila mwisho wa mwaka wanakwenda kuhesabiwa! wanapanda milimani na gari imejaa makochi,wakirudi wanashuka nayo mjini!

Kama huna uwezo wa kununua makochi na huendi kwenu likizo hayo ni matatizo yako binafsi na hao jamaa hawana cha kukusaidia. Muhimu kwako ni kupiga mzigo kwa bidii ili ufanikiwe. Kama unategemea post za JF kujipatia mkate wa watoto wako utaandika sana lakini njaa iko pale pale!
 
Last edited by a moderator:
Kuna uhusiano gani kati ya Wenje na Odinga.

Pengine ni kama ilivyo kati ya Magufuli (Waziri wa Serikali ya Tanzania) na Raila Odinga (Mgombea Urais huko Kenya). In short pengine ni marafiki.
 
Mwita Maranya, naamini na wewe ni mchaga au mpare!

Dalili kubwa ya udhaifu ni kutizama/kujadili mambo kwa lens ya ukabila. Ukishaingiza ukabila (au udini) kwenye mjadala, maana yake ni kwamba hoja ya msingi imekushinda. I do not need any more evidence to prove that you are a moron. And you know this. Even your employer knows this. Perhaps even your teacher knew this. Apologies if I sound rude but honestly, Dunia ya sasa haihitaji watu wa aina yako. You simply do not have a space.
 
Last edited by a moderator:
Wewe bosi wako ni nani haswa kati ya Dr Slaa na Mbowe?

Mkenya mwezako Wenje analeta porojo tu mwambie mbona akuzitolea ufafanuzi pesa alizopewa na Odinga kupitia Katibu Mkuu wake Carol Omondi.

Ndio manake, mimi na Wenje ni wakenya lakini mbona magamba mmeshindwa kumzuia Wenje kuwa mbunge Nyamagana pamoja na kumtumia waziri wa mambo ya ndani?
Na mimi najiandaa kulichukua jimbo la Serengeti na hamtoniweza!
 
Mwita Maranya, naamini na wewe ni mchaga au mpare!

Ni kweli Arifu, mimi ni mchaga kutoka Serengeti kata ya Kisangura Kijiji cha Kisangura.
Karibu tunywe togwa na upate kichuli kidogo, jana tumeanza zoezi la kutembeza visu kwa vijana wetu wa kiume!
 
Last edited by a moderator:
Ndio manake, mimi na Wenje ni wakenya lakini mbona magamba mmeshindwa kumzuia Wenje kuwa mbunge Nyamagana pamoja na kumtumia waziri wa mambo ya ndani?
Na mimi najiandaa kulichukua jimbo la Serengeti na hamtoniweza!

Wenje anamalizia kipindi chake wasukuma waweke mtu wao mwana Mwanza..wewe kagombee tu huko serengeti lakini hujue kabisa uwezi kushinda.
 
Back
Top Bottom