Kuna uhusiano gani kati ya Wenje na Odinga.
Kwani kuna uhusiano gani kati ya Kikwete na Ray C
Kuna uhusiano gani kati ya Wenje na Odinga.
CCM hawana akili akili zao wameziazimisha kwenye masaburi ya majangiri...Nilidhani Wenje kapokea pesa ili aende kwenye kampeni Kenya kumbe kapokea pesa kama msaada wa Madawati??!!! tena kwa Watanzania? hebu tuambie yule aliyetumia kodi yetu kwenda kwenye kampeni na huyu aliyepokea kwa ajili ya madawati, ipi inaleta negative impact kwa Jamii yetu?
huu ni mwaka wa shetani kwa chadema mana wanakula matapishi yao wenyewe....mana huyu wenje juzi tu katoka kumnanga magufuli kwa nini kampigia kampeni odinga.... Huku wao wanakula tena ela za Odinga......cdm hii tabia yenu ya matamko muwe makini yanawaangusha...si lazima kila jambo mtole tamko
swali la kijinga kwelikweli.Hembu muulize magufuli. Kukuamsha tuu ni hembu fikiria: Inakuweje Wenje apokee helaila asitumike kama magufuli, halafu CCM wasiopokea ndio mawaziri wake wakawa vibaraka wa Odinga, wapo tayari kuvunja tarativu za kidiplomasia na kimataifa kwa kiasi kile na kuwa vuvuzela la wakenya.magufuli kawa MC siku hizi au DJ? Inaonyesha jinsi gani CDM wana command na respect hata wakipewa hela.Sasa CCM hata kupewa bado tayari wanatumika?Kuna uhusiano gani kati ya Wenje na Odinga.
ghaddafia nakipima kijamaa nguvu.Kama anaangalia kisijekuw akimelala au akinaona aibu.Utaona jisni gani jamaa alivyokuwa na power over JK na serikali aya magamba.Huu ni udhalilishaji wa rais wetu.Hizi pumba kwenda mbele
Leta ushahidi
Mkuu Ritz
Tunaomba utwambie kitega uchumi cha ccm (BAHARI BEACH) KWANINI IMEFUGWA SASA HIVI BAADA YA GADDAFI KUFA?
Yani hapo ndo unakapo ona cdm
ni wendawazima ....hayo majibu yatakayo kuja ni matusi tu hakuna hata
moja atakuja na jibu au hoja..........................hiki ndo chama
pendwa bwana kina wendawazimu watu toka viongozi hadi
wanachama.......
Hii ndo akili ya ccm. Hapo ndo mwisho wa kufikiri.
Mtoto wa odinga ni kiongozi wa ODM???
Upuuzi mwingine hauna ulinganishi
swali la kijinga kwelikweli.Hembu muulize magufuli. Kukuamsha tuu ni hembu fikiria: Inakuweje Wenje apokee helaila asitumike kama magufuli, halafu CCM wasiopokea ndio mawaziri wake wakawa vibaraka wa Odinga, wapo tayari kuvunja tarativu za kidiplomasia na kimataifa kwa kiasi kile na kuwa vuvuzela la wakenya.magufuli kawa MC siku hizi au DJ? Inaonyesha jinsi gani CDM wana command na respect hata wakipewa hela.Sasa CCM hata kupewa bado tayari wanatumika?
KIBE, hawa wapenzi wa "silaha" hawajitambui! wanapelekwapelekwa kama mi"zombie"!
Mi nina wasiwasi kuna mtu natumia ID ya Ritz ,unashida na kukesha hapa jf unaandika ***** gani huu,shem!
Swali la kijinga lioajibiwa na majibu ya kijinga.
Mbona Mbowe ni DJ darasa la saba lakini nyie wote ni mateka wake.
Afadhali yako wewe mpenzi wa nape usiyepelekwapelekwa, unajipelekesha mwenyewe!