CHADEMA, kwanini mlipokea pesa za mtoto wa Laila Odinga na katibu wa Odinga huko Mwanza?

Ritz; Huu ugonjwa imekuanza tangu lini Mkuu? Maana tangu juzi tukiachana ulikuwa mzima bandugu!

Pole Ritz; kwani naona utumwa ni mbaya!
 
Last edited by a moderator:
Sikujua kama asie rai wa Tanzania kuchangia madawati kwa wanafunzi wa Tanzania ni KOSA ki CCM?

Kweli waafrika ndivyo tulivyo!!
 
Nape,

Pamoja na kufanyia kazi ushauri wangu. Hawa uliowalete hapa jamvini wanakinaisha! Tafuta angalau second upper class students. Hawa akina Ritz ni PASS basi wanaandika pumba tu!!

Kha!
 
Hii inaitwa FUNDRAISING! tena for the just cause
 
Ndg Ritz kwanza huna data kamili juu ya hilo,hakuja mtoto wa Raila bali alikuja Bwana Omondi na rafiki yake tu,hakuna ubaya kuchangia elimu ili watoto wa maskini waweze kupata elimu bora kwani nyie pesa mnaenda kuzificha Uswis ili watoto wenu wasome huko wakati watoto wa maskini wakiendelea kupata shida,alichofanya katibu wa Waziri mkuu wa Kenya ni kwa manufaa ya umma wala hakuja kama mwakilishi wa mtu binafsi au kwa maslahi yake,kama yule mkenya alieamua kuwanunulia watoto wa shule moja huko Tanga viatu nao waliguswa,kama huna cha kuandika uwe unaacha kwani sisi sote tunaipigania Tanzania sio vyama.
 
Mara kadi ya ccm,sasa hivi mnakuja na pumba nyingine!kweli utumwa kazi ngumu sana!unaweza shikwa shikwa hivi!!!!!!!!!!!
 
Swali la kijinga linajibiwa na majibu ya kijinga.

Mbona Mbowe ni DJ darasa la saba lakini nyie wote ni mateka wake.

Muulize dr. Magufuli alipokuwa akijikomba katk hotuba ya wizara yake Bungeni kama alikuw aakiona darasa la saba au alikuw akaimwona Prof wake.(Hiyo ndio bulldover yenu iliyogeuka bajaji mbele ya Mbowe).

Hata angekuwa chekechea bado Angekuwa Most Valuable Politician ktk siasa za Tanzania.CCM km mbwa koko,kelele nyingi kumsogelea mwishi shida.Mnapiga kelele na kuandika ujinga, mkisogezwa katk utendani mnaanza lia Chadema wamesotesha, sijui wamesema nchi haitawaliki.Si mnyooshe mikono tuu kuwa mmeshindwa.

Sasa chama kina wambea kama mkama hadi kaumbuka msibani,wewe mwenye umeanzisha umbea kuhusu CNN, na wenzako wengi tuu .

CCM ni wahuni tuu kama wapiga debe hawafanyi kitu chochote Tangible, na hiyo kuishia kuwa wanyonyaji tuu.Mtakula ktk migongo ya watu hadi lini.Sasa raia nao wana shida, nchi haiendi nanyi sasa muingie mzigoni, hasa nyie watoto wa akina mama wa kimanyema mliokulia mjini wakati akina mama wakila CCM ,na kuwaburudisha wazinzi wa CCM.Sasa hivi ile biashara hailipi, mashangingi ni kujichubua tuu n akupiga makelele ya vijembe.
 
Mkuu ebu angalia vizuri thread ambazo zimejaa humu JF karibia zote zimejaa vijana kutoka kaskazini kumtetea Dr Slaa tu. Pamoja na wewe nani anakulipa?

Haha, ukisema hiyo unamaanisha wao ndio wazalendo kupita wengine,ila ukweli ni kwamba magamba mmelaaniwa kwa vile huwa kiwanda yenu ya uongo inawadanganya nyie wenyewe kuliko walengwa.Yaani ni kama muuza gongo anayejifilisi kila mara kwa kuinywa mwenyewe.

Kuna wau wengi tuu hawana vyama ila Sababu zenu za kuishambulia CDM na viongozi wake si rational kabisa.Kwa ujumla ujinga wenu haushawishi na hivyo watanzani wenye akili timamu lazima waseme neno, na wakisema neno reaction yenu ya kijinga inamrudisha kuweka record sawa.

Kwa vile ni mdogo wa Kifikra basi unadhani kama CDM ni kidini na kikabila.Ingekuwa hivyo sasa kabila gani lingekuwa juu, au dini gani au dhehebu gani lingekuwa tawala?Wale watu wamevuka huo ujinga.Alipotoka Slaa hata kuna tofauti sana alipotoka mbowe, na alipotoka mtei, ni tofauti sana na alipotoka Albert, alipotoka Sugu , ni tofauti na alipotoka Msigwa, na ni tofauti na alipotoka Nyerere, na wenje na ZItto, na Safari, Baregu, na Lissu.

Mnatapa shida sana ku add aup maths zenu wambea wakubwa nyie.
 
toka nimejiunga jf huu ndio uzi wa kwanza kuona wewe ritz umeanzisha na hakika leo nimekujua kwa hiyo sitokuwa na muda wa kubishana na wewe nitakuwa najipaka kinyesi,asante na kwa heri
 
Kuna uhusiano gani kati ya Wenje na Odinga.
Na kuna uhusiano gani kati ya Laila Odinga na John Pombe Magufuli?
 
Haha, ukisema hiyo unamaanisha wao ndio wazalendo kupita wengine,ila ukweli ni kwamba magamba mmelaaniwa kwa vile huwa kiwanda yenu ya uongo inawadanganya nyie wenyewe kuliko walengwa.Yaani ni kama muuza gongo anayejifilisi kila mara kwa kuinywa mwenyewe.

Kuna wau wengi tuu hawana vyama ila Sababu zenu za kuishambulia CDM na viongozi wake si rational kabisa.Kwa ujumla ujinga wenu haushawishi na hivyo watanzani wenye akili timamu lazima waseme neno, na wakisema neno reaction yenu ya kijinga inamrudisha kuweka record sawa.

Kwa vile ni mdogo wa Kifikra basi unadhani kama CDM ni kidini na kikabila.Ingekuwa hivyo sasa kabila gani lingekuwa juu, au dini gani au dhehebu gani lingekuwa tawala?Wale watu wamevuka huo ujinga.Alipotoka Slaa hata kuna tofauti sana alipotoka mbowe, na alipotoka mtei, ni tofauti sana na alipotoka Albert, alipotoka Sugu , ni tofauti na alipotoka Msigwa, na ni tofauti na alipotoka Nyerere, na wenje na ZItto, na Safari, Baregu, na Lissu.

Mnatapa shida sana ku add aup maths zenu wambea wakubwa nyie.

Ha ha haaa!! Kumtetea Dr Slaa ndiyo uzalendo? Kumtetea mtu ambaye ametelekeza watoto wake pamoja na mama yao na kupora mke wa mtu ndiyo uzalendo? Bora nisiwe mzalendo mnafiki.
 
Kweli msisitizo wa Kimanyema toka kwa mtoto wa mfua madafu!

Hujue - Ujue,

Uwezi - Huwezi

Bure kabisa wewe msukule wa lumumba!

Lukurunguru kama huyu naye eti anataka kugombea ubunge Serengeti kupitia Chadema. Pumba tupu jifunze kutoka kwa kina Zitto, wanaongea kama viongozi siyo kuongea kama mnywa mapuya.
 
Last edited by a moderator:
Kuna uhusiano gani kati ya Wenje na Odinga.
Na kuna uhusiano gani kati ya Laila Odinga na John Pombe Magufuli?
 
Muulize dr. Magufuli alipokuwa akijikomba katk hotuba ya wizara yake Bungeni kama alikuw aakiona darasa la saba au alikuw akaimwona Prof wake.(Hiyo ndio bulldover yenu iliyogeuka bajaji mbele ya Mbowe).

Hata angekuwa chekechea bado Angekuwa Most Valuable Politician ktk siasa za Tanzania.CCM km mbwa koko,kelele nyingi kumsogelea mwishi shida.Mnapiga kelele na kuandika ujinga, mkisogezwa katk utendani mnaanza lia Chadema wamesotesha, sijui wamesema nchi haitawaliki.Si mnyooshe mikono tuu kuwa mmeshindwa.

Sasa chama kina wambea kama mkama hadi kaumbuka msibani,wewe mwenye umeanzisha umbea kuhusu CNN, na wenzako wengi tuu .

CCM ni wahuni tuu kama wapiga debe hawafanyi kitu chochote Tangible, na hiyo kuishia kuwa wanyonyaji tuu.Mtakula ktk migongo ya watu hadi lini.Sasa raia nao wana shida, nchi haiendi nanyi sasa muingie mzigoni, hasa nyie watoto wa akina mama wa kimanyema mliokulia mjini wakati akina mama wakila CCM ,na kuwaburudisha wazinzi wa CCM.Sasa hivi ile biashara hailipi, mashangingi ni kujichubua tuu n akupiga makelele ya vijembe.

Muulize Mbowe, JK ni nani? alijifanya kugombea urais 2010 alipata kura laki 2 kutoka kaskazini.
 
Back
Top Bottom