Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,079
- 8,219
Cha kushangaza zaidi wafuasi wake wanamfananisha Mwamba na Mandela humu kila siku, Mandela alikaa jela miaka 27 na bado alikuwa ngangari!! Mwamba wiki 6 tu ametepeta vibaya mnoo, hata kubeba maji ya uhai ya lita 1 ni mzigo kwake, wafuasi wake wanapiga mayowe kila kona aachiwe, wanamshinikiza na Samia amwachie as if Samia ndiyo kamkamata!! Huyu Mandela wa CDM huyu tumepigwa