Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,800
- 71,221
Imekwisha, Jaji kabariki kuwa uamuzi wa Kamati Kuu (KK) ulikuwa sahihi kwa mujibu wa katiba ya Chadema na sheria za nchi.
Lakini rufaa ya COVID 19 haikusikilizwa kihalali kwa vile wajumbe wa KK ambao pia ni wajumbe wa Baraza Kuu akiwemo Mwenyekiti Mbowe na Katibu mkuu Mnyika walihudhuria na kusimamia kikao hicho na hapo wakanyima uhuru wa kikao hicho kusikiliza rufaa ya hao waliofukuzwa.
Kwa vile mahakama imeshatamka wazi kuwa maamuzi ya KK ni halali ila ya Baraza Kuu yana mashaka chama kiitishe mara moja kikao cha Baraza kuu hata January mosi kwa siku moja bila kuwahusisha wajumbe wa Kamati kuu na wapewe haki yao ya rufaa kusikilizwa hao wanachama 19.
Uchelewaji tena ni hujuma kutokea ndani na haitavumilika.