Jussa aliongea ukweli mtupu juu ya cuf. Cuf ilipoanzishwa ilikuwa inaitwa ZUF( Zanzibar United Front) kutokana na sheria kukataza vyama vya upande mmoja ndiyo wakabadilisha herufi z ikawa c. Walibadilisha herifi wakati malengo yalibaki palepale, kwa hiyo jussa tumshukuru kusema ukweli juu ya chama chake!Watachukua nchi wakati Ismail Jussa alisema adui yao mkubwa ni Ukristo na Ubara?
Baada ya Hamad Rashid kukinyonyoa manyoya sasa CUF imeibuka na kutangaza kunyakuwa dola 2015.Eti kuondoka kwa baadhi ya wanachama na viongozi ni kuvua gamba ili kivutie zaidi.Nadhani kuingia ikulu ya zanzibar kumewalewesha na kudhani madaraka huchukuliwa kama unavyopakuwa tende!
Source: Tanzania Daima
Umakini wa Chadema nini? au kwa vile nao hawajajivua gamba? wako njiani kujivua, moto unafukuta huko ile mbaya.wataichukua nchi waipeleke wapi hao masheikh,ingekuwa chama makini chdm ningekubali,lakini waliojifia khaa
Baada ya Hamad Rashid kukinyonyoa manyoya sasa CUF imeibuka na kutangaza kunyakuwa dola 2015.Eti kuondoka kwa baadhi ya wanachama na viongozi ni kuvua gamba ili kivutie zaidi.Nadhani kuingia ikulu ya zanzibar kumewalewesha na kudhani madaraka huchukuliwa kama unavyopakuwa tende!
Source: Tanzania Daima
Haswaaaa!!!Kujibu swali lako lililobeba thread:
KAFU kuongoza dola ya Tanzania 2015 iwapo Watanzania wote tutaamua KUSILIMU
Lolote lawezekana, usiwabeze kwani wanatofauti gani na vyama vingine vya Upinzani? havina sera. Kuimba ufisadi kila siku siyo sera.
Umakini wa Chadema nini? au kwa vile nao hawajajivua gamba? wako njiani kujivua, moto unafukuta huko ile mbaya.
khaa...ngafu?Huyu ndio CAFU wa ukweli.........achaneni ana hao NGAFU.........:lol::eyebrows::embarassed2:
![]()
Huyu ndio CAFU wa ukweli.........achaneni ana hao NGAFU.........:lol::eyebrows::embarassed2:
![]()