BBJ
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 1,181
- 159
hakuna Pro wa CDM mwenye post za kipuuzi kama zako.Utakua Pro wa Magamba.Unazungumzia CDM TV unadhani kuanzisha TV Channel ni rahisi kama kufungua genge?Unajua kitu alichoenda kufanya baada kuondoka pale NMC?Usipende kuandika post usizokua na uhakika nazo na usituletee story za kwenye kahawa hapa JF.Idiot...!Nimekuwa nikifuatilia trends za Chadema, na pia mimi ni pro-Chadema, lakini kwa mambo haya naona Chadema bado tatujawa na mpango mkakati wa kuchukua nchi 2015. Mifano hai michache ni kama ifuatavyo, you can add others.
- Network coverage za Chadema haiko consistent, mfano, umeishia wapi ule mpango wa kuanzisha Chadema TV? Tumeambiwa iko mbioni kuanzishwa na kuwa sasa tunaweza kuaccess habari ambazo ziko uploaded kwenye you tube, lakini mpaka leo habari za mwisho ni zile za Igunga. Je tunasubiri zima moto nyingine utakapotokea uchaguzi mdogo mwingine ndo tuende kwenye hiyo link? Kwa hili Chadema needs strategic people who will keep the updates of what is happening in our country, not only during elections. Watu ambao wataenda kwa wananchi kuchukua habari na kuzipost wakati tukisubiri huo mpango wa kuanzisha Tv. Je kama hili dogo limeshindikana, je vipi hiyo TV ikianzishwa, sustainability yake itakuwaje?
- Baadhi ya viongozi wa CDM hawako honest. Na hapa namtaja MBOWE, kwa kitendo cha kwenda NMC kuhutubia wananchi na baadaye yeye kutoroka na kuwaacha wenzake akina Slaa na wananchi kusulubiwa na polisi, siyo kitendo cha kujivunia hata kidogo. Umeonyesha mfano mbaya kwa wananchi. Kama huogopi rumande mbona umekimbia? Simamia unachokisema daima mh. Mbowe, unless we wont trust you.
- Mengine mtaongezea naishia hapa kwa sasa.