CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

Nasikia wimbo wa Taifa wa Zanzibar ulikuwa ubadilishwe pindi KAFU wangepata madaraka. Walitaka KASWIDA moja iteuliwe iwe wimbo wa Taifa!
 
Baada ya Hamad Rashid kukinyonyoa manyoya sasa CUF imeibuka na kutangaza kunyakuwa dola 2015.Eti kuondoka kwa baadhi ya wanachama na viongozi ni kuvua gamba ili kivutie zaidi.Nadhani kuingia ikulu ya zanzibar kumewalewesha na kudhani madaraka huchukuliwa kama unavyopakuwa tende!

Source: Tanzania Daima

Kama ana ubavu wa kuisambaratisha CUF Hamad Rashid mwambieni aje Zanzibar tumuone! Tanganyika hakuna wanaojua SIASA bali kuna 'wachumia tumbo' ndio maana unaona kila siku watu wanabadilisha vyama lakini Zanzibar watu wapo shwariiiii pamoja na fitna zenu zote ambazo munatufanyia! Hao ndio Walimu wa siasa na hata wewe mwenyewe unalijua hilo.
 
Kujibu swali lako lililobeba thread:
KAFU kuongoza dola ya Tanzania 2015 iwapo Watanzania wote tutaamua KUSILIMU

Wayahudi walifanikiwa
kuyazimisha
mafundisho ya Yesu;
lakini si Wayahudi tu
bali hata dini ya Ukristo
tuliyo nayo leo ambayo mafundisho na imani
zake zote muhimu
zimeanzishwa na Paulo
pia imeyafutilia mbali
mafundisho na imani
zote zilizofundishwa na Yesu. Licha ya hoja
zozote zinazoweza
kutolewa na mkristo,
hatuwezi kupata
ushahidi wowote
ambapo Yesu amethibitisha au
kazitaja imani hizi nne
(uungu wa Yesu, Utatu
Mtakatifu, kufa kwa
Yesu kwa ajili ya
dhambi za wanadamu, na uokovu kwa imani
peke yake) katika Injili.
Maadamu Yesu hakuwa
na mpango wa
kuanzisha dini mpya,
basi bila ya chembe ya shaka ni wazi kwamba
pia hakuunda au
kuanzisha misingi au
imani zozote za dini,
kwani kama angekuwa
na nia ya kuanzisha dini mpya basi angelazimika
pia kuanzisha imani na
misingi mipya ya dini.
Lakini maadamu
hakuanzisha wala
hakuwa na nia ya kuanzisha dini yoyote
mpya basi pia hakuna
imani yoyote mpya ya
dini aliyoianzisha. Imani, misingi na
mafundisho yote ya
Ukristo ni kazi ya Paulo
ambayo aliifanya kwa
shabaha ya kuungwa
mkono na kukubalika kwa wafuasi wapya
miongoni mwa ambao
hawakuwa Wayahudi
wa zama zake. Kwa
kuingiza na
kuchanganya imani za kipagani katika
mafundisho ya Yesu,
Paulo alipata mafanikio
makubwa mno katika
kazi yake lakini kwa
kufanya hivi aliharibu na kuivunjilia mbali
imani ya kuamini
Mwenyezi Mungu
mmoja asiye kuwa na
mshirika. Kwa kufanya
hivi Paulo alifanikiwa kuyapotosha kabisa
mafundisho yote ya
Yesu na badala yake
akaanzisha maradhi
mabaya na yaliyoenea
kwa haraka aliyotatoa katika upagani -
ambapo imani hizi bado
tunazo mpaka leo
katika ukristo. Ni hapa
kwenye kiini na kitovu
cha mafundisho ya Yesu palipotoshwa na hii
ndio sababu kuu ya
tofauti za msingi kati ya
Uislamu na Ukristo. Inafurahisha kuona
kwamba "imani na
misingi ya Ukristo"
ambayo Quran
inaikubali inaweza pia
kuthibitishwa kwa urahisi kabisa, kuwa ni
sehemu ya mafundisho
ya wanafunzi wa
mwanzo kabisa wa
Bwana Yesu, ambapo
imani na misingi ambayo Quran
inaikataa inaweza
kuthibitishwa kuwa ni
maongezo (nyongeza)
yaliyoongezwa na
viongozi wa juu wa kanisa au Paulo.
Waliyaongeza haya kwa
sababu walipendezwa
na falsafa na mifumo ya
dini za Wapagani wa
Kigiriki na wa Kirumi".
 
Lolote lawezekana, usiwabeze kwani wanatofauti gani na vyama vingine vya Upinzani? havina sera. Kuimba ufisadi kila siku siyo sera.

chama gani kina sera? Sera ni nini? ***** mtupu sikujibu
 
teh,teh,teh ujira wa ma.ga.mba ni kazi sana,yaani wewe cdm itakuua kwa presha tulia dada,mbona huelezi huo moto unafukuta wapi na kati ya nani na nani? Ninavyojua mimi moto unafukuta ccm kati ya kundi la el na kundi la spika wa zamani six na mwakyembe huku baba mwanaasha akichombeza kwa mbali.haya na wewe weka wazi kama mimi huko cdm ni kati ya nani nani wanaofanya huo moto ufukute

cdm kunafukuta? Ama kweli nyani haoni kundule hata fisi hanatarajia kuwa siku moja mwanadamu atadondosha mkono, endeleeni kusubiri nyie magamba.
 
Kazi buti vijana, nyie ndio waadilifu wa kuweza kutoa uwongozi kwa nchi leo na kesho

Msikatishwe tamaa na magwanda, maana hawataki mafanikio yenu
 
ni ukweli ulio wazi kua chama chochote cha pinzani hususani cdm ni ngumu sana kuchukua inji hii kwa kura za wananchi(ccm bado inawatu wake wengi kulinganisha na chama chochote nchini)na tatizo cdm sera zao ni za machafuko chafuko tu hivo kutawala inji hii labda wapindue
,,nimesema ukweli unaouma hivo nitukaneni tu nshajiandaa kwa hili
 
inji ndiyo nini?
CDM itachukua nchi kama tume itakuwa huru na itawatendea watanzania haki.

Watu wamechoka magamba ni fedha tu zinazowanusuru.
 
ni ukweli ulio wazi kua chama chochote cha pinzani hususani cdm ni ngumu sana kuchukua inji hii kwa kura za wananchi(ccm bado inawatu wake wengi kulinganisha na chama chochote nchini)na tatizo cdm sera zao ni za machafuko chafuko tu hivo kutawala inji hii labda wapindue
,,nimesema ukweli unaouma hivo nitukaneni tu nshajiandaa kwa hili

Good idea but uneducated analysis!! Please Improve
 
A fine example of forgetting to engage brain before vomitting complete nonsense.
 
Kama imeshakamata zaidi ya 30% kupitia wabunge na madiwani huoni hizo ni dalili za kuchukua nchi very soon.FUNGUKA.
 
Ulifeli hiyo Diploma ya Mass Communication.Umekuja kujaza choo!
 
ni ukweli ulio wazi kua chama chochote cha pinzani hususani cdm ni ngumu sana kuchukua inji hii kwa kura za wananchi(ccm bado inawatu wake wengi kulinganisha na chama chochote nchini)na tatizo cdm sera zao ni za machafuko chafuko tu hivo kutawala inji hii labda wapindue
,,nimesema ukweli unaouma hivo nitukaneni tu nshajiandaa kwa hili
wewe jiandae ,tuchue mara mbili...! Siku hiyn ndio utakapojua kweli cameroon imepata kichimbio kifaacho.tutawafilisi wote waliohujumu uchumi wa nchi na kuwafungulia mashtaka .tia maji p.u.m.b.a.v.u wakubwa
 
Rudi huko Facebook ulipokuwa kwa magraduate ya kata.Utumbo mtupu
 
Hata Zambia,Kenya walikiwa hawaamini cku moja kuwa nchi(not inji) itakuwa upinzani...think.....
acha kukurupuka..
 
We mwehu, CDM wanaendesha hii nchi kwa remote control. Uliza JK kama wasingemkimbia bungeni kama angeleta katiba mpya. Muulize Mkulo kwa nini anatoa hela mfuko wa mbele na kuzihamishia mfuko wa nyuma halafu anadhani zimeongezeka!
 
ni ukweli ulio wazi kua chama chochote cha pinzani hususani cdm ni ngumu sana kuchukua inji hii kwa kura za wananchi(ccm bado inawatu wake wengi kulinganisha na chama chochote nchini)na tatizo cdm sera zao ni za machafuko chafuko tu hivo kutawala inji hii labda wapindue
,,nimesema ukweli unaouma hivo nitukaneni tu nshajiandaa kwa hili

Mkuu hujakosea 2015 ni baadae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom