Nteko Vano
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 434
- 113
mdau umeanza kujihami, inaonesha hauna uhakika na mawazo yako. 2015 kweli ni mbali, wangechukua hata 2013 ningefurahi sana.
Wewe upo na mawazo mfirisi sana,hujui kuwa CCM sasa ni mwisho wake ukizingatia kushamili kwa UFISADI ndani ya CCM pamoja na MAKUNDI yaliyomo ndina ya CCM.Uwe na elimu ya SIASA ulete vitu vya msingi,CDM ni imara kuliko unavyo fikilia.Pia uwena uwezo wa kuona mbali usikomee kuona mwisho wa pua yako.ni ukweli ulio wazi kua chama chochote cha pinzani hususani cdm ni ngumu sana kuchukua inji hii kwa kura za wananchi(ccm bado inawatu wake wengi kulinganisha na chama chochote nchini)na tatizo cdm sera zao ni za machafuko chafuko tu hivo kutawala inji hii labda wapindue ,,nimesema ukweli unaouma hivo nitukaneni tu nshajiandaa kwa hili
Wewe upo na mawazo mfirisi sana,hujui kuwa CCM sasa ni mwisho wake ukizingatia kushamili kwa UFISADI ndani ya CCM pamoja na MAKUNDI yaliyomo ndina ya CCM.Uwe na elimu ya SIASA ulete vitu vya msingi,CDM ni imara kuliko unavyo fikiria.Pia uwe na uwezo wa kuona mbali usikomee kuona mwisho wa pua yako.ni ukweli ulio wazi kua chama chochote cha pinzani hususani cdm ni ngumu sana kuchukua inji hii kwa kura za wananchi(ccm bado inawatu wake wengi kulinganisha na chama chochote nchini)na tatizo cdm sera zao ni za machafuko chafuko tu hivo kutawala inji hii labda wapindue ,,nimesema ukweli unaouma hivo nitukaneni tu nshajiandaa kwa hili
ni ukweli ulio wazi kua chama chochote cha pinzani hususani cdm ni ngumu sana kuchukua inji hii kwa kura za wananchi(ccm bado inawatu wake wengi kulinganisha na chama chochote nchini)na tatizo cdm sera zao ni za machafuko chafuko tu hivo kutawala inji hii labda wapindue
,,nimesema ukweli unaouma hivo nitukaneni tu nshajiandaa kwa hili
Ilikua n.r.a,akaja nccr mageuzi,ikaja cuf na leo chadema basi ujue haya ni mawimbi tu hupita baharini .ccm ndo baba..ngoja chadema mpate pesa kidogo mtaona migogoro na chama kitayumba atimaye ........... Malizia
ELIMU YA LEMA!.
Imebainika kuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ni 'KIHIYO', hayo yamejiri mahakamani ktk kesi inayoendelea ya kupinga matokeo ya ubunge wa Lema. Akihojiwa na wakili wa wadai Alute Mughway Lema alishindwa kuielezea mahakama kiwango chake halisi cha elimu kinyume na alivyojaza ktk fomu ya tume ya taifa ya uchaguzi na katika kumbukumbu za ofisi ya bunge ambapo fomu hizo zinaönyesha Lema alimaliza darasa la 7 1989 na kujiunga sekondari 1989-1992 (miaka 3) na kuonesha kujiunga na 'A- level' mwaka huo huo wa 1992-1993 (hakunaga) na pindi alipobanwa na wakili Mughway alikiri kuwa hakumaliza kidato cha nne bali aliishia kidato cha tatu tu ambapo alitakiwa aeleze aliwezaje kwa hali hiyo kusoma A-level AKAJICHANGANYA, Pia lema alipata wakati mgumu na kushindwa kutoa maelezo ya madai yake ya kuwa na diploma ya CAMBRIDGE COLLEGE ambapo alishindwa kuielezea mahakama nini maana ya diploma, pia kutokujua chuo hicho maarufu kilipo. Huyu ndio Godbless Jonathan Lema 'MPIGA DILI' wa Arusha ambaye pia eti ni 'WAZIRI KIVULI MAMBO YA NDANI'...Ama kweli "ELIMU YA MJINGA NI MAJUNGU... IKIWA UNAONA ELIMU NI GHALI BASI JARIBU UJINGA"!.

Mkuu tupo pamoja sana, naona zile ID 2 zimelamba Ban, karibu mkuuRudi huko Facebook ulipokuwa kwa magraduate ya kata.Utumbo mtupu
aliniacha hoi pale alipoulizwa kirefu cha TCU naye akasema ni Tanzania Student University. Badala ya Tanzania Commission for University!
mdau umeanza kujihami, inaonesha hauna uhakika na mawazo yako. 2015 kweli ni mbali, wangechukua hata 2013 ningefurahi sana.
Kama imeshakamata zaidi ya 30% kupitia wabunge na madiwani huoni hizo ni dalili za kuchukua nchi very soon.FUNGUKA.