CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

Nadhani suala la mgombea binafsi lilishapelekwa mahakamani na mahakamq kuruhusu kuwepo na mgombea binafsi.Ni serikali tuu ndio imesita kutekeleza amri ya mahakama.

Labda Spika anatumia kipengele hicho cha sheria, kwani hata akina mdee wakienda mahakamani jibu ni kuwa wao ni Binafsi

Au siyo ndugu Pascal?
 
Mkuu mzee74 , kama hii ni para 20 tuu unauta it's too long?!, wewe una uwezo wa kusoma kitabu chochote?, can you able to read any book?. Watanzania ni wavivu kusoma, namna pekee ya kuongeza maarifa ni kwa kusoma, kusikiliza na kutazama!.
P
Dkt.P inategemea na aina ya uandiahi

Utakuta mwandiahi anachelewa sana kuingia katika hoja.Anazunguka sana.Ni uandishi unaochosha.

Na mwandiahi muingine anIngia katika hoja mapema ila a anakupa hamu ya kuendelea kujua zaidi.
 
Mkuu mzee74 , hoja yako ni kweli, mimi ni story teller, hivyo ni mtu wa mastori. Hivyo kama para 20 tuu umeziona too long, unaweza kusoma novel yoyote wewe?.

Dkt.P
Mimi ni msimaji mzuri.Napenda vitabu vinayokufanya utamani kufungua ukurasa unaofuata.Nimewahi kumsoma Irving Wallace katika kitabu chake cha "The Prize " chenye kurasa 768 kwa wiki moja.NIlikuwa natembea na hicho kitabu na nikipata wasaa nasoma mpaka nikakimaliza.

Wewe pia ni muandishi mzuri ila saa nyngine unatumia lugha ya kificho sana
 
Wanabodi,

Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote kukisaidia. Upendo wa kweli ni pale unapoona jirani yako kipofu, haoni mbele, anatembea na mkongojo, unamuona kabisa anahatari ya kuangamia, kwa kuelekea kwenye shimo, unajitolea kumnusuru kwanza kwa kumpigia kelele asimame, mbele kuna hatari, kisha una stretch a helping hand kumshika mkono kumsaidia. CHADEMA kwa sasa, baada ya kipigo kitakatifu kwenye uchaguzi Mkuu uliopita ambao licha ya dosari ndogo ndogo ni ni huru na wa haki, ambapo upinzani umekataliwa na wananchi. Sasa kina hitaji kusaidiwa, kushikwa mkono kuonyeshwa the right way to go!.

Hivyo huu ni ushauri wangu kwa Chadema, Its do or die! Chadema is left with two options only kuchagua kufa, au kuendelea kuishi.

Ili CHADEMA kiendelee kuishi ni lazima kikubalini matokeo ya uchaguzi, kiandike barua NEC ya kuwavua uanachama hao wasaliti 19, kipeleke majina mapya 19, kiendelee kuvuta ruzuku and survives, or kiendelee kushupaza shingo, kuwa hakiyatambui matokeo ya uchaguzi, hakimtambui rais wa Jamhuri ya Muungano wa hakilitambui Bunge la Jamhuri ya Muungano wa CHADEMA will go straight to hell by being buried 6ft Under.

Mbele ya macho ya jamii, hao ambao kwao ni wasaliti, kwa wengine hao ni makamanda mashujaa wapambanaji ambao ni wa kiwango cha makomandoo, licha ya kufutwa uanachama wa CHADEMA, wataendelea kuwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ubunge wao sasa utakuwa ni ubunge wa Spika, Ubunge wa Taifa.

Angalizo la Uelewa:
Naomba kutoa angalizo dogo kuhusu uwezo wa uelewa wa Watanzania wengi kwenye complex issues ni mdogo, hivyo hili sakata la wabunge 19 wa Viti maalum CHADEMA, ni complex issue, kueleweka, inakubidi uwe na kichwa chenye uwezo wa uelewa wa kiwango hicho, hivyo wale wa uwezo wa uelewa wa wenzangu na mimi, mkiishia tuu kusoma heading na ku comment, nitawalewa sio kosa lenu, poleni. Ushauri wangu, ishieni hapa, huko mbele ndio mtapotea kabisa.

Wale wenzangu na mimi wa kuzama deep, twendeni mdogo mdogo, na ili uweze kuilewa vizuri mada hii iliyopo mezani, anzia hapa
Haki ya Kila Mtanzania Kushiriki Siasa

A Way Forward Kwa Chadema

Kama ni kweli Chadema haiyatambui matokeo ya uchaguzi, maana yake, hawamtambui Rais wa JMT, kwa mfumo wetu, rais wa JMT ni executive president, ni rais mtendaji, kila kinachofanywa mamlaka zote za umma, kinafanywa kwa niaba ya rais wa JMT, ukiisha kuwa humtambui rais, hiyo maana yake pia hulitambui Bunge, kwasababu limetokana na uchaguzi batili, hivyo sasa hao wabunge makamanda 19 wa Chadema ambao kwa Chadema ni wasaliti, lakini kwa wengine ni mashujaa wa haki za wanawake, baada ya kufutwa uanachama wa Chadema, wanapaswa kupoteza ubunge wao, ili wafutwe ubunge huo, ni lazima Chadema, kwanza kikubali matokeo!, kiyatambue!, kiiandikie Tume ya Uchaguzi NEC, kuwa kimekubali matokeo na kimekubali kupokea nafasi zake 19 za viti maalum. Barua hiyo iwakane, hao wabunge 19 waliojipeleka. NEC kwanza itajiridhisha kwamba ni kweli kulifanyika forgery ya hayo majina 19 wa mwanzo, kisha ni NEC ndio itamundikia Spika wa Bunge barua kutangaza nafasi hizo 19 za viti maalum Chadema ziko wazi, na kumpatia majina 19 mapya na halali ya viti maalum wa Chadema, hivyo Chadema wakiandika tuu barua, itakuwa ni wameutambua uchaguzi na wamekubali matokeo, Chadema will survive.

Kwa vile wabunge hao wameisha apishwa ni wabunge halali wa Bunge la JMT, hata kama Chadema imewafuta uanachama, tena hawahitaji kukata rufaa popote, wala kwenda mahakamani kupinga chochote, kwasababu Chadema haiwezi kufanya chochote. Sasa wataendelea na ubunge wao kama wabunge wa Taifa wa Chadema.

Wanachopaswa kufanya ni kutafuta eneo la ofisi hapo Dodoma, wafungue bank account, ruzuku yote ya Chadema, watakabidhiwa wao, na kulisongesha hadi 2025!. Uamuzi huu wa kulisongesha una changamoto moja, baadhi ya hao 19, ni wake wa ndoa wa wana CC wa Chadema, baadhi ni wenzi wanaoishi nao kinyumba kama mke na mume,na baadhi ni 'vidumu' vya viongozi wa Chadema, kuishi nyumba moja, kulala chumba kimoja, kitanda kimoja kati ya kiongozi halali wa Chadema na muasi, ni changamoto!, tena kuna wengine wameisha anza kujenga familia, familia zisiparanganyiwishwe na siasa za kujinga jinga kama hizi!.

Chadema wakiamua kuacha ujinga wa kujifanya hawayatambui matokeo, wakiyatambua, wataandika barua kwa NEC, copy kwa Spika kuwa wamewavua uanachama hao wasaliti 19, na badala yake, KM atangaze list ya wabunge wanawake wengine 19 wapya, ipeleke NEC, NEC wampe Spika, Spika awatangaze kuwatengua ubunge hao wabunge 19 wasaliti wafutwe ubunge na wabunge wapya wa Chadema waapishwe.
Zeozi hili lina changamoto 2 tuu, Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai, 2- Wameisha kopeshwa mkopo wa magari unaolipwa ndani ya miaka 5!.

Nini Kifanyike, A Way Forward Kitaifa
Kama nilivyowahi kushauri humu, ukosoaji wenye kujenga, huandamana na ushauri wa nini kifanyike kurekebisha kasoro hizi ili kuundoa ujinga huu unaoendelea nchini kwenye siasa zetu, haiwezekani kiongozi achaguliwe na umma wa Watanzania, halafu chama chake kwa sababu za kijinga jinga tuu, kimvue uanachama, ili Tanzania tupate maendeleo ya kweli ya kisiasa, ni lazima tubadilike, sheria za kijinga jinga zenye masharti ya kijinga jinga lazima tuzibadilishe.

  1. Tubadili sheria yetu ya uchaguzi, kile kipengele cha kudhaminiwa na chama kiishie kwenye uteuzi tuu, kiongozi akiishachaguliwa, anakuwa kiongozi wa watu, anaweza kuhama chama bila kupoteza uongozi wake kama ilivyo nchini Kenya na nchi nyingine zenye kuheshimu demokrasia ya kweli na sio hii demokrasia fake ya vyama!.
  2. Tubadili Katiba yetu na sheria yetu ya uchaguzi, kwa kuondoa kipengele cha kudhaminiwa na vyama ili kila Mtanzania mwenye sifa za kugombea uongozi wa nafasi yoyote, aruhusiwe, ila kwenye urais, tuweke vigezo vya ziada, ili asijetokea tajiri mmoja mwenye ukwasi wa kuwanunua watanzania wote, tukajikuta tuna rais wa kununuliwa. Ila kwenye ubunge, udiwani na serikali za mtaa, kila mtu awe free kugombea, hivyo tuwe na wagombea huru, na wagombea binafsi.
  3. Tuibadili Tume yetu ya Uchaguzi iwe Tume huru zaidi na shirikishi, tujenge uwanja sawa wa ushindani wa haki kwa vyama vyote, uchaguzi uendeshwe kwa transparency ya hali ya juu kwa kuruhusu mawakala hadi kwenye tallying, na vyama au taasisi zozote ziwe free kuwa na tallying centers zake, kitu ambacho hakitaruhusiwa na talling centers hizo ni kutangaza matokeo, kama matokeo yote ya uchaguzi hadi wa rais yanahesabiwa kituoni na kubandikwa ukutani, kama hakuna jambo lolote la kificho, yaani nothing to hide, kwanini uzuie independent tallying?!. Uchaguzi wa 2025, kila mwenye uwezo wa kufanya tallying aruhusiwe afanye ila zisitangaze matokeo, hii itazuia bao la mkono!
Hitimisho
Ili Taifa letu lipate maendeleo ya kweli, ni lazima sisi Watanzania tukubali kuwa wakweli toka ndani ya nafsi zetu, kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa na kufanya siasa za ukweli, naamini kabisa rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, anaweza kuleta maendeleo ya kweli ya taifa letu la Tanzania kwa kuleta maendeleo ya kiuchumi na wakati huo huo akiiacha demokrasia ikishamiri.

Nawatakia Jumanne Njema.

Paskali
Update ya Mchango Very Objective

Mkuu Drifter, kwanza asante kwa mchango wako, very objective, kiukweli tangu nimepandisha uzi huu, wewe ndio mtu wa kwanza kunielewa, kwasababu, kiukweli kabisa, hii jf ya sasa, tuna watu wachache sana, wenye kuweza kusoma bandiko na kisha kujiuliza what is the motive behind.

Chama cha Mapinduzi ni chama cha ukweli na haki, kiliasisiwa na Mwalimu Nyerere, mpenda haki na mtenda haki. Baada ya Mwalimu, CCM ilipitia mageuzi na kuishiwa kuhodhiwa na wenye fedha, hivyo kuzalisha kada kubwa ya makada wa CCM ambao ni makada maslahi, na kwenye uchaguzi, wanakuwa wako tayari kutumia mbinu zozote kushinda uchaguzi. JPM alipoingia, amekuja kuibadili CCM kuirudisha ile CCM ya Nyerere. Sasa ndani ya makada wa CCM, kuna makada wa aina mbili, kuna "CCM Die Hard", hawa ndio wanaotaka kuhakikisha CCM inaupondaponda upinzani na kushinda kwa asilimia 99.9% kwa kutumia mbinu zozote.

Tupo sisi makada "Modern CCM" ambao kutokana na good track ya kazi nzuri ya JPM, CCM innashinda kwa mshindi mzuri safi na clear victory, kushinda kwa haki bila kufanya figisu figisu zozote.

Kwa vile Bunge letu ni Bunge la vyama vingi, mimi naamini kuna baadhi ya wana CCM very genuine, hakupenda kuona baadhi ya wapinzani wakishindwa akiwemo mtu kama Zitto!. Lakini kutokana na wapinzani kukataliwa na wananchi, ili Bunge lichangamke, zile kamati 2 za oversight committee, PAC na LAAC, lazima ziongozwe na wabunge wa upinzania ambao ni vichwa vya ukweli, kwenye hao wabunge wote sijaona watu wa kalibre hiyo ndio maana kila siku, tunamuomba Mwenyekiti wetu, JPM, katika zile nafasi zake 10, awateua wapinzani 4, Zitto, JJ Mnyika, Mbatia na kale kabinti Queen Sendiga.

Ili CCM itawale vizuri inahitaji Upinzani makini, ndio maana kila uchao, naibalasa Chadema humu na ACT Zanzibar, waache ujinga wa kususa. Ili kusasa kwa akili ni kususa kama kwa kususa huko utaachieve something, lakini kususa tuu for the sake of kususa, huku you won't achieve anything huu ni ujinga!.

Karibu tena.
P
Nimeupenda uchambuzi huu, naona umezima matusi,kejeli,porojo na zile hoja za Tandale kwa Tumbo,na mwisho kabisa umeandika ''kale kabinti Queen Sendiga''. Mkuu hata mimi haka kabinti kamenikosha na ni kichwa kanajiamini sijui kametokea wapi.
 
Huna tofauti na n

Huna tofauti na ng’ombe.
 
Nyie lazima mnalipwa ku spin huu uwongo na kutumia mindset mliyonayo kupindisha mambo.
nyie mnahangaika na chadema Kwa nini? Iacheni ife Si ndiyo nia ya mwenyekiti wenu?

nani kakwambia sheria na katiba ni complicated? Au Kwa mawazo ya hao watawala wenu? huo ni uongo wa kuhalalisha. Wewe unatumiwa at your age as retiree this is your chance to get promoted, ongeza nguvu
Ulikuwa unanijibu mimi?
 
Kama mnavyoomba misaada isije kwa waathirika wala misaada ya kibinaadam isifike ili watanzania wote wafe halafu wewe na kichaa mwenzako Lissu mpate demokrasia
Mpaka sasa watanzania hasa ambao siyo wanaccm wanawekewa vikwazo mbalimbali na serikali yako dharimu.

Wana vikwazo vya ajira,uhuru,haki na kudhurumiwa maisha yao.KWA HIYO VIKWAZO HIVI VITAKUWA NI MUENDELEZO WA VIKWAZO KWA NCHI ILIYOJAA UCHAFU
 
Hii ni taarifa kutoka Zanzibar iliyotufikia hivi punde , kwamba Dr Hussein Mwinyi ameteua Ndugu Nassoro Mazrui ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo pamoja na Mwanasheria wa Chama hicho Omary Shaaban kuwa wajumbe wa baraza la Wawakilishi .

Huu ni muendelezo wa mambo ya SUK .

Tunawatakia kila la heri

====

Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ali Mwinyi amemteua Naibu Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Nassor Ahmed Mazrui na mwanasheria mkuu wa chama hicho, Omar Said Shaaban kuwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi.
View attachment 1644003
Hizi sasa ndio siasa za ukweli. Sio zile siasa za kususa susa. Wakati Chadema wanaendelea kushupaza shingo, wenzao, wamepiga bao la kisigino.
Naendelea kusisitiza, "if you can't get what you want, then what you get". Yaani usipopata kile kikubwa unachokitaka, pokea hata kidogo ulicho patina!.
Na kwenye mapambano ya kupigania kitu, "if you can't beat them, join them". ACT Wazalendo wameipambania Zanzibar kwa kupigana na CCM, they couldn't beat them, now they have joined them.

Hongera sana ACT Wazalendo kwa kujitambua, hongera sana rais wa Zanzibar, Dr. Hussein Mwinyi kwa kuwa muungwana kama baba yako.
Mungu Ibariki Zanzibar
Mungu Ibariki Tanzania..
P
 
Nyie lazima mnalipwa ku spin huu uwongo na kutumia mindset mliyonayo kupindisha mambo.
nyie mnahangaika na chadema Kwa nini? Iacheni ife Si ndiyo nia ya mwenyekiti wenu?

nani kakwambia sheria na katiba ni complicated? Au Kwa mawazo ya hao watawala wenu? huo ni uongo wa kuhalalisha. Wewe unatumiwa at your age as retiree this is your chance to get promoted, ongeza nguvu
Duh...!. Haya, kama unaamini kuna watu wanalipwa ku spin, endelea kuamini, na labda kweli hao ma spin doctors wapo, but not me. Kwanza I don't spin, mimi ni mkweli Daima na ninaandika ukweli with facts and references.

P
 
Back
Top Bottom