WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 5,883
- 5,645
Leo mwana JF huyu, kaibua hoja hii
Mkuu Rabbon , kiukweli huyu jamaa yenu, anawazeveza tuu, kujifanya hajui!. Kama sio huyu Mama, Chadema saa hizi ingekuwa RIP long time ago, kama nilivyo andika hapa CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao kama sio Samia, Chadema would have been long dead kwa ukata!.
Baada ya Chadema kutotambua matokeo, ikawatimua kina Mdee, wakakata rufaa Baraza Kuu, kutokana na ukata, Chadema ilishindwa kuitisha kikao cha Baraza Kuu, mpaka kiliposhikwa mkono na fulani!. Ina maana Lissu hakujua fedha za kuitisha Baraza Kuu zilitoka wapi?.
Viongozi wakuu wa Chadema, walifanya ziara nje ya nchi, chama kikiwa hoi bin taaban kiuchumi!, Lissu hakushangaa pesa zimetoka wapi ndio anajifanya kushangaa sasa!.
Kilichokuja kutokea, Chadema iliyatambua matokeo, ikalitambua Bunge na kumtambua rais, sasa wanalamba ruzuku ya wale wabunge wao 19!
Msikilize hapa JJ Mnyika
View: https://youtu.be/x5yFws4dc1U?si=8Xs0--sIxjLls1Qw.
P.
CHADEMA iko kwenye mioyo ya watu haiko kwenye pesa mkuu.