Swali kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Wabunge 19 waliofukuzwa uanachama na chama chao kwa mujibu wa katiba wapo Bungeni kwa sheria ipi?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,487
2,351
Wadau nimeamua kuipitia katiba lili nione kama kuna marekebisho yoyote yamefanyika ya sheria mbalimbali ikiwemo ya wabunge.

Nilichokuwa nakitafuta katika katiba hiyo ni suala zima la mbunge kupoteza sifa ya kuwa mbunge. Nimepekua kurasa zote na kuona kuwa moja ya sifa ya mbunge kupoteza ubunge wake ni kufukuzwa uanachama na chama chake kwani kwa mujibu wa katiba iliyopo mbunge ni lazima atokane na chama cha siasa na endapo mbunge atafukuzwa uanachama wake basi bunge linapaswa kumwondoa bungeni.

Swali kwa mwanasheria mkuu wa serikali.

Je, wabunge 19 waliofukuzwa uanachama wao na chama chao mbona wapo bungeni?

Je, wapo kwa sheria ipi kwa mujibu wa katiba ya nchi?
 
Wadau nimeamua kuipitia KATIBA lili nione kama kuna Marekebisho yoyote yamefanyika ya Sheria mbalimbali ikiwemo ya WABUNGE.
Nilichokuwa nakitafuta ktk KATIBA hiyo ni Suala zima la MBUNGE kupoteza SIFA ya kuwa MBUNGE .Nimepekua kurasa zote na kuona kuwa Moja ya Sifa ya MBUNGE kupoteza UBUNGE wake ni KUFUKUZWA Uanachama na CHAMA chake kwani kwa Mujibu wa KATIBA iliyopo MBUNGE ni LAZIMA atokane na CHAMA cha SIASA na endapo MBUNGE atafukuzwa Uanachama wake Basi BUNGE linapaswa kumwondoa BUNGENI.
SWALI kwa MWANASHERIA MKUU wa SERIKALI
Je WABUNGE 19 waliofukuzwa UANACHAMA wao na Chama chao MBONA wapo BUNGENI
Je Wapo kwa Sheria ipi kwa Mujibu wa KATIBA ya NCHI?
Unataka akujibu harafu watoto wake wakasome kayumba?
 
Viongozi Wengi hawaijui Katiba ndio Sababu alipokufa Shujaa ilibidi Sidiefu aingilie Kati Kikatiba Zaidi
 
CCM waliiba kura hadi wakapitiliza wakasahau wanahitaji kuunda kambi rasmi ya Upinzani Bungeni - CDM wakasema hawautambui uchaguzi sasa wakaona njia pekee ni kuwarubuni hawa wamama wa CDM wakimtumia Mdee kufanikisha ugaidi huo wa kisiasa.

Hawa hawatatoka Bungeni hadi Bunge litakapovunjwa rasmi kupisha uchaguzi Mkuu 2025.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali hana la kufanya kwenye hili.
 
Wadau nimeamua kuipitia katiba lili nione kama kuna marekebisho yoyote yamefanyika ya sheria mbalimbali ikiwemo ya wabunge.

Nilichokuwa nakitafuta katika katiba hiyo ni suala zima la mbunge kupoteza sifa ya kuwa mbunge. Nimepekua kurasa zote na kuona kuwa moja ya sifa ya mbunge kupoteza ubunge wake ni kufukuzwa uanachama na chama chake kwani kwa mujibu wa katiba iliyopo mbunge ni lazima atokane na chama cha siasa na endapo mbunge atafukuzwa uanachama wake basi bunge linapaswa kumwondoa bungeni.

Swali kwa mwanasheria mkuu wa serikali.

Je wabunge 19 waliofukuzwa uanachama wao na chama chao mbona wapo bungeni?

Je wapo kwa sheria ipi kwa mujibu wa katiba ya nchi?
Makonda(CCM) aliwashauri wananchi waache kutegemea mahakama, kumbuka huyu mwamba yumo jikoni.
 
Na mwakani CDM hawatasusia Uchaguzi kwa Kuwa Viongozi Waandamizi walishashikishwa Chao Mapema..!

Hivyo Covid 19 wataingia tena bungeni Kihalali maisha yanaendelea,utasikia tumeamua kusamehe tunaanza upya.

Hili ni chezo La Kihindi,Mlalahoi anaendelea kuumia...!
 
Back
Top Bottom