CHADEMA kimbieni wote kama mna hasira ya kweli

Mnaosema raisi Magufuli ana utawala wa kidikteta, naomba mnifafanulie tofauti kati ya utawala wa kidikteta na utawala wa kifalme.
 
Usichanganye habari hapo. Rejea mtiririko wa post ulizotuma na jinsi nilivyokujibu.
Nachanganya kwani hii ni mboga?
Mbona nyinyi makada mnakuwa na akili ya kuku?
Hii ndio hatari ya kutokwenda shule mkabaki kukimbiza mwenge mchana eti umurike

Jibu swali Tanganyika ni nchi ya wazungu ?
 
Mnaosema raisi Magufuli ana utawala wa kidikteta, naomba mnifafanunulie tofauti kati ya utawala wa kidikteta na utawala wa kifalme.
Mfalme Huku Zanzibar hakuwahi kumuuwa mtu wala kumbakizia mtu kesi yoyote ?
 
Nachanganya kwani hii ni mboga?
Mbona nyinyi makada mnakuwa na akili ya kuku?
Hii ndio hatari ya kutokwenda shule mkabaki kukimbiza mwenge mchana eti umurike

Jibu swali Tanganyika ni nchi ya wazungu ?
Ungejua maana halisi ya mwenge wa uhuru usingeandika kama uliyoyaandika hapo juu. Rudi shuleni kamuulize mwalimu wako wa history akueleweshe maana halisi ya mwenge wa uhuru. Pia, mwalimu wako wa history atakujibu Tanganyika ni nchi ya wazungu au?
 
Mwenge kakimbize wewe mchana ukusaidie kukumulikia ndio mnavyosema.

Hizo ni ibada za moto alizokuwa akiabudu huyo mloacha baba zenu mkafuata baba yenu wa pili , Laanatullahi Nyerere.

Hivi makada mnakuwa hamuelewi kuwa Tz ni ya wazungu au la ??
 
Usidharau mila na desturi za watu. Ukijiheshimu na ww utaheshimiwa.
 
Sijaiona.
Unamuita Magufuli dikteta, nifafanulie tofauti kati ya utawala wa kidikteta na utawala wa kifalme.
Kama hujaiona ni afadhali ukakojowe ukalale , kasikilize uharo wa Magufuli ukamsifie
 
Back
Top Bottom