Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,957
Fukuza mkuu
Ndio iliyobaki
Fukuza mkuu
Hayana aibu mkuuNdio iliyobaki
Hayana aibu mkuu
Ni aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo.
1. Kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dkt. Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa kisiasa ambayo kiuhalisia ni uongo mkubwa.
2. Kutafuta huruma ili ionekane hawatendewi haki katika Nchi Yao kiuhalisia ni uongo mkubwa
3. Kweli ni kwamba wote wanaokimbia hawana Pesa za kuijkimu kuishi hapa Nchini baada ya kukatishwa KAZI Yao ya uropokaji bungeni hivyo wanaenda huko kulishwa bure.
Haramu yafaa kuliwa na maharamia pekee.Ni aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo.
1. Kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dkt. Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa kisiasa ambayo kiuhalisia ni uongo mkubwa.
2. Kutafuta huruma ili ionekane hawatendewi haki katika Nchi Yao kiuhalisia ni uongo mkubwa
3. Kweli ni kwamba wote wanaokimbia hawana Pesa za kuijkimu kuishi hapa Nchini baada ya kukatishwa KAZI Yao ya uropokaji bungeni hivyo wanaenda huko kulishwa bure.
Una ushahidi? Ulikuwepo wakati anakodisha hayo majeshi ya Burundi?Kama unao huo ushahidi, basi upeleke mahakamani.Angalifika kukodi jeshi la Burundi limsaidie kuiba kura na kuuwa watu abakie madarakani ??
Punguza jazba na hasira ndugu muandishiKama hujaiona ni afadhali ukakojowe ukalale , kasikilize uharo wa Magufuli ukamsifie
Ushahidi njoo huku pemba utauona mwenyewe jeshini . Mahakama ya ya hawa majaji wanaogombea uraisi kwa tiketi ya CCM?Una ushahidi? Ulikuwepo wakati anakodisha hayo majeshi ya Burundi?Kama unao huo ushahidi, basi upeleke mahakamani.
Kafurahie mafuso anayojamba magufuli ,umsifiePunguza jazba na hasira ndugu muandishi
Sasa kumbe tayari ushahidi unao. Upeleke huo ushahidi mahakamani sasa.Ushahidi njoo huku pemba utauona mwenyewe jeshini . Mahakama ya ya hawa majaji wanaogombea uraisi kwa tiketi ya CCM?
Punguza jazba ndugu muandishi. Ulichokiandika hapo hakitakusaidia kutatua tatizo linalokusumbua.Kafurahie mafuso anayojamba magufuli ,umsifie
Huku ni kukosa UTU na UUNGWANA. Omba yasikukute wew mwenyewe au ndugu yako wa karibuNi aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo.
1. Kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dkt. Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa kisiasa ambayo kiuhalisia ni uongo mkubwa.
2. Kutafuta huruma ili ionekane hawatendewi haki katika Nchi Yao kiuhalisia ni uongo mkubwa
3. Kweli ni kwamba wote wanaokimbia hawana Pesa za kuijkimu kuishi hapa Nchini baada ya kukatishwa KAZI Yao ya uropokaji bungeni hivyo wanaenda huko kulishwa bure.
Mahakama ya Chato?Sasa kumbe tayari ushahidi unao. Upeleke huo ushahidi mahakamani sasa.
Ulishamsifia huyo mvuta bangi wa chato na mashuzi yake?Punguza jazba ndugu muandishi. Ulichokiandika hapo hakitakusaidia kutatua tatizo linalokusumbua.
Kamuulize mwanasheria wakoMahakama ya chato?
Punguza jazba ndugu muandishi. Ulichokiandika hapo hakitakusaidia kutatua tatizo linalokusumbua.Ulishamsifia huyo mvuta bangi wa chato na mashuzi yake?
Huko tumeshotoka ndugu ile Tanu ilikuwa kutafuta Uhuru wa Nchi dhidi ya wanyonyaji sasa TL anatafuta Uhuru upi?..Nasoma Nyerere/TANU walivyowatumia wabunge wa Labor, the Fabian Society, ma lobbyists huko Ulaya nk katika harakati za Uhuru lakini leo mtu akionekana na watu kama hao anabatizwa KIBARAKA wa MABEBERU… yani ujinga ni kitu cha kijinga sana kwenye jamii…