Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,957
Mara ngapi, unapata choo?Kwa herii
Mara ngapi, unapata choo?Kwa herii
Mkuu hata karma unahasira ya kushindwa, umetumia Lugha ambayo site nzuri.Maiti za Tanzania mpaka zitakapojitambua safari ni ndefu,ila bado tutaendelea kuzipiga shoti huenda zikaamka!
Wenye maono kinzani bado tupo tupo sana,tutaendelea kuparuana pale mtakapoyumba!Mkikosea tunapiga msumari,we are just living our lives to the fullest!
Angeuawa Lisu ungesikia Mbowe anauwa wanachama ili serikali ilaumiwe nk.propaganda za ajabu.Wacha hasira.
Wapinzani wameamua kujiongeza tu baada ya kuona madai yao hayasikilizwi.
Angalia jinga hiinani katekwa kati ya hao wapiga dili wa upinzani!!!!
mnatibua mambo huko,mkifinywa mnaloloma. Acha wakaishi kwa watu huko, wapewe uraia wakiweza wagombee huko.
Nakazia. Hata Mbowe atafute namna ya kuukimbia huu utawala kiimlaAngeuawa Lisu ungesikia Mbowe anauwa wanachama ili serikali ilaumiwe nk.propaganda za ajabu.
Inaelekea unakitamani na una hamu sana na choo changu.Mara ngapi, unapata choo?