Hawa wapuuzi wameshindwa uchaguzi, maandsmano yame buma watanzania wamestukia miradi yao ya kuwaandananisha . Sasa wamekuja na mradi wa ukimbizi.
Serikali ya Tanzania inatakiwa iwakoromee na kushughulika na baadhi ya Wakenya wanao washwawashwa na mambo ya Tanzania.
Kenya ni tatizo kwa Tanzania linalo fuka moshi na tusipowahi kama Taifa kuuzima huu moshi iko siku na haiko mbali moto utalipuka. Haiwezekani Kenya itumie NTv na wakina Lema/cdm kuchafua taswira ya Tanzania halafu tuinyamazie. Lasima tuwatie adabu ili wajifunze kujiheshimu na kiacha kuingilia mambo ya nchi nyengine.