Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,957
Kamuulize mwanasheria wako
wa Chato ??
Kamuulize mwanasheria wako
Punguza jazba ndugu muandishi. Ulichokiandika hapo hakitakusaidia kutatua tatizo linalokusumbua.
Ujinga ni kipaji pia, huyo aliozikwa Zanzibar Jana chanzo ni nini ?!Ni aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo.
1. Kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dkt. Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa kisiasa ambayo kiuhalisia ni uongo mkubwa.
2. Kutafuta huruma ili ionekane hawatendewi haki katika Nchi Yao kiuhalisia ni uongo mkubwa
3. Kweli ni kwamba wote wanaokimbia hawana Pesa za kuijkimu kuishi hapa Nchini baada ya kukatishwa KAZI Yao ya uropokaji bungeni hivyo wanaenda huko kulishwa bure.
Ni aina mpya ya siasa waliyoanzisha hawa Jamaa zetu CHADEMA baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi mkuu, Kuikimbia Nchi na kuomba ukimbizi wa kisiasa.Sote tunajua sababu za wao kufanya hivyo.
1. Kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dkt. Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa kisiasa ambayo kiuhalisia ni uongo mkubwa.
2. Kutafuta huruma ili ionekane hawatendewi haki katika Nchi Yao kiuhalisia ni uongo mkubwa
3. Kweli ni kwamba wote wanaokimbia hawana Pesa za kuijkimu kuishi hapa Nchini baada ya kukatishwa KAZI Yao ya uropokaji bungeni hivyo wanaenda huko kulishwa bure.
Kutakuwa kuna jambo, haiwezekani mtu kama Nyarandu akimbie aache mambo yake yote nyuma. Mimi nilihisi ni mambo tu ya siasa za upinzani ila huenda kuna jambo maana kuna mambo unaweza kuhisi hayatokei kumbe yanatokea.
Soma kuhusu taratibu za ukimbizi.Kwahiyo kuwa mkimbizi wa kisiasa mana yake unatunzwa na hiyo nchi ulikimbilia?
Sidhani kama unajua ulichoandika ! Ni budi uwe unaacha mihemko ili uandike kitu kinachofanana na ukweli!Kuonesha dunia kwamba Tanzania sio salama chini ya Dkt. Magufuli haswa Kwa wapinzani wake wa kisiasa ambayo kiuhalisia ni uongo mkubwa.
Kwani humjui mwanasheria wako mpaka uniulize mimi?wa Chato ??
Ulichokiandika hapo kinadhihirisha bado una jazba. Punguza jazba ndugu muandishi.Litakupunguzia wewe kwa kumsifia Mvuta bangi wa Chato na mashuzi yake ??
Jazba kuliko aliyonayo huyo aliyeuwa watu ,unayemsifia mashuzi yake?Ulichokiandika hapo kinadhihirisha bado una jazba. Punguza jazba ndugu muandishi.
Jazba haitakusaidia kutatua tatizo linalokusumbua.
Kwani wewe si mwanasheria wako?Kwani humjui mwanasheria wako mpaka uniulize mm?
Punguza jazba. Ulichokiandika hapo kinadhihirisha bado una jazba. Jazba haitakusaidia kutatua tatizo linalokusumbua.Jazba kuliko aliyonayo huyo aliyeuwa watu ,unayemsifia mashuzi yake ?
Umejuaje kama sio wewe ndio mtumishi wake uliyeniandikisha jina kwa huyo mwanasheria.Kwani wewe si mwanasheria wako?
Una uhakika walishindwa??????Gambo wa kushinda Arusha??Kwa miaka mitano yote walikuwa wanapinga huku wanapokea mishahara na marupurupu kibao SASA mbona baada ya kushindwa wameanza kuikimbia Nchi kulikoni???waje wajiajiri tu
Punguza jazba. Ulichokiandika hapo kinadhihirisha bado una jazba. Jazba haitakusaidia kutatua tatizo linalokusumbua.
kwani ulijuwaje kama sio wewe ndio mtumishi wakoUmejuaje kama sio wewe ndio mtumishi wake uliyeniandikisha jina kwa huyo mwanasheria.
Jazba huwa haisifii bali huandika maneno uiyoandika kujibu post zangu.Punguza jaziba la kumsifia muuwaji wa Chato na mashuzi yake
Dishi limeyumba au??kwani ulijuwaje kama sio wewe ndio mtumishi wako
Punguza jazba ya kusifia mashuzi ya muuwaji wa Chato na majeshi yake ya kukodi ya BurundiJazba huwa haisifii bali huandika maneno uiyoandika kujibu post zangu.
Bado una jazba ambayo haitakusaidia kulitatua tatizo linalokusumbua.