CHADEMA jifanyieni tathmini

Usichange, hili ni jambo dogo. Unaweza kuelewa kuwa Chama kilikodisha Choppa 4 kwa zaidi ya Tzs. bilioni 8 kuendesha kampeni za Mgombea urais (2015) lakini wakashindwa kupata/kutenga bajeti ya Tzs. million 50 kulipa mawakala elfu 5 kusimamia kura za Mgombea urais wao. Hawa jamaa hopeless kabisa. Mwenyekiti na sekretariat wao chao ni dili tu, basi.

Kumbe mliiba kura
 
upuuzi tuu si wanatafuta wa kumulaumu ili mradi tuu...ulinzi hawatoi na polisi hawawaamini kazi kulalamika tuu!!!

bado tuko hai tatizo ajira
 
Nyie CHADEMA sikilizeni....amkeni sasa.

Anzeni kuwa mnafikiria kwa hatua kadhaa mbele.

Hatua zenye manufaa kwa mustakabali wa chama chenu na viongozi wenu.

Hivi nyie mna idara ya usalama kweli? Kama mnayo, iweje suala la ulinzi kwa Tundu Lissu mlikuwa hamjaona umuhimu wake?

Kwa nini Lissu hakuwa na ulinzi imara wa watu wenye silaha za moto?

Kwa kweli hapo mmeudondosha mpira. Na kama mna watu wanaohusika na usalama ndani ya chama chenu basi hamna budi kufanya maamuzi magumu na kuwatimulia mbali.

Haiwezekani kiongozi mkubwa kwenye chama kama Lissu asiwe na usalama wa kueleweka.

Sijui mlikuwa mnaitegemea serikali kwenye hilo!

Kiongozi wa juu tena mwenye mbwembwe na cheche kama Lissu kutembea tembea bila ulinzi wa maana ni upumbavu.

Ni upumbavu kwa sababu tayari yeye atakuwa ni mlengwa wa mashambulizi toka kwa wabaya wake. Anapotembea bila ulinzi anakuwa ni shabaha iliyo rahisi sana kuilenga.

Haiingii akilini kwa nini hadi siku ya lile tukio mlikuwa hamjampatia ulinzi huyo mwanasheria wenu mkuu.

Shame on you.
Wale Red Brigades kazi yao ni nini?
 
Wale Red Brigades kazi yao ni nini?
Hahaaa.

For my money, they are just a ragtag copycat of CCM's Green Guard who have no training in VIP protection.

If they did, where were they?

How could they let such a high profile leader go about without a protective security detail even after he went public with his fear that he was being followed around by some car?!!

From the looks of it even the vehicle he was in doesn't appear to have been an armored one!

This should be a wake up call for them to reevaluate their security measures.
 
Hapa tunazungumzia emergency preparedness , contingencies etc achilia mbali uwepo wa chombo chenye jukumu LA ulinzi kikatiba, polisi. Hats kama wangekuwa hawatumiki kisiasa bado upinzani unatakiwa kuwa consciously alarted muda wote
Kwa nafasi ya TL, Hata kabla ya shambulizi alikua na ulinzi.

In short:- Ipo tofauti kubwa kati ya regular security versus security against arch enermy.

ikitokea unafahamu Adui anakuwinda, ndipo unagundua hata regular security ina mapungufu sana.

Maana adui anapokuja kwako anakua amesha assess ulinzi ulionao na sehemu gani wataachia mwanya ili akumalize.

Ndio maana:-
Unaweza nunua bastola ya kujilinda ukatembea nayo kama security. Lakini bado haufahamu adui atakuja muda gani na kwa style gani.

TL alitambua anafuatiliwa na gari nyeupe ya Polisi( which means Polisi walipaswa wamlinde uhai wake sio wamuue). Anaweza kua alijua wanamfuatilia ili wampate na Kosa.

Wakamzoesha hali hiyo mpaka muda anapigwa risasi. Hata kama ana bastola inaweza isimsaidie tena.

Omba uwe na Ulinzi lakini usiwe na adui.

Hapa Tanzania kuna Matajiri wengi wameuwawa si kwakua hawakua na walinzi bali walikua na maadui.
Mfano bilionea Erasto, Amran kombe, nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe unaweza ukaishi nchi za dunia ya kwanza lakini fikra zako zisiwe tofauti na yule anayeishi nchi za dunia ya tatu.

Sent from my Priceless H40-D00 Bombadier
 
Ww umesoma mpaka la ngapi?.Yaani Lissu ni raia wa kawaida? Lissu ni kiongozi mkubwa tena ni mwiba kwa serikali ya Ccm halafu ww unasema hilo ni jukimu la polisi ambao kutwa kucha mnawaita policcm? Hivi zinawatosha kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa.

For my money, they are just a ragtag copycat of CCM's Green Guard who have no training in VIP protection.

If they did, where were they?

How could they let such a high profile leader go about without a protective security detail even after he went public with his fear that he was being followed around by some car?!!

From the looks of it even the vehicle he was in doesn't appear to have been an armored one!

This should be a wake up call for them to reevaluate their security measures.
You have strikethroughs again. Was this intentional or a quirky glitch?

What's up with that?
 
You have strikethroughs again. Was this intentional or a quirky glitch?

What's up with that?
Huh...weird coz I used the JF app from my phone.

There must be something going on with the site, maybe.

But I know how to fix the issue now.
 
Viongozi wake wa juu hawakutaka kumpa ulinzi kwa sababu yeyw hatatoa pesa kupata nafasi ya kuwania uraisi.. hivyo hata viongozi wao wa usalama wanakuwa hawana la kufanya kama wa juu hawataki.
 
Back
Top Bottom