Polisi waligoma/ hawakuchukua hatua.Ulinzi wa raia sio jukumu la chadema ni la jeshi la polisi ambao wanalipwa kwa kodi za wananchi wa vyama na dini zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulinzi wa raia sio jukumu la chadema ni la jeshi la polisi ambao wanalipwa kwa kodi za wananchi wa vyama na dini zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona mpaka mnatumia bunduki ujue mgolo umewashuka.Mbona na nyie hampambani na hali yenu na mnaitegemea polisi iwakamate walohusika?
Nyie wafuasi hamna akili kabisa.
Mnachojua na mnachoweza ni kuzungusha mikono tu.
mmmnh
inamaana viongozi wote/wabunge wote walindwe???
si wapo bungeni,wenye itikadi tofauti,
Mtu anayeongoza jimbo kwa ticket ya CCM,alindwe sababu katika jimbo lake,kuna walio na itikadi tofauti??ya ukawa kwa mfano
Una maana gani kusema shame on you?
Aisee nadhani waikuwa wakimpa ulinzi ila hawakutarajia kitu kama hiki, mwenyewe sikutarajia mbunge na mpinzani maarufu kuliko wote wa Magufuli kupigwa risasi kwenye akiwa kwenya makazi ya mawaziri
Ulinzi dhidi ya nani?.Vibaka, majambazi?CHADEMA wanashangaza sana.
Wana mentality ya utegemezi.
Utegemezi wa serikali ya CCM.
Sijui wataamka lini tu!!
Nadhani kuna tahadhari zilichukuliwa(ndo maana wakagunduwa kufuatiliwa mara kwa mara),however haikuhusisha security detail. Pia inaonyesha washambuliaji walifahamu kuwa mshambuliwaji asingekuwa na wasiwasi mwingi Dodoma ambapo ulinzi na usalama pengine ni wa juu zaidi kutokana na idadi za viongozi wanaokuwepo huko. Tena jirani na nyumba ya spika? Mtu wa tatu ama wa nne ki madaraka kama sikosei baada ya rais, na makamu wake?
Just my take.
However nakubaliana na hilo la chadema kutoa ulinzi.
Hilo nalo ni la kushangaza.Leo hii wanaituhumu na kuitukana selikali kwamba inahusika.,lkn utashangaa siku Lisu akipona wanaomba ulinzi toka selikalini.
......
Mkuu nimewahi kujifunza psychology ya kwenye Jamii ambapo imebebwa na mob psychology.CHADEMA wanashangaza sana.
Wana mentality ya utegemezi.
Utegemezi wa serikali ya CCM.
Sijui wataamka lini tu!!
Si lazima kuanzisha thread
Hapa tunazungumzia emergency preparedness , contingencies etc achilia mbali uwepo wa chombo chenye jukumu LA ulinzi kikatiba, polisi. Hats kama wangekuwa hawatumiki kisiasa bado upinzani unatakiwa kuwa consciously alarted muda wote
Wanabaki wanajibaraguza na kujifaragua, kama kawaida yao. Hawataki kukubali makosa yao. Ngoja wamalizike mmoja baada ya mwingine ndio wataamka.Dr.Slaa aliacha ombwe kubwa la uongozi CHADEMA haijafankiwa kuliziba ipasavyo ukweli huu hawataki kuukubali ili kurekebisha makosa waliyoyafanya.
CHADEMA wanashangaza sana.
Wana mentality ya utegemezi.
Utegemezi wa serikali ya CCM.
Sijui wataamka lini tu!!