Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,596
Yeah, No strikes now. How did you fix that?I think I fixed it.
Check and see...
Yeah, No strikes now. How did you fix that?I think I fixed it.
Check and see...
Yeah, No strikes now. How did you fix that?
Nyie CHADEMA sikilizeni....amkeni sasa.
Anzeni kuwa mnafikiria kwa hatua kadhaa mbele.
Hatua zenye manufaa kwa mustakabali wa chama chenu na viongozi wenu.
Hivi nyie mna idara ya usalama kweli? Kama mnayo, iweje suala la ulinzi kwa Tundu Lissu mlikuwa hamjaona umuhimu wake?
Kwa nini Lissu hakuwa na ulinzi imara wa watu wenye silaha za moto?
Kwa kweli hapo mmeudondosha mpira. Na kama mna watu wanaohusika na usalama ndani ya chama chenu basi hamna budi kufanya maamuzi magumu na kuwatimulia mbali.
Haiwezekani kiongozi mkubwa kwenye chama kama Lissu asiwe na usalama wa kueleweka.
Sijui mlikuwa mnaitegemea serikali kwenye hilo!
Kiongozi wa juu tena mwenye mbwembwe na cheche kama Lissu kutembea tembea bila ulinzi wa maana ni upumbavu.
Ni upumbavu kwa sababu tayari yeye atakuwa ni mlengwa wa mashambulizi toka kwa wabaya wake. Anapotembea bila ulinzi anakuwa ni shabaha iliyo rahisi sana kuilenga.
Haiingii akilini kwa nini hadi siku ya lile tukio mlikuwa hamjampatia ulinzi huyo mwanasheria wenu mkuu.
Shame on you.
Tundu Lisu anajiamini sana kwa sababu anamiliki kijibastola fulani hivi cha kichina
mmmnh
inamaana viongozi wote/wabunge wote walindwe???
si wapo bungeni,wenye itikadi tofauti,
Mtu anayeongoza jimbo kwa ticket ya CCM,alindwe sababu katika jimbo lake,kuna walio na itikadi tofauti??ya ukawa kwa mfano
1. hana ulinzi wakati hata gwajima ana ulinzi!!
2.alifuatiliwa sana , idara yao ya intelijinsia ililala, au haipo
3. hawana hela za dharura yanapotokea majanga, michango ndio inatembezwa
zikoje mkuu, naweza kukutajia idadi ya watu saba tena wachungaji wenye ulinzi mkali nchi hii
kubali tu
..what if wakimjia na ma rpg?
..na sidhani kama wataruhusiwa kuwa na ulinzi wa aina hiyo.
..kwamba walitaka kumuua mchana kweupe, tena eneo la makazi ya viongozi, inaonyesha jinsi gani hao wauaji wanavyofanya ukatili wao kwa kujinafasi, na bila wasiwasi wowote.
Walinzi hupewa watu wenye roho zakikatili only like magufuli,bashite and nowdayz lipumba .........Aisee nadhani waikuwa wakimpa ulinzi ila hawakutarajia kitu kama hiki, mwenyewe sikutarajia mbunge na mpinzani maarufu kuliko wote wa Magufuli kupigwa risasi kwenye akiwa kwenya makazi ya mawaziri
mmmnh
inamaana viongozi wote/wabunge wote walindwe???
si wapo bungeni,wenye itikadi tofauti,
Mtu anayeongoza jimbo kwa ticket ya CCM,alindwe sababu katika jimbo lake,kuna walio na itikadi tofauti??ya ukawa kwa mfano
Ivi polisi leo ni wa Ccm?ingekua hivo leo mahakama ya kenya ingetoa ule ukweli?tuakikishie kua polisi ni wa Ccm.Mbona na nyie hampambani na hali yenu na mnaitegemea polisi iwakamate walohusika?
Nyie wafuasi hamna akili kabisa.
Mnachojua na mnachoweza ni kuzungusha mikono tu.
Waambia hao watoe go ahead uone kama Scotland yard hawatui hapaMbona na nyie hampambani na hali yenu na mnaitegemea polisi iwakamate walohusika?
Nyie wafuasi hamna akili kabisa.
Mnachojua na mnachoweza ni kuzungusha mikono tu.
Nyani Ngabu,
..sidhani kama cdm wanaweza ku-dictate kwamba serikali iwapatie ulinzi.
..hawa watu hawawajibiki popote pale. Hata wakisema uongo au kukosea hakuna mahali wanawajibika.
..nikupe mfano mdogo. TL aliitisha press conf na kusema mambo makubwa mawili. Moja, polisi na usalama wa taifa wanamfuatilia. Mbili, ndege ya serikali imekamatwa Canada.
..Sasa msemaji wa serikali amejibu kuhusu ndege kukamatwa. Lakini igp anasema hana habari za TL kusema wapo watu wanamfuatilia.
..Kwa hiyo mpaka hapo utaona wako watu hawasemi ukweli na hakuna mtu wa kuwawajibisha.
NB.
..sijasema kwamba serikali inahusika. Lakini suala kwamba TL amenusurika kuuwawa ktk eneo ambalo linapaswa kuwa na wanausalama linapaswa kutolewa maelezo.
Acha kufikiri kischana zaidi unaambiwa wenye cheche ndio wa nahitaji ulinzi wengine hawana madhara.
Ngoja kwanza...
Hapo kuhusu IGP...nilivyomwelewa mimi ni kwamba Lissu hakutoa/ hakupeleka taarifa rasmi kwa jeshi kuwa kuna watu wanamfuatilia.
Hivyo ndivyo nilivyomwelewa IGP.
Lissu kusema alivyosema kwenye mkutano ule na waandishi wa habari kunaweza kuchukuliwa kuwa ni mojawapo ya porojo za kisiasa kwenye majukwaa ya kisiasa.
Lakini unapopeleka taarifa rasmi kwenye chombo kama polisi, suala zima linachukua sura tofauti kabisa.
Kwa hiyo si ajabu IGP alikuwa anamaanisha katika muktadha huo.
Swali ni je, Tundu Lissu alipeleka taarifa rasmi polisi au aliishia kusema vile kwenye ule mkutano tu?
..I agree.
..Swali langu ni, polisi walichukua hatua gani?
..Siamini kwamba taarifa kama ile inahitaji kuwa rasmi ili IGP aifuatilie.
..Na mawasiliano ya TL si yanadukuliwa. Na " mcha mungu" ndiye aliyetoa siri hiyo.
..Sasa inabidi yatolewe maelezo kama ktk udukuzi uliokuwa ukifanyika hawakuona mawasiliano ambayo TL alikuwa akilalamika kwamba kuna watu wanamfuata kila anapokwenda?
Ukimsikiliza IGP vizuri ni kama anatumia fursa ya kuripoti kukwepa ukweliNgoja kwanza...
Hapo kuhusu IGP...nilivyomwelewa mimi ni kwamba Lissu hakutoa/ hakupeleka taarifa rasmi kwa jeshi kuwa kuna watu wanamfuatilia.
Hivyo ndivyo nilivyomwelewa IGP.
Lissu kusema alivyosema kwenye mkutano ule na waandishi wa habari kunaweza kuchukuliwa kuwa ni mojawapo ya porojo za kisiasa kwenye majukwaa ya kisiasa.
Lakini unapopeleka taarifa rasmi kwenye chombo kama polisi, suala zima linachukua sura tofauti kabisa.
Kwa hiyo si ajabu IGP alikuwa anamaanisha katika muktadha huo.
Swali ni je, Tundu Lissu alipeleka taarifa rasmi polisi au aliishia kusema vile kwenye ule mkutano tu?