Hapa tunazungumzia emergency preparedness , contingencies etc achilia mbali uwepo wa chombo chenye jukumu LA ulinzi kikatiba, polisi. Hats kama wangekuwa hawatumiki kisiasa bado upinzani unatakiwa kuwa consciously alarted muda wote
Kwa nafasi ya TL, Hata kabla ya shambulizi alikua na ulinzi.
In short:- Ipo tofauti kubwa kati ya regular security versus security against arch enermy.
ikitokea unafahamu Adui anakuwinda, ndipo unagundua hata regular security ina mapungufu sana.
Maana adui anapokuja kwako anakua amesha assess ulinzi ulionao na sehemu gani wataachia mwanya ili akumalize.
Ndio maana:-
Unaweza nunua bastola ya kujilinda ukatembea nayo kama security. Lakini bado haufahamu adui atakuja muda gani na kwa style gani.
TL alitambua anafuatiliwa na gari nyeupe ya Polisi( which means Polisi walipaswa wamlinde uhai wake sio wamuue). Anaweza kua alijua wanamfuatilia ili wampate na Kosa.
Wakamzoesha hali hiyo mpaka muda anapigwa risasi. Hata kama ana bastola inaweza isimsaidie tena.
Omba uwe na Ulinzi lakini usiwe na adui.
Hapa Tanzania kuna Matajiri wengi wameuwawa si kwakua hawakua na walinzi bali walikua na maadui.
Mfano bilionea Erasto, Amran kombe, nk.
Sent using
Jamii Forums mobile app