Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,611
nyie chemkeni tu ili hawa wapate kuishi
View attachment 197551
Una utani na tyson?
nyie chemkeni tu ili hawa wapate kuishi
View attachment 197551
Nani asiejua CCM inatembelea koti la POLICCM..?
Kama huamini waambieni polisi wafanye ile kitu tunaita 'police service' muone kama mwaka utaisha...
Huna hojaToo late to catch the train!! unajaribu kufitinisha umeshindwa!! hayo majina hapo ni yako na tabia zako!!
Acha tabia ya kuingilia familia ya wassira wewe kwa kuwapa majina ya viongozi wa ukawanyie chemkeni tu ili hawa wapate kuishi
View attachment 197551
Ni ukweli uliowazi na usiopingika kuwa CHADEMA imeyumba kisiasa na imepoteza mvuto kwa wananchi katika kipindi cha miezi sita sasa. Mambo makubwa yaliyochangia kuchuja huko kwa chama hiki kwa uchache ni ifuatavyo.
1.Matukio ya kihalifu na umwagaji damu, mfano kumwagia watu tindikali kama ilivyokuwa kwa mussa tesha huko igunga ambapo akina henry kileo walitamkwa moja kwa moja.
2.Siasa za vurugu, vitisho, matusi na lugha za kuudhi. Hili lmeiathiri sana CHADEMA kwa sababu mtanzania kwa asili yake hapendi na hajazoea vurugu,anapenda amani na ushirikiano,sasa hawa jamaa ni washari washari mno. Watu wamengastukaa..
3.Kufanya vibaya "bad calculations and timing" kwenye mchakato wa katiba mpya. Katika hili ni kwamba, wangesusia baadhi ya vipengele au sura za katiba watz wangewaelewa sana kuwaunga mkono lakini hii ya kupinga katiba yote ndio limewapiga vibaya.
Walivyota bungeni baadae watz wa kada mbalimbali na makundi tofauti tofauti ktk jamii kuwashauri warudi bungeni wao wakagoma na kung'ang'ana halijawafurahisha watz. Wameonekana kuwa ni wabishi na hawashauriki. Madikteta in the making.
4. Kuungana kama kitu kimoja wakati kiuhalisia sio hivyo....kwamba mwanachama wa cuf si wa chadema wala wa NCCR Mageuzi si wa CUF and vise versa...sababu iliyomfanya kafulila ahamie nccr kutoka chadema baada ya kuitwa sisimizi haijawa solved...sasa leo hii wanaambiwa wakae meza moja..itatoka moyoni? Itafanya kazi?
5.madonda ya chadema kuwaita cuf mashoga, kuwaita nccr vibaraka wa ccm tena hadharani hayajaisha kwa wanachama wa kawaida. Pengine yamefubaa kwa viongozi.
so koti la ukawa litapwaya si mda, its time...tusubiri plan B

4

Another topic from moronNi ukweli uliowazi na usiopingika kuwa CHADEMA imeyumba kisiasa na imepoteza mvuto kwa wananchi katika kipindi cha miezi sita sasa. Mambo makubwa yaliyochangia kuchuja huko kwa chama hiki kwa uchache ni ifuatavyo.

police wanafanya kazi chin ya serikali iliyopo madarakan vile hata chadema, nccr, cuf, tlp, etc, wakiwa madarakan ccm nao wakiandamana watapgwa 2! ivyo hakuna chama chenye jesh ndugu yangu! usikalili unayoskia mtaan
Mkuu labda unisaidie utajikomboaje mwenyewe..? Mie hapa ni kinyozi nina saloon yangu.. Bahati mbaya umeme unakatika kila mara.. Imebidi nidundulize na kununua jenereta ili niendelee kutoa huduma.. Nimepandisha gharama kwa wateja ili niweze kufidia gharama ya ziada ilioongezeka ya mafuta.. Wateja wamenikimbia na sasa idadi imepungua sana kiasi inabidi nifunge ofic.. Hospital nimeenda kutibiwa gharama zimepanda na dawa ninaambiwa nikanunue maduka ya dawa binafsi kwa mapesa kibao.. Inabidi nirudi home na kusubiri miujiza ya kupona bila ya kupata dawa..
Sasa Mkuu unasema kumbe ninaweza kujikomboa mwenyewe.. nipe maelekezo.. kama ninaweza kuwa na hospitali yangu mwenyewe kwa kunitibu mie.. duka langu mwenyewe la dawa kwa ajili ya dawa zangu mwenyewe.. Hebu nipe hizo mbinu labda zitaweza kunifanya nisitamani serikali yeyote..
Nasubiri jibu Mkuu..
Hatutatumia ushauri wa fisi kuchukua mawazoChama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kimevaa koti la Ukawa.Chama hiki kimekuwa kikijipambanua kuwa Tanganyika imevaa koti la Muungano,lakini cha kushangaza nacho kimejivika koti la UKAWA.Kimekuwa kikitoa matamko mbalimbali yahusuyo UKAWA kana kwamba kiko peke yake wakati kipo ndani ya Muungano,Pia kimeanza kuambukiza jazba,chuki na kukurupuka kwa vyama vinavyounda umoja huo.
ANGALIZO;
Viongozi wa Chadema wanapaswa kujitafakari,vinginevyo watapelekea kuvunjika kwa umoja huu.