sijaona cha maana ndani ya ukawa zaidi ya kelele zinazopigwa na hao wanaukawa.
Ni ukweli uliowazi na usiopingika kuwa CHADEMA imeyumba kisiasa na imepoteza mvuto kwa wananchi katika kipindi cha miezi sita sasa. Mambo makubwa yaliyochangia kuchuja huko kwa chama hiki kwa uchache ni ifuatavyo.
1.Matukio ya kihalifu na umwagaji damu, mfano kumwagia watu tindikali kama ilivyokuwa kwa mussa tesha huko igunga ambapo akina henry kileo walitakwa moja kwa moja.
2.Siasa za vurugu, vitisho, matusi na lugha za kuudhi. Hili lmeiathiri sana CHADEMA kwa sababu mtanzania kwa asili yake hapendi na hajazoea vurugu,anapenda amani na ushirikiano,sasa hawa jamaa ni washari washari mno. Watu wamengastukaa..
3.Kufanya vibaya "bad calculations and timing" kwenye mchakato wa katiba mpya. Katika hili ni kwamba, wangesusia baadhi ya vipengele au sura za katiba watz wangewaelewa sana kuwaunga mkono lakini hii ya kupinga katiba yote ndio limewapiga vibaya.
Walivyota bungeni baadae watz wa kada mbalimbali na makundi tofauti tofauti ktk jamii kuwashauri warudi bungeni wao wakagoma na kung'ang'ana halijawafurahisha watz. Wameonekana kuwa ni wabishi na hawashauriki. Madikteta in the making.
4. Kuungana kama kitu kimoja wakati kiuhalisia sio hivyo....kwamba mwanachama wa cuf si wa chadema wala wa NCCR Mageuzi si wa CUF and vise versa...sababu iliyomfanya kafulila ahamie nccr kutoka chadema baada ya kuitwa sisimizi haijawa solved...sasa leo hii wanaambiwa wakae meza moja..itatoka moyoni? Itafanya kazi?
5.madonda ya chadema kuwaita cuf mashoga, kuwaita nccr vibaraka wa ccm tena hadharani hayajaisha kwa wanachama wa kawaida. Pengine yamefubaa kwa viongozi.
so koti la ukawa litapwaya si mda, its time...tusubiri plan B
Viongozi wengi wa Chadema ni wahalifu, bila huruma ya ccm wangekuwa jela sasa hivi. mfano. Henry Kilewo, Lwakatare,Lema, Deus Mallya, Ben Saanane, Sugu, Wenje. Mbowe.
Posts za Ifweero, Msalani, Simiyu yetu, Lizaboni na wenzao, humu ndani ya JF zimekosa utashi wa kijamii. Zimekuwa za kitoto mno, kwani wanalazimisha kupost items lkn hazina content, za kitoto na kipuuzi mno. Wangekuwa na akili za kujitambua kweli wangejirudi na kubuni njia nyengine ya kujitafuatia kipato halali, kuliko kushinda humu kny mitandao kwa ujira wa shs elfu saba
Hakuna chama hapo, ni genge la wasakatonge hao..wabaguzi wakubwawewe ni mpumbavu sijui unafikiria kwa kutumia makalio?watu wanateseka wewe unaponda chama cha ukombozi ukiwepo na wewe mwenyewe.ccm wanakupa nini?
Sijaona ndani ya sisiem wanalofanya zaidi ya kuiba pesa za wazee vijijini eti maabara,madini, wanyama
Kweli kabisa, bila Ukawa Chadema ingeshafutika kwenye ulingo wa siasa
Ni ukweli uliowazi na usiopingika kuwa CHADEMA imeyumba kisiasa na imepoteza mvuto kwa wananchi katika kipindi cha miezi sita sasa. Mambo makubwa yaliyochangia kuchuja huko kwa chama hiki kwa uchache ni ifuatavyo.
1.Matukio ya kihalifu na umwagaji damu, mfano kumwagia watu tindikali kama ilivyokuwa kwa mussa tesha huko igunga ambapo akina henry kileo walitakwa moja kwa moja.
2.Siasa za vurugu, vitisho, matusi na lugha za kuudhi. Hili lmeiathiri sana CHADEMA kwa sababu mtanzania kwa asili yake hapendi na hajazoea vurugu,anapenda amani na ushirikiano,sasa hawa jamaa ni washari washari mno. Watu wamengastukaa..
3.Kufanya vibaya "bad calculations and timing" kwenye mchakato wa katiba mpya. Katika hili ni kwamba, wangesusia baadhi ya vipengele au sura za katiba watz wangewaelewa sana kuwaunga mkono lakini hii ya kupinga katiba yote ndio limewapiga vibaya.
Walivyota bungeni baadae watz wa kada mbalimbali na makundi tofauti tofauti ktk jamii kuwashauri warudi bungeni wao wakagoma na kung'ang'ana halijawafurahisha watz. Wameonekana kuwa ni wabishi na hawashauriki. Madikteta in the making.
4. Kuungana kama kitu kimoja wakati kiuhalisia sio hivyo....kwamba mwanachama wa cuf si wa chadema wala wa NCCR Mageuzi si wa CUF and vise versa...sababu iliyomfanya kafulila ahamie nccr kutoka chadema baada ya kuitwa sisimizi haijawa solved...sasa leo hii wanaambiwa wakae meza moja..itatoka moyoni? Itafanya kazi?
5.madonda ya chadema kuwaita cuf mashoga, kuwaita nccr vibaraka wa ccm tena hadharani hayajaisha kwa wanachama wa kawaida. Pengine yamefubaa kwa viongozi.
so koti la ukawa litapwaya si mda, its time...tusubiri plan B
Huruma yenu ni ya kipumbavu ndiyo sababu nchi imejaa viongozi majizi sababu ya huruma. Watu wanaiba wanavyotaka sababu ya Huruma ya kipuuzi. Na wewe ulivyo hazikutoshi unashabikia huruma.Viongozi wengi wa Chadema ni wahalifu, bila huruma ya ccm wangekuwa jela sasa hivi. mfano. Henry Kilewo, Lwakatare,Lema, Deus Mallya, Ben Saanane, Sugu, Wenje. Mbowe.
1.wewe ni very junior member huna moral authority ku chalenge michango yangu humu.Posts za Ifweero, Msalani, Simiyu yetu, Lizaboni na wenzao, humu ndani ya JF zimekosa utashi wa kijamii. Zimekuwa za kitoto mno, kwani wanalazimisha kupost items lkn hazina content, za kitoto na kipuuzi mno. Wangekuwa na akili za kujitambua kweli wangejirudi na kubuni njia nyengine ya kujitafuatia kipato halali, kuliko kushinda humu kny mitandao kwa ujira wa shs elfu saba
Huna jipya.....nachunguza uwezo wako wa IQ
Eeehh kumbe iringa, weka na za wagogo basi kama wee mjanjaKweli eeh! Chadema haifi kwa maneno ya ya humu mtandaoni na matamko ya akian Wassira na Lukuvi. Go go go Chadema Iringa
Kweli eeh! Chadema haifi kwa maneno ya ya humu mtandaoni na matamko ya akian Wassira na Lukuvi. Go go go Chadema Iringa
Aknowledge mwaka wa hii picha..kumbuka mada inasema chadema imechuja kwa miezi sita sasa...hii picha ni ya mwaka juziHivi Chama kilichopoteza mvuto kwa wananchi ndo kinakuwa hivi? Haya matukio hatajazidi wiki mbili zilizopita. Acheni kuweweseka Chadema ni hai kuliko muda wowote kwenye historia yake.
haya endelea kumtukana WASIRA,hujui ana umri zaidi ya mzee wako?nyie chemkeni tu ili hawa wapate kuishi
View attachment 197551