Nyie hamuelewi hamskii ila syo kosa lenu hayo yte ni madhara ya kukimbiza mwenge, mpaka mmeathiriwa ubongo na ufahamu wenu.Dhambi iliyofanywa na UKAWA ya kuwatupa nje wagombea urais wa ukweli, kama jinsi mfumo ulivyokuwa umetengenezwa.
Kwamba Dr. Slaa angebeba mikoba ya ukawa itaendelea kuitafuna ukawa miaka nenda rudi.
Kama tumeshindwa kuisimamia mifumo yetu wenyewe tena midogo tu ya ndani, tutawezaje kusimamia mifumo ya nchi. Ni uendawazimu tuu.
Acheni kudanganya wananchi.
Watu wote waliopo nyuma ya mifumo ya kifisadi iliyopokelewa kutoka CCM wako midomo wazi wanasubiri Lowasa kama akiingia ikulu waanze kupiga hela. Wakiongozwa na DJ wetu Mbowe. Ni hatari sana kwa nchi.
Ndio maana salama yetu itakuwa baada ya uchaguzi tutaifumua yote na kuunda upya. Hapo ndipo anguko la CHADEMA Mafisadi litakapotokea ma kuibuka CHADEMA asilia chini ya uongozi makini
sijaona cha maana ndani ya ukawa zaidi ya kelele zinazopigwa na hao wanaukawa.
Kweli kabisa, bila Ukawa Chadema ingeshafutika kwenye ulingo wa siasa
Viongozi wengi wa Chadema ni wahalifu, bila huruma ya ccm wangekuwa jela sasa hivi. mfano. Henry Kilewo, Lwakatare,Lema, Deus Mallya, Ben Saanane, Sugu, Wenje. Mbowe.