CHADEMA inatumia koti la UKAWA kujikongoja kisiasa

Aaaaahaa gud analysis well said nitafute mkuu nikupe zawadi kwa uchambuzi wenye mashiko CHADEMA IS DEAD ALREADY MUDA SN
 
Ukawa kumbe inawauma eeh?! Basi ndo itaendelea kuwauma hadi mhame nchi. Mwaka huu hadi mtazitema hizo buku saba za Lumumba.
Ova
 
Unaongelea ccm inayosomba watu kwa malori kama mifugo? Tuliopo field tunajua ccm ilivyochoka,imepoteza ushawishi kwa watz,inatumia rushwa kuwarubuni watu na nk.tuliopo mwanza tulishuhudia malori kutoka bariadi,magu,bunda,misungwi,sengerema na geita ili tu kujaza watu kwenye mkutano wa mwigulu! Ni aibu kwenu,jifunzeni kwa cdm ambapo wananchi wenyewe huhudhuria kwa gharama zao na hukichangia chama chao kwa mapenzi yao tena wakiwa ni watu wa kipato cha chini,wakati ccm huwatisha na kuwalazimisha wafanyabiashara tena wasio waaminifu kuichangia kwa ahadi ya kuwasamehe kodi na upendeleo mwingine.RIP CCM NA MAFISADI WAKE
Hapa ndipo tulipofikishwa na magamba
 
wewe ni mpumbavu sijui unafikiria kwa kutumia makalio?watu wanateseka wewe unaponda chama cha ukombozi ukiwepo na wewe mwenyewe.ccm wanakupa nini?
watu wenye tamaa ya madaraka hawawezi kuleta ukombozi, ruzku ya mil 200 watu wamebadili katiba wawe viongozi wa chama milele vipi ukiwapa nchi yenye bajeti ya trilioni 19?
 
huku ni kuishiwa hoja CHADEMA ni mti wenye matunda mema ndo maana unapigwa mawe sana ss hatujali tunazidi kusonga mbele hatuna muda wa kushindana na wapuuzi wa ccm
 
Watu kama Ifweero ni kuwatelekeza kama fore s.k.i.n maana hata kwenye mgao wa escrow sidhani kama aliwahi kuona vumbi la ile minoti. Sana buku 7 za lumumba zimempagawisha. tumuombee na tumhurumie

Mkuu,hawa jamaa ni wa kuhurumia tu kwani hawajielewi! Umaskini umewatafuna kiasi kwamba bila kuimba mapambio ya lumumba hawawezi kuishi,tuwahurumieni na kuwaombea kwa mola awajaalie waitue mizigo ya dhambi wanayoibeba bila kujua.wamegeuka watetezi wa majizi na wauza unga ili tu wasife njaa.
 
Mbona mnakuwa waoga na kukosa usingizi juu ya chama ambacho mnaamini kimeishiwa mvuto kwa watanzania (CHADEMA),kwa nini ati? Sioni sababu za kushinda humu jf kujadili maswala ya chama ambacho hakina athari kwenu. Nashauri fanyeni mambo yenu, CHADEMA yetu mtuachie wenye nayo hata kama kimeishiwa mvuto sisi wenye nacho tunakipenda.
 
Koti la ukawa litaanza kupwaya hivi soon
 
Ni ukweli uliowazi na usiopingika kuwa CHADEMA imeyumba kisiasa na imepoteza mvuto kwa wananchi katika kipindi cha miezi sita sasa. Mambo makubwa yaliyochangia kuchuja huko kwa chama hiki kwa uchache ni ifuatavyo.

1.Matukio ya kihalifu na umwagaji damu, mfano kumwagia watu tindikali kama ilivyokuwa kwa mussa tesha huko igunga ambapo akina henry kileo walitakwa moja kwa moja.

2.Siasa za vurugu, vitisho, matusi na lugha za kuudhi. Hili lmeiathiri sana CHADEMA kwa sababu mtanzania kwa asili yake hapendi na hajazoea vurugu,anapenda amani na ushirikiano,sasa hawa jamaa ni washari washari mno. Watu wamengastukaa..

3.Kufanya vibaya "bad calculations and timing" kwenye mchakato wa katiba mpya. Katika hili ni kwamba, wangesusia baadhi ya vipengele au sura za katiba watz wangewaelewa sana kuwaunga mkono lakini hii ya kupinga katiba yote ndio limewapiga vibaya.

Walivyota bungeni baadae watz wa kada mbalimbali na makundi tofauti tofauti ktk jamii kuwashauri warudi bungeni wao wakagoma na kung'ang'ana halijawafurahisha watz. Wameonekana kuwa ni wabishi na hawashauriki. Madikteta in the making.

4. Kuungana kama kitu kimoja wakati kiuhalisia sio hivyo....kwamba mwanachama wa cuf si wa chadema wala wa NCCR Mageuzi si wa CUF and vise versa...sababu iliyomfanya kafulila ahamie nccr kutoka chadema baada ya kuitwa sisimizi haijawa solved...sasa leo hii wanaambiwa wakae meza moja..itatoka moyoni? Itafanya kazi?

5.madonda ya chadema kuwaita cuf mashoga, kuwaita nccr vibaraka wa ccm tena hadharani hayajaisha kwa wanachama wa kawaida. Pengine yamefubaa kwa viongozi.

so koti la ukawa litapwaya si mda, its time...tusubiri plan B
Hivi we kiumbe usiye na haya hujui kuwa TANU iitumia koti la ccm kujikongoja? Uwe unajua kufikiri itakusaidia
 
Viongozi wengi wa Chadema ni wahalifu, bila huruma ya ccm wangekuwa jela sasa hivi. mfano. Henry Kilewo, Lwakatare,Lema, Deus Mallya, Ben Saanane, Sugu, Wenje. Mbowe.

hawa uliowataja yaelekea kuwa ni waadilifu hakuna mfano. mazimwi ya ccm yasingewaacha huru kama wangekuwa na ka dalili ka uhalifu, wangeshasahaulika uraiani. ukiona hivyo imeshindikana kicheria kuwabana, hasa kwa kusingizia
 
Hivi we kiumbe usiye na haya hujui kuwa TANU iitumia koti la ccm kujikongoja? Uwe unajua kufikiri itakusaidia
Cuf ni mashoga sio mashoga? Nccr ni vibaraka wa ccm au sio vibaraka???
 
hawa uliowataja yaelekea kuwa ni waadilifu hakuna mfano. mazimwi ya ccm yasingewaacha huru kama wangekuwa na ka dalili ka uhalifu, wangeshasahaulika uraiani. ukiona hivyo imeshindikana kicheria kuwabana, hasa kwa kusingizia
Cuf ni mashoga au sio mashoga?? Kwann chadema imeungana na nccr vibaraka wa ccm?
 
Ni ukweli uliowazi na usiopingika kuwa CHADEMA imeyumba kisiasa na imepoteza mvuto kwa wananchi katika kipindi cha miezi sita sasa. Mambo makubwa yaliyochangia kuchuja huko kwa chama hiki kwa uchache ni ifuatavyo.

1.Matukio ya kihalifu na umwagaji damu, mfano kumwagia watu tindikali kama ilivyokuwa kwa mussa tesha huko igunga ambapo akina henry kileo walitakwa moja kwa moja.

2.Siasa za vurugu, vitisho, matusi na lugha za kuudhi. Hili lmeiathiri sana CHADEMA kwa sababu mtanzania kwa asili yake hapendi na hajazoea vurugu,anapenda amani na ushirikiano,sasa hawa jamaa ni washari washari mno. Watu wamengastukaa..

3.Kufanya vibaya "bad calculations and timing" kwenye mchakato wa katiba mpya. Katika hili ni kwamba, wangesusia baadhi ya vipengele au sura za katiba watz wangewaelewa sana kuwaunga mkono lakini hii ya kupinga katiba yote ndio limewapiga vibaya.

Walivyota bungeni baadae watz wa kada mbalimbali na makundi tofauti tofauti ktk jamii kuwashauri warudi bungeni wao wakagoma na kung'ang'ana halijawafurahisha watz. Wameonekana kuwa ni wabishi na hawashauriki. Madikteta in the making.

4. Kuungana kama kitu kimoja wakati kiuhalisia sio hivyo....kwamba mwanachama wa cuf si wa chadema wala wa NCCR Mageuzi si wa CUF and vise versa...sababu iliyomfanya kafulila ahamie nccr kutoka chadema baada ya kuitwa sisimizi haijawa solved...sasa leo hii wanaambiwa wakae meza moja..itatoka moyoni? Itafanya kazi?

5.madonda ya chadema kuwaita cuf mashoga, kuwaita nccr vibaraka wa ccm tena hadharani hayajaisha kwa wanachama wa kawaida. Pengine yamefubaa kwa viongozi.

so koti la ukawa litapwaya si mda, its time...tusubiri plan B
Hata Fisi hutamani mkono unaorushwa kikakamavu udondoke mapema!!
Una shida gani na CDM? Juzi tumekamata polisi wakiwa ndani ya mavazi ya CDM ili kuanzisha vurugu na kuchafua CDM!! Hivi huwezi hata sekunde kuketi kitako na kutafakari kuwa shida iko wapi? SSSSHAAAAME!!
 
Nani asiejua CCM inatembelea koti la POLICCM..?

Kama huamini waambieni polisi wafanye ile kitu tunaita 'police service' muone kama mwaka utaisha...
 
Ni ukweli uliowazi na usiopingika kuwa CHADEMA imeyumba kisiasa na imepoteza mvuto kwa wananchi katika kipindi cha miezi sita sasa. Mambo makubwa yaliyochangia kuchuja huko kwa chama hiki kwa uchache ni ifuatavyo.

1.Matukio ya kihalifu na umwagaji damu, mfano kumwagia watu tindikali kama ilivyokuwa kwa mussa tesha huko igunga ambapo akina henry kileo walitakwa moja kwa moja.

2.Siasa za vurugu, vitisho, matusi na lugha za kuudhi. Hili lmeiathiri sana CHADEMA kwa sababu mtanzania kwa asili yake hapendi na hajazoea vurugu,anapenda amani na ushirikiano,sasa hawa jamaa ni washari washari mno. Watu wamengastukaa..

3.Kufanya vibaya "bad calculations and timing" kwenye mchakato wa katiba mpya. Katika hili ni kwamba, wangesusia baadhi ya vipengele au sura za katiba watz wangewaelewa sana kuwaunga mkono lakini hii ya kupinga katiba yote ndio limewapiga vibaya.

Walivyota bungeni baadae watz wa kada mbalimbali na makundi tofauti tofauti ktk jamii kuwashauri warudi bungeni wao wakagoma na kung'ang'ana halijawafurahisha watz. Wameonekana kuwa ni wabishi na hawashauriki. Madikteta in the making.

4. Kuungana kama kitu kimoja wakati kiuhalisia sio hivyo....kwamba mwanachama wa cuf si wa chadema wala wa NCCR Mageuzi si wa CUF and vise versa...sababu iliyomfanya kafulila ahamie nccr kutoka chadema baada ya kuitwa sisimizi haijawa solved...sasa leo hii wanaambiwa wakae meza moja..itatoka moyoni? Itafanya kazi?

5.madonda ya chadema kuwaita cuf mashoga, kuwaita nccr vibaraka wa ccm tena hadharani hayajaisha kwa wanachama wa kawaida. Pengine yamefubaa kwa viongozi.

so koti la ukawa litapwaya si mda, its time...tusubiri plan B

Hahahahahahahaha!!!!!ifweeeeeero,umeishiwa,ila siku ni yaleyale,Mara tidikali Mara vurugu,huku yote yakijulikana kwa kila mtanzania kuwa ni propaganda za ccm,vurugu mfanye nyie,msingizie wengine,kweli IQ yako ni ndogo sanaaaaaa.
 
Back
Top Bottom