Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kimevaa koti la Ukawa.Chama hiki kimekuwa kikijipambanua kuwa Tanganyika imevaa koti la Muungano,lakini cha kushangaza nacho kimejivika koti la UKAWA.Kimekuwa kikitoa matamko mbalimbali yahusuyo UKAWA kana kwamba kiko peke yake wakati kipo ndani ya Muungano,Pia kimeanza kuambukiza jazba,chuki na kukurupuka kwa vyama vinavyounda umoja huo.
ANGALIZO;
Viongozi wa Chadema wanapaswa kujitafakari,vinginevyo watapelekea kuvunjika kwa umoja huu.
Kwa hiyo NCCR na NLD hawana koti wanalovaa?CHADEMA IMEWEKEZA SAN BARA NA MATOKEO YA SERIKALI A MITAA YAMEONYESHA HILO AMA VILE CUF KWA ZANZIBAR AMBAPO UNAWEZA PIA KUSEMA kuwa CUF ZANZIBAR IMEVAA KOTI UKAWA
Content ya hii mada ni void ab initio kama jina la mwandishi husika.
sio valid ab initio.
Chadema kinaongoza Tanzania kwa wanachama wake kuhama tangu uhuru. Waliobaki kwenye chama hicho wajipime.
Udini, ukabila, ukanda, ndiyo itikadi ya chadema