CHADEMA inatumia koti la UKAWA kujikongoja kisiasa

CHADEMA inatumia koti la UKAWA kujikongoja kisiasa

kwahiyo mnataka muendelee kumwagia watu tindikali halafu msisemwe kwani nyie akina nani msiosemwa hata mkifanya uharifu.

Kwa hiyo policcm wameshindwa kazi au? Na mahakama zilizopo zinaongozwa na cdm ndio maana zimeshindwa kuwatia hatiani? Ccm ilishachokwa na watz ndio maana single zote zinachuja mapema! Tesha mlimtumia Arusha kama kinyago na matokeo yake mkapuuzwa na kupigwa 5:0, kumbukeni kuwa bila cdm hata hizo buku 7 msingekuwa mnalipwa!
 
ifweero CDM ikiyumba si ni furaha kwako sasa unawashwa nini??
Kibaraka wa MaCCM mkubwa, CDM inapeta utaendelea ugonjwa wa preasure!!
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    25.2 KB · Views: 61
You are a Disgrace! Hizi ni Ziara za Bawacha za Mdee kanda ya ziwa na Mkutano wa Dr. Slaa Iringa 2-3 weeks a go. Ndio maana huwa mnatukanwa mitandaoni mna wasababishia watu Ban. Hiyo pia ni picha ya miezi sita iliyopita maana Salum Mwalimu kaanza kuitumikia Chadema takribani 2 Months a go.
Tupe na picha za ugogoni wee kibaraka
 
Watu wengi wanamapenzi na ccm kwa kiasi kikubwa sana.

Unaongelea ccm inayosomba watu kwa malori kama mifugo? Tuliopo field tunajua ccm ilivyochoka,imepoteza ushawishi kwa watz,inatumia rushwa kuwarubuni watu na nk.tuliopo mwanza tulishuhudia malori kutoka bariadi,magu,bunda,misungwi,sengerema na geita ili tu kujaza watu kwenye mkutano wa mwigulu! Ni aibu kwenu,jifunzeni kwa cdm ambapo wananchi wenyewe huhudhuria kwa gharama zao na hukichangia chama chao kwa mapenzi yao tena wakiwa ni watu wa kipato cha chini,wakati ccm huwatisha na kuwalazimisha wafanyabiashara tena wasio waaminifu kuichangia kwa ahadi ya kuwasamehe kodi na upendeleo mwingine.RIP CCM NA MAFISADI WAKE
 
You are a Disgrace! Hizi ni Ziara za Bawacha za Mdee kanda ya ziwa na Mkutano wa Dr. Slaa Iringa 2-3 weeks a go. Ndio maana huwa mnatukanwa mitandaoni mna wasababishia watu Ban. Hiyo pia ni picha ya miezi sita iliyopita maana Salum Mwalimu kaanza kuitumikia Chadema takribani 2 Months a go.
He heee watch out men
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    34.4 KB · Views: 83
  • image.jpg
    image.jpg
    6.7 KB · Views: 156
huko musoma wanchi wanalala polini kisa maabala huku presdar nakula kuku kwa wachina ccm ili washike adabu 15 ni kuwatupa dampo wamezidi kunyanyasa wananchi
 
Ni ukweli uliowazi na usiopingika kuwa CHADEMA imeyumba kisiasa na imepoteza mvuto kwa wananchi katika kipindi cha miezi sita sasa. Mambo makubwa yaliyochangia kuchuja huko kwa chama hiki kwa uchache ni ifuatavyo.

1.Matukio ya kihalifu na umwagaji damu, mfano kumwagia watu tindikali kama ilivyokuwa kwa mussa tesha huko igunga ambapo akina henry kileo walitakwa moja kwa moja.

2.Siasa za vurugu, vitisho, matusi na lugha za kuudhi. Hili lmeiathiri sana CHADEMA kwa sababu mtanzania kwa asili yake hapendi na hajazoea vurugu,anapenda amani na ushirikiano,sasa hawa jamaa ni washari washari mno. Watu wamengastukaa..

3.Kufanya vibaya "bad calculations and timing" kwenye mchakato wa katiba mpya. Katika hili ni kwamba, wangesusia baadhi ya vipengele au sura za katiba watz wangewaelewa sana kuwaunga mkono lakini hii ya kupinga katiba yote ndio limewapiga vibaya.

Walivyota bungeni baadae watz wa kada mbalimbali na makundi tofauti tofauti ktk jamii kuwashauri warudi bungeni wao wakagoma na kung'ang'ana halijawafurahisha watz. Wameonekana kuwa ni wabishi na hawashauriki. Madikteta in the making.

4. Kuungana kama kitu kimoja wakati kiuhalisia sio hivyo....kwamba mwanachama wa cuf si wa chadema wala wa NCCR Mageuzi si wa CUF and vise versa...sababu iliyomfanya kafulila ahamie nccr kutoka chadema baada ya kuitwa sisimizi haijawa solved...sasa leo hii wanaambiwa wakae meza moja..itatoka moyoni? Itafanya kazi?

5.madonda ya chadema kuwaita cuf mashoga, kuwaita nccr vibaraka wa ccm tena hadharani hayajaisha kwa wanachama wa kawaida. Pengine yamefubaa kwa viongozi.

so koti la ukawa litapwaya si mda, its time...tusubiri plan B

Tehe he he....., Mkuu Polen sana kw kubanwa na UKAWA Kihoja ktk kuelekea ukombozi halisi wa mwananchi..,
 
thatha mulla ukisikia sauti CHADEMA unaumwa na tumbo!!
Tunakamata ukanda woote wa pwani sijui utafanyaje sasa??
 
Last edited by a moderator:
Hakuna chama chochote kinacho weza kumkomboa mtanzania kwenye dimbwi la umasikini, mtu anae weza kuikomboa Tanzania na mtanzania mwenyewe ni MTANZANIA MWENYEWE msitake kutumia umasikini wetu kutimiza malengo yenu.

Your the one to make changes in Tanzania, make one, I am making it where I am.

Mkuu labda unisaidie utajikomboaje mwenyewe..? Mie hapa ni kinyozi nina saloon yangu.. Bahati mbaya umeme unakatika kila mara.. Imebidi nidundulize na kununua jenereta ili niendelee kutoa huduma.. Nimepandisha gharama kwa wateja ili niweze kufidia gharama ya ziada ilioongezeka ya mafuta.. Wateja wamenikimbia na sasa idadi imepungua sana kiasi inabidi nifunge ofic.. Hospital nimeenda kutibiwa gharama zimepanda na dawa ninaambiwa nikanunue maduka ya dawa binafsi kwa mapesa kibao.. Inabidi nirudi home na kusubiri miujiza ya kupona bila ya kupata dawa..
Sasa Mkuu unasema kumbe ninaweza kujikomboa mwenyewe.. nipe maelekezo.. kama ninaweza kuwa na hospitali yangu mwenyewe kwa kunitibu mie.. duka langu mwenyewe la dawa kwa ajili ya dawa zangu mwenyewe.. Hebu nipe hizo mbinu labda zitaweza kunifanya nisitamani serikali yeyote..
Nasubiri jibu Mkuu..
 
Watu kama Ifweero ni kuwatelekeza kama fore s.k.i.n maana hata kwenye mgao wa escrow sidhani kama aliwahi kuona vumbi la ile minoti. Sana buku 7 za lumumba zimempagawisha. tumuombee na tumhurumie
 
Back
Top Bottom