Ni ukweli uliowazi na usiopingika kuwa CHADEMA imeyumba kisiasa na imepoteza mvuto kwa wananchi katika kipindi cha miezi sita sasa. Mambo makubwa yaliyochangia kuchuja huko kwa chama hiki kwa uchache ni ifuatavyo.
1.Matukio ya kihalifu na umwagaji damu, mfano kumwagia watu tindikali kama ilivyokuwa kwa mussa tesha huko igunga ambapo akina henry kileo walitakwa moja kwa moja.
2.Siasa za vurugu, vitisho, matusi na lugha za kuudhi. Hili lmeiathiri sana CHADEMA kwa sababu mtanzania kwa asili yake hapendi na hajazoea vurugu,anapenda amani na ushirikiano,sasa hawa jamaa ni washari washari mno. Watu wamengastukaa..
3.Kufanya vibaya "bad calculations and timing" kwenye mchakato wa katiba mpya. Katika hili ni kwamba, wangesusia baadhi ya vipengele au sura za katiba watz wangewaelewa sana kuwaunga mkono lakini hii ya kupinga katiba yote ndio limewapiga vibaya.
Walivyota bungeni baadae watz wa kada mbalimbali na makundi tofauti tofauti ktk jamii kuwashauri warudi bungeni wao wakagoma na kung'ang'ana halijawafurahisha watz. Wameonekana kuwa ni wabishi na hawashauriki. Madikteta in the making.
4. Kuungana kama kitu kimoja wakati kiuhalisia sio hivyo....kwamba mwanachama wa cuf si wa chadema wala wa NCCR Mageuzi si wa CUF and vise versa...sababu iliyomfanya kafulila ahamie nccr kutoka chadema baada ya kuitwa sisimizi haijawa solved...sasa leo hii wanaambiwa wakae meza moja..itatoka moyoni? Itafanya kazi?
5.madonda ya chadema kuwaita cuf mashoga, kuwaita nccr vibaraka wa ccm tena hadharani hayajaisha kwa wanachama wa kawaida. Pengine yamefubaa kwa viongozi.
so koti la ukawa litapwaya si mda, its time...tusubiri plan B