CHADEMA inatumia koti la UKAWA kujikongoja kisiasa

Mkandara umeandika makala ndeeeefu lakini ulichojadili ni hisia zako za mapenzi yako kwa Zitto na ACT yake lakini hakuna uhalisia wowote. Kimsingi hakuna hoja ya kujadili hapa pengine watu waamue kupiga soga tu.
 
Last edited by a moderator:
Da! inasikitisha sana kweli Tanzania tuna umbali mrefu wa kwenda hadi tupate mabadiliko! Huvu wewe Mkandara badala ya kuchochea nguvu ya mabadiliko na kuwapa nguvu walioungana unawakatisha tamaa? Unasema kabisa eti mfuasi wa CUF hawezi kuipigia kura chadema na vice versa? Ni vigezo gani umetumia kusema hivi? Je unajua wakati wa kampeni hawa viongozi watakuwa wanawaambia nini wafuasi wao? Yaani kama wewe ni mwanamageuzi kweli tungetegemea usaidie kuwaconfuse CCM hata kwa kusema kwamba UKAWA itawasambaratisha! Lakini kinyume chake wewe unachochea mambo ya udini! We ni mpenzi kweli wa mabadiliko? Yote unayosema hapa yanaisadia CCM na wala haisaidii ukawa kwa vyovyote! Unazungumzia kilichotokea uchaguzi uliopita ambapo kila chama kilienda kivyake! Na ni kweli kwamba baadhi ya wanaCUF waliipigia kura CCM ili kumwokoa "Kikwete." Sasa wewe umechukulia kwamba ndivyo itakavyokuwa mwaka huu>

Kwanza ujue kwamba CCM watasimamisha mkristo mwaka huu kwa hiyo sentiments za waislam kuhimizwa kumsaidia mwenzao hazitakuwepo. Pili Vyama hivi vimeungana kusimamisha mgombea mmoja kwa maana kuwa hawatapingana wao kwa wao. mwaka 2010 haikuwa hivi.

Hiv unajua siri ya ushindi mkubwa kwenye serikali za mitaa ilkuwa ushirikiano? Mbona najua wislamu wengi waliopigia kura wakristo na vice versa? Watu walikuwa kitu kimoja kupambana na mafisadi CCM 'wazee wa escrow'

Inasikitisha sana. Unajua kitu chochote ambacho ni hatua moja mbele kwa upinzani kinapaswa kuungwa mkono. Jambo lolote la kurudisha nyuma harakati za kumwondoa CCM madarakani lazima lipingwe. Ndio maana tunamwangalia zitto kwa makini! Tuwatie nguvu viongozi wetu badala ya kuwakatisha tamaa kama kweli sisi ni wanamageuzi. Upinzani Tanzania ni kazi ngumu sana. Sasa unapoona mtu kama wewe au Pasco anajifanya hajui uzito wa kuendesha siasa za upinzani inasikitisha sana. Upinzani Tanzania haujakomaa kiasi hicho tunapaswa kuusaidia kukua sio kuukandamiza kwa maslahi yetu binafsi (Pasco na Mkandara). Jiheshimuni! Mnajifanya eti mnasaidia upinzani wakati mnachochea wagawanyike! Hata km watashindwa kumtoa CCM lakini ushirikiano wao utaleta impact kubwa. Na ndicho wananchi wanataka. Hivi kazi kbwa upinzai umetufanyia mpaka leo hamuioni? Bila kai nzuri ya upi nzani serikali ya Kikwete ingelazimika kuvnja baraza la mwaziri mara nne? Wananchi wengi sio wafia dini na vyama km unavyotaka kutuaminisha! Wanaangalia mtu anayekubalika! Acheni kuchochea udini! Mnatamani kuwa na tanzana isiyokuwa na upinzan? Changieni kuongeza kasi ya mageuzi sio kuvuruga kwa ramli zenu chonganishi! Ila naamini yote haya mnayajua lakini mpo kwa kazi maalumu. Pambaf!
Lakini mkuu mimi si nachambua reality tu kutokana na viashirio vilivyopo? Kosa langu lipi kuzungumzia ukweli ambao unajionyesha wazi kabisa kwamba hapa hapana nia ya dhati!.

Walosema juu ya UKAWA kuwa na vibaraka wa CCM sio mimi, nimetazama hoja hiyo na kujenga hoja juu yake. Ningependa sana UKAWA washinde lakini nachosema hawakujiandaa kushinda na sababu zake nimezitoa. Kama kweli walikuwa na nia ya dhati wangeunda UMOJA wao wakasajili lakini kwa njia hii wanayoifanya chama chochote kingine cha Upinzani kikichukua kura bado itakuwa sio kura ya CCM, sioni tofauti na mwaka 2010 isipokuwa tu malengo yao hawakuyapigia mahesabu vizuri na kutazama athari zake.

Nikasema hivi, Tuseme jimbo lolote Temeke la CUF, Chadema na NCCR mwaka 2010 walisimamisha wagombea huko lakini mwaka 2015 mnategemea kuiachia CUF sawa? Siku ya Uchaguzi kwa siasa za CUF sidhani kama mwananchi anayeichukia CUF atawapa kura yake! Elewa mwenye haki na maamuzi ni mwananchi sio chama alichotoka. Mpiga kura haingii kupiga kura na chapa usoni ya Ukawa bali anaamua yeye juu ya mbunge. Na kuna sababu nyingi ambazo mlizi overlook ambazo siwezi andika humu kila kitu. Hivyo baadhi ya kura za Chadema na NCCR hazitakwenda CUF aidha hawataenda kupiga kura ama watakipa kura zao chama kingine. Vivyo hivyo upande wa Chadema wapo CUF damu na NCCR ambao hawawezi ipa kura Chadema wanasema tu leo.

Ushirika huu umetokana na Katiba na Wananchi na wananchi wanaijua UKAWA kutokana na katiba, wanakubali ushirikiano huu leo lakini nawajua Wadanganyika maneno mengi lakini maneno yao usiyawekee dhamana. Kwa maana kwamba kama UKAWA wameshindwa kuunganisha nguvu moja ambayo wengi tulidhania itakuwa, unadhani kweli wananchi wataweza kufanya tofauti? sababu zilizowafanya hawa viongozi wasiunde umoja wa pamoja ndizo sababu hizo hizo wananchi watazitumia kivyao ktk sanduku la kura. Hivi NDIVYO TULIVYO.

Licha ya Hivyo nimewapa hata hatari ya mande inaweza vipi kuathiri mpango mzima waloufanya pasipo ufikiri isipokuwa mapenzi yao wao ya kurudi bungeni..UKAWA ni wabunge walokuwepo ktk bunge la Katiba tu wengine wote ni wanafuata upepo. Mtu kaa Mbatia hata Ubunge wa jimbo lake hakuu[pata leo anaahidiwa wadhifa unafikiri kweli kuna nia njema hapa.
 
Mkandara umeandika makala ndeeeefu lakini ulichojadili ni hisia zako za mapenzi yako kwa Zitto na ACT yake lakini hakuna uhalisia wowote. Kimsingi hakuna hoja ya kujadili hapa pengine watu waamue kupiga soga tu.
Nashukuru sana sii ulisema haya haya wakati nashauri juu ya Zitto. Yametokea sasa ni kwa mapenzi yangu kwa Zitto na ACT. Kusema kweli hujakosea sana kama ambavyo hukuyaona yale, ndivyo umeshindwa kuyaona haya.
 
Lakini mkuu mimi si nachambua reality tu kutokana na viashirio vilivyopo? Kosa langu lipi kuzungumzia ukweli ambao unajionyesha wazi kabisa kwamba hapa hapana nia ya dhati!.

Walosema juu ya UKAWA kuwa na vibaraka wa CCM sio mimi, nimetazama hoja hiyo na kujenga hoja juu yake. Ningependa sana UKAWA washinde lakini nachosema hawakujiandaa kushinda na sababu zake nimezitoa. Kama kweli walikuwa na nia ya dhati wangeunda UMOJA wao wakasajili lakini kwa njia hii wanayoifanya chama chochote kingine cha Upinzani kikichukua kura bado itakuwa sio kura ya CCM, sioni tofauti na mwaka 2010 isipokuwa tu malengo yao hawakuyapigia mahesabu vizuri na kutazama athari zake.

Nikasema hivi, Tuseme jimbo lolote Temeke la CUF, Chadema na NCCR mwaka 2010 walisimamisha wagombea huko lakini mwaka 2015 mnategemea kuiachia CUF sawa? Siku ya Uchaguzi kwa siasa za CUF sidhani kama mwananchi anayeichukia CUF atawapa kura yake! Elewa mwenye haki na maamuzi ni mwananchi sio chama alichotoka. Mpiga kura haingii kupiga kura na chapa usoni ya Ukawa bali anaamua yeye juu ya mbunge. Na kuna sababu nyingi ambazo mlizi overlook ambazo siwezi andika humu kila kitu. Hivyo baadhi ya kura za Chadema na NCCR hazitakwenda CUF aidha hawataenda kupiga kura ama watakipa kura zao chama kingine. Vivyo hivyo upande wa Chadema wapo CUF damu na NCCR ambao hawawezi ipa kura Chadema wanasema tu leo.

Ushirika huu umetokana na Katiba na Wananchi na wananchi wanaijua UKAWA kutokana na katiba, wanakubali ushirikiano huu leo lakini nawajua Wadanganyika maneno mengi lakini maneno yao usiyawekee dhamana. Kwa maana kwamba kama UKAWA wameshindwa kuunganisha nguvu moja ambayo wengi tulidhania itakuwa, unadhani kweli wananchi wataweza kufanya tofauti? sababu zilizowafanya hawa viongozi wasiunde umoja wa pamoja ndizo sababu hizo hizo wananchi watazitumia kivyao ktk sanduku la kura. Hivi NDIVYO TULIVYO.

Licha ya Hivyo nimewapa hata hatari ya mande inaweza vipi kuathiri mpango mzima waloufanya pasipo ufikiri isipokuwa mapenzi yao wao ya kurudi bungeni..UKAWA ni wabunge walokuwepo ktk bunge la Katiba tu wengine wote ni wanafuata upepo. Mtu kaa Mbatia hata Ubunge wa jimbo lake hakuu[pata leo anaahidiwa wadhifa unafikiri kweli kuna nia njema hapa.

Hili nalo! Kwa akiri zako mwanachama au mwananchi wa/anaeipenda cuf ataamua kumpigia ccm na co cdm eti kisa cuf hana mgombea jimbo husika! Hizi nazo ni fikra matope, hyo atakuwa co mpinzani bali mamruki ktk upinzani utakuwa hjitambui ww mkanda---r--a, kikubwa Ukawa ni kusimamisha mgombea anaefaa na atakaekubalika basi, Acha post matope zako.
 
Sawa lakini tambua moja tu kwamba Mnazi na shabiki wa CUF hawezi hata kwa upnaga kumpa kura yake Dr.Slaa! - I guarantee that..
 
Ebu nipe Uhalisia mkuu wangu. Unataka kunambia mimi kama mfuasi wa TLP na Mrema naweza kweli kuwapa UKAWA kura yangu badala ya TLP? Mimi mfuasi wa Mtikila naweza kweli ungana na UKAWA kwa sababu gani?. lakini kama hawa wangekuwa chama kimoja kuna uwezekano mkubwa. Uhalisia ndio huu acheni ACT pembeni fikirieni picha kubwa
Ndugu yangu unapata shida buree humu kuna watu ukweli kwao ni sumu siku zote wanataka useme mambo ya kuwafurahisha wao tu ukienda kinyume we hufai..Ulioeleza ni ukweli mtupu pasi na shaka yoyote Cdm walitumia UKAWA kama kichaka chao wakati wa mzozo wao na Zito sasa kaondoka badala ya kuimarisha UKAWA wao wanahangaika kufanya mikutano kila alikopita Zito na kujibishana nae badala ya kuuza hoja za UKAWA
 
Ladies and Gents.

Friends and our Enemies.

Jana katika pita pita yangu nimekutana na tamko ya Kiongoz wa chama cha chadema Freeman Mbowe akisema ya kwamba eti hawaitaki chama kingine cha upinzan ACT isijiunge na umoja huo.

Thats very very ridiculous.

Mbowe usijione kwamba kama vile ulivyokuwa wewe na mtei kuwa na hati miliki ndan ya hiko chama basi nguvu hiyo inaweza pitiliza mipaka na kuwapa kiburi cha kuhodhi mamlaka ya upinzan ndan ya nchi hii.

Ni haki ys kila mtanzania aliefuata sheria kuanzisha chama cha siasa na kushiriki kwenye siasa ili mradi tuh havunji sheria za nchi hii.

Na nyinyi kama chadema hamna hati miliki ya siasa za upinzan ndan ya nchi hii.

Na hamuwezi kukaa na kuja kuwapangia watu chama gani cha upinzani cha kujiunga nacho.

Nyinyi ni nan ndan ya ukawa hadi muwe na authority na kusemea umoja huo??

Prof Lipumba alipofika mtwara alikuja na zitto kabwe katika mikutano yake ya hadhara kipindi ambacho nyinyi mlikua mshamfukuza ndan ya hiyo saccoss yenu na wananchi walimpokea vizur na kumpa ushirikiano.
,
Iweje nyinyi leo mje mseme kwamba hamtaki ushirikiano na chama hiko?nyinyi kama nani hasa.

Huna hoja mbowe...hamna hoja chadema.

Siri ambazo zito kabwe kavujisha kwa ccm ziko wapi mbona mnaongea kama bata??

Chama chenu bila kuwa ndan ya mwamvuli wa ukawa hivi sasa kingekuwa kishasahaulika.

Tunaomba siasa zenu za kibaguz za udini ukanda na ukabila msiziingize ndan ya UKAWA.

VIONGOZI WA UKAWA MUWE MAKINI NA CHADEMA WASIJE KUUGEUZA UMOJA HUO KAMA WALIVYOKIGEUZA CHAMA CHAO CHA KASKAZIN CHA KIDINI NA KIKABILA.

SHUKRAN...
 
sasa hao ACT (Agizo la Chama Tawala) wajiunge na ukawa kama chama cha upande gani? mbona watu wa ccm mnakietea sana? sijawahi ona mkitetea cdm au cuf ila hao act mmebeba bango? wakajiunge na mrema, mbona kutengeneza alliance kawaida tu.
 
Duh...taratibu poovu hilo....umekula maharage ya wapi weweee. Sijui unatoka chama gani wewweee.....sijui kakutuma nani wewweee...hahaha
 
Kweli kabisaaa,hii saccos inaona kama wao ndo wana nembo kichwani ya upinzani,waPuuzi tu hawa magaidi
 
Brodah!!

Mie nimemskiliza Mbowe asbh ya leo kupitia kipindi cha kumekucha kuna jambo ambalo nimeliona haliko sawa huko Kagera alipokuwepo.Well kwanza nilijiuliza swali moja tu hivi UKAWA inabebwa na CDM tu ama na vyama vyote ambavyo viko kwenye huo umoja? Tukumbuke kwamba UKAWA ni umoja wa vyama visivyozidi vi4 yan CDM, CUF, NCCR, NLD (naomba uniongezee vingine kama vipo) lakin hivi vyama ni vichache sana ukilinganisha na vyama vya aupinzani ambavyo viko nje ya huo umoja wao.Niliwaza kwamba UKAWA wangeweza kushawish vyama vingine, vijiunge ili kupata nguvu zaid kwenye huop umoja lakin naona approach yao haiko huko wao kwa sasa wamehamia kwenye kupigana na ACT. sasa apa ndipo shida inapokuja kwamba vyama vyote 4 vinapigana na ACT badala ya kuona n jins gani wanavyoweza kujiestablish vyema zaid kisiasa. Yaani ni aibu sana kuona umoja huu upo ili kupigana na ACT ambayo pia mwenye amcho anaona kabisa kwamba ACT sio threat kiivyo manake haina uwezo wa kuwa na viti zaid ya 3 bungen na wala hawataweza hata kusmamisha mgombea Urais. walitakiwa badala ya kuanza kushidnana na ACT wajikite kwenye kujiimarisha zaid.<br><br>ACT wanajua ukweli na kwamba hawana nafas kwa sasa so wanajua zaid ya kukitangaza chama tu kijulikane hawana jipya zaid...................ila UKAWA ni kama hawajiamin vile
 
Ungefuatilia matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa ungegundua chama gani kinavibeba vingine kwenye UKAWA. Kwa sababu akili yako imeshikwa na mudi basi huwezi kuona hata vinavyoonekana dhahiri.
 
Alshabaab anabubujikwa na povu balaa!unataka huyo pimbi ajiunge kwenye umoja wenye wachaga?upunguani umekuzidi
 
Ungefuatilia matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa ungegundua chama gani kinavibeba vingine kwenye UKAWA. Kwa sababu akili yako imeshikwa na mudi basi huwezi kuona hata vinavyoonekana dhahiri.
Devilish silent partner coupled with arrogance. . . . . . .
 
Back
Top Bottom