Ivonya-Ngia
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 703
- 385
Uzuri sasa tunaishi katika dunia iliyowazi sana, tunayaona yanayotokea kote ulimwenguni kama majirani wa mtaa mmoja waishivyo.
Wakati wakina Uhuru na Rutto walipokuja na Jubilee Alliance bado kulikuwa na wachambuzi pro and against na hata Gen. Buhari na wenzake walipokuja na alliance ya APC pia kulikuwa na wachambuzi pro and against.
Halafu uzuri mwingine wa siasa huwa hauna mbashiri bingwa, as far as ni maamuzi binafsi mno ya binadamu katika sanduku la kura kila mchambuzi atabaki na mere speculations.
Maamuzi ya wapiga kura katika chaguzi za kisiasa huongozwa na factors nyingi mbaya zaidi factors hizo ni variable. Ndiyo maana wote waliokatika huo ulingo wanafahamu namna hadi ile dakika ya mwisho ilivyomuhimu katika "kumshawishi" mpiga kura. So natuendelee tu na speculations!!!!!