Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
Mkuu wewe unafahamika misimamo yako ya kifedhuli
wenye weledi wa kutosha hapa JF watakupuuza
Hapo umesahau kutaja wachaga na wakristo manake lazima uwataje...
Mkuu...iko hivi UKAWA haipo bila CUF,CHADEMA,NLD na NCCR....Kama hutaki unaacha
Sio lazima hao watu wenu wajiunge na UKAWA ....wafanye siasa kivyao
Wakati UKAWA wanaungana kupigania katiba haohao walisema UKAWA ni wasakatonge na wapigania madaraka......
UKAWA uliundwa katika misingi ya kudai katiba bora.....
Hichi mnachokifanya sasa ni chokochoko ambazo zilipangwa na CCM ili muingie UKAWA....UKAWA hamuwezi kuingia ng'ooooo
Unasema eti Lipumba alienda Mtwara na zito....well and nice...hata Bungeni CDM waliunga mkono ripoti ya kamati ya PAC ambayo zito alikuwa mwenyekiti.
Ni huko Mtwara ndipo act walipopolewa na mawe baada ya kuzamia mkutano wa CUF.
Hujiulizi kwa nini hakuna chama chochote cha upinzani kilienda kwenye uzinduzi wa act...Lipumba walijigamba huku kuwa atakwenda lakini hakwenda....
Mkuu....Kwa taarifa yako Mbowe hua hakurupuki...amekua chadema tangu kijana mdogo...tangu chadema inaanzishwa yeye amekuwa ni mmoja wa waasisi...Mangang'au hamuwezi kukiyumbisha hiki chama
Kiko kwenye mikono salama