WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 933
chadema waache ubaguz
mkuu sana ,ulishawahi kula mkaango wa kitimoto?
chadema waache ubaguz
Brodah!!
Mie nimemskiliza Mbowe asbh ya leo kupitia kipindi cha kumekucha kuna jambo ambalo nimeliona haliko sawa huko Kagera alipokuwepo.Well kwanza nilijiuliza swali moja tu hivi UKAWA inabebwa na CDM tu ama na vyama vyote ambavyo viko kwenye huo umoja? Tukumbuke kwamba UKAWA ni umoja wa vyama visivyozidi vi4 yan CDM, CUF, NCCR, NLD (naomba uniongezee vingine kama vipo) lakin hivi vyama ni vichache sana ukilinganisha na vyama vya aupinzani ambavyo viko nje ya huo umoja wao.Niliwaza kwamba UKAWA wangeweza kushawish vyama vingine, vijiunge ili kupata nguvu zaid kwenye huop umoja lakin naona approach yao haiko huko wao kwa sasa wamehamia kwenye kupigana na ACT. sasa apa ndipo shida inapokuja kwamba vyama vyote 4 vinapigana na ACT badala ya kuona n jins gani wanavyoweza kujiestablish vyema zaid kisiasa. Yaani ni aibu sana kuona umoja huu upo ili kupigana na ACT ambayo pia mwenye amcho anaona kabisa kwamba ACT sio threat kiivyo manake haina uwezo wa kuwa na viti zaid ya 3 bungen na wala hawataweza hata kusmamisha mgombea Urais. walitakiwa badala ya kuanza kushidnana na ACT wajikite kwenye kujiimarisha zaid.<br><br>ACT wanajua ukweli na kwamba hawana nafas kwa sasa so wanajua zaid ya kukitangaza chama tu kijulikane hawana jipya zaid...................ila UKAWA ni kama hawajiamin vile
Kweli kabisaaa,hii saccos inaona kama wao ndo wana nembo kichwani ya upinzani,waPuuzi tu hawa magaidi
Kwamba tayari umechangia maoni, hv huwa hamjisikii vyema msipo tukana
kilichoipaisha chadema sio sera......ingekuwa sera kisingetetereka
slaa na zitto ndio walikipaisha chama, wanaweza jenga hoja
slaa kazidiwa na mahaba ya kupendwa na mamlaka kuu......zitto kasi yake hawakuiweza
Cdm wamelewa sifa wanaamini kabisa kwamba wanaingia ikulu mwaka huu kwa mbinu hizi za kibaguzi wananchi wameshaweka alama hii ? ?hakika pamoja na kupiga makelele majukwaani mtabaki kuwa wapinzani miaka yote.
Ladies and Gents.
Friends and our Enemies.
Jana katika pita pita yangu nimekutana na tamko ya Kiongoz wa chama cha chadema Freeman Mbowe akisema ya kwamba eti hawaitaki chama kingine cha upinzan ACT isijiunge na umoja huo.
Thats very very ridiculous.
Mbowe usijione kwamba kama vile ulivyokuwa wewe na mtei kuwa na hati miliki ndan ya hiko chama basi nguvu hiyo inaweza pitiliza mipaka na kuwapa kiburi cha kuhodhi mamlaka ya upinzan ndan ya nchi hii.
Ni haki ys kila mtanzania aliefuata sheria kuanzisha chama cha siasa na kushiriki kwenye siasa ili mradi tuh havunji sheria za nchi hii.
Na nyinyi kama chadema hamna hati miliki ya siasa za upinzan ndan ya nchi hii.
Na hamuwezi kukaa na kuja kuwapangia watu chama gani cha upinzani cha kujiunga nacho.
Nyinyi ni nan ndan ya ukawa hadi muwe na authority na kusemea umoja huo??
Prof Lipumba alipofika mtwara alikuja na zitto kabwe katika mikutano yake ya hadhara kipindi ambacho nyinyi mlikua mshamfukuza ndan ya hiyo saccoss yenu na wananchi walimpokea vizur na kumpa ushirikiano.
,
Iweje nyinyi leo mje mseme kwamba hamtaki ushirikiano na chama hiko?nyinyi kama nani hasa.
Huna hoja mbowe...hamna hoja chadema.
Siri ambazo zito bakwe kavujisha kwa ccm ziko wapi mbona mnaongea kama bata??
Chama chenu bila kuwa ndan ya mwamvuli wa ukawa hivi sasa kingekuwa kishasahaulika.
Tunaomba siasa zenu za kibaguz za udini ukanda na ukabila msiziingize ndan ya UKAWA.
VIONGOZI WA UKAWA MUWE MAKINI NA CHADEMA WASIJE KUUGEUZA UMOJA HUO KAMA WALIVYOKIGEUZA CHAMA CHAO CHA KASKAZIN CHA KIDINI NA KIKABILA.
SHUKRAN...
vyama 4 vilivyopo ndani ya UKAWA ni vichache sana ukilinganisha na vilivyopo nje ya ukawa zaid ya 7................mbaya zaid UKAWA wana under estimate nguvu ya hivi vyama vilivyopo nje................so na hivi vina encourage upinzani ndani ya upinzani.
Udini, ukabila, ukanda, ndiyo itikadi ya chadema
Mkuu...kuungana sio fasheni...hamuungani tu kwa sababu ya kuungana
Mnaungana mnapokuwa mna kitu mnakubaliana...
Mnaungana pale ambapo malengo yenu yanafanana na wote mko serious katika hiyo nia.
Nia Ya ACT sio kuitoa ccm madarakani...nia yao ni kuwa chama kikuu cha upinzani...sasa tuungane nao ili iweje?
Nia ya TLP sio kuitoa CCM madarakani..nia yao ni kuisupport CCM kwa namna yoyote ile...Tuungane nao ili iweje?
Nia ya UDP na cheyo yake sio kuitoa CCM madarakani...bali ni kusaidiana na CCM kupambana na UKAWA kwa mbinu zote zile?
Ivi Fahmi Dovutwa naye ni Mpinzani?
Wakati mwingine tuwe serious jamani...kuna vyama vingi lakini asilimia kubwa ya vyama hivyo ni ally wa CCM
na wewe ndo hujui kabisa ulichokisemaMkuu...kuungana sio fasheni...hamuungani tu kwa sababu ya kuungana

na wewe ndo hujui kabisa ulichokisema
UKAWA sio muungano wa vyama vya siasa kwasabb hata sheria ya nchi ya vyama vingi inakataa vyama vya siasa kuungana huu ni umoja tu na sio muungano.
na ndio mana nikasema kama ni umoja basi ni rahisi sana kuwashawish walioko nje ili kuweza kupunguza presha ndani ya upinzani wenyewe
nikusahihishe tu vyma pekee vilivyowah kuungana ni TANU NA ASP ili kutengeneza CCM haya ya UKAWA ni umoja ambapo kila chama kina baki na majukumu yake ya kichama lkn papo mahali wanafanya kazi kwa umoja like wanaweza kwa umoja wao kumsmamish mgombe ammoja wa nafas ya uraisi na hii sasa ikibata back up toka kwa wapianzani wote ita sound vyema zaid kuliko kuwa na upinzani ndani ya upinzani.
mkuu...unabisha nini na una support nini?
Uite jina lolote whether Umoja au Muungano.....Umoja wowote unaundwa na watu wenye nia moja
Umoja wote unatengenezwa na watu wenye nia moja....
Huwezi kuwa na Umoja na watu kama act ,udp,tlp na wengine ambao nia yao sio moja na ya kwetu.
Jamani upinzani sio jina kwamba ni upinzani wewe...Upinzani ni vitendo...vitendo vyako ndivyo vitaonesha wewe ni mpinzani ama la...
Nimekueleza vizuri
Nia Ya ACT sio kuitoa ccm madarakani...nia yao ni kuwa chama kikuu cha upinzani...sasa tuungane nao ili iweje?
Nia ya TLP sio kuitoa CCM madarakani..nia yao ni kuisupport CCM kwa namna yoyote ile...Tuungane nao ili iweje?
Nia ya UDP na cheyo yake sio kuitoa CCM madarakani...bali ni kusaidiana na CCM kupambana na UKAWA kwa mbinu zote zile?
Ivi Fahmi Dovutwa naye ni Mpinzani?
Wakati mwingine tuwe serious jamani...kuna vyama vingi lakini asilimia kubwa ya vyama hivyo ni ally wa CCM
hayo uliyo bold hapo chini nadhan huo ni mtazamo wako tuu na hivyo sina haja ya kubishana juu ya hilo
ninachosema mie ni hiki kuruhusu act, tlp and the like kuwa nje ya UKAWA ni kuruhusu upinzani ndani ya upinzani.
no wonder kile ukawa inachokiskusudia kisi achieve kwasabb ya approach wanyoitumia
muda ni mwamuzi mzuri zaid
Chadema ilianza kwa kasi kubwa katika medani za siasa Nchini kutokana na sera ambazo ziliwavutia watu wengi hasa vijana.
CHADEMA ilianza kuja na sera mbalimbali pamoja na kauli mbiu zenye matumaini kwa wananchi kama vile M4C, na nyingine nyingi ambozo zilivuta hisia nyingi hasa kwa vijana, Lakini siku za hivikaribuni chama hiki kimepoteza mwelekeo kabisa kutokana na kuto kubadilika kwa sera zao na kujikita zaidi kwenye mambo yasio ya msingi kama vile mandamano, kauli mbovu, fukuza fukuza isiyo na mpango ndani ya chama hivo kufanya chama hiki kukosa mwelekeo kutokana na kuchokwa na wananchi.
Kinacho endelea sasa CDM imejivika koti la UKAWA kama kiki ya kutaka kukubalika zaidi kwa wananchi kutokana na kuvikamata masikio vyama vingine vya siasa kwa nia ya kutaka kujiuza tena kwa wananchi lakini cha ajabu pasipo kujitambua CDM ndio kinazidi kujichimbia kaburi chenyewe pasipo kujijua.
Ushauri viongozi wa CDM jitafakarini tena na kujirekebisha ili mrudishe heshima yenu kwa jamii kama mwanzo mlivyokuwa mnakubalika