Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,031
- 153,773
Pia,Yeye ndio ameweka masharti aachiwe huru ili aweze kuingia katika mazungumzo, hapo usaliti upo wapi ? Kwenye mazungumzo kuna kukubaliana na kukataliana pia
Hawa watu wanakataa vipi masharti ya kisiasa katika kumtoa Lissu gerezani wakati kesi nzima ni ya kisiasa?
Where is the logic here?
Ozon