CHADEMA imewasaliti Watanzania

CHADEMA imewasaliti Watanzania

Lissu anataka aachiwe ili aingie kwenye mazungumzo na serikali iliyoiba kura, imeua watu, wameteka kina Soka, Mdude, Polepole na wengineo . Kama atafanya hivyo utakuwa usaliti mkubwa.
Iran viongozi wake wa juu wameuwawa na US, lakini kaingia kwenye mazungumzo. Je anapelekwa hovyo?
 
Una uhakika haya ni maneno ya Lisu? Lakini hata Iran kaingia kwenye mazungumzo na viongozi wake wamuawawa, je amekubali kila anachoambiwa na US?
CHADEMA walitoa taarifa rasmi kudhibitisha hilo.
 
Back
Top Bottom