- Thread starter
- #41
Acha matusi na ujibu hoja. Hapa nazungumzia kauli ya Lissu mwenyewe kupitia kwa wakili wake, Kisabo: ‘kesi zote zinazomkabili yeye na chama zifutwe… na kwamba yuko tayari kwa mazungumzo.’ Sentensi hii inaacha maswali mengi na, kwa mtazamo wangu, inaashiria uwezekano wa usaliti. Ninamuheshimu Tundu Lissu, lakini sina imani kamili na wanasiasa. Endapo atajaribu kutumia muktadha uliopo kwa maslahi yake ya kisiasa, tutamkosoa vikali, kama tulivyofanya kwa Mbowe.Wewe ni mpuuzi, unayefaa kupuuzwa.
Useless bitch!
Lissu amekwambia anataka uhuru wake kwa kutumia damu ya waTanzania? Hivi kichwani zinakutosha kweli wewe?
Nilitaka nikuache uendelee na upumbavu wako; lakini sasa nimeamua kuwa nawe.